Jaydee huu ni utoto sana tena sana


At least Innocizy umekuja na mchango tofauti which is very constructive mengine yote niliyoandika hayakuzingatiwa imezingatiwa ndoa jambo ambalo linaonyesha ni CASE SENSITIVE halafu sasa mtu anataka kukuita mbea kumbe sasa yeye ndio analeta umbea haswaa
BWT hii mada imepata wachangiaji wengi kwa muda mfupi sana kitu kinachoreflect kuwa wanapenda zaidi kusoma habari za watu wengine kuliko mada zenye kufikirisha siwalaumu kwakuwa ndio binadamu walivyo, tuendelee kufuatilia
 
Last edited by a moderator:
I will take this instance to register my staunch support for the fundamental principle of freedom of expression which, under the thinly veiled guise of decorum, is openly under attack.

Moreover, the vehement centrality of this noble ideal is further strengthened by the fact that I am no particular fan of Jaydee, in fact I detest her talentless lackluster less than church choir drab that passes for singing.

Neverthelss, my love for freedom of expression surpasses my abhorr for Jaydee. Hence, I will support her right to freedom of expression.

As long as it is within reason an doeS not overly encroach on that of others.
 


Ukiona hivyo ujue yeye ndo aliyebaki na maumivu.

Mwambie life goes on.
 

Mimi maimuna lol.. Kiranga pamoja na kwamba mie sijui kilugha hii ngoma imetulia duuh..
 
Last edited by a moderator:
kick ya mgahawa mpya? tumekuelewa mleta mada
 

Wazaramo utawajua tu yaani wanatumia nguvu nyingi kutafuta tafsiri ya vitu ambavyo pengine hata havimaanishi hivyo.


Wazaramo tumkukosea nini?

Taadhima gani inayokufunza ulundike kabila zima kwa tabia fulani dhalili?

Au unakariri uhariri?
 
Nakumbuka hata kipindi anaimba wimbo wa Wanaume kama mabinti, alikua na mahusiano mabaya na Gadner bado hata kipindi anaimba Yahaya alikua keshakorogana na Gadner ila zilikua hazijasambaa kwenye vyombo vya habari na walijitahidi sana kufichaficha hadi maji yalipozidi unga.

Jide ni mwanamke na anazihakisi tabia za wanawake hivyo we mchukulie poa tu. Angekua mwanaume ndo tungeshangaa.
 
Mnh ilikua diamond na sasa ni jide waacheni watoto wa watu watafute ugali...
 
hivi "jide" ana watoto wangapi
 
siamini katika hisia, siyo kila jambo linalotokea lazima lilazimishwe lipate tafasiri yake. Naamini hata angeimba wimbo unaohusu "shetani" mngesema kuwa kamaanisha Gardner ni shetani, kitu ambacho c kizuri wala sahihi.
 

Sidhani kama umeandika ili ueleweke na wengi, unatufaa tukutume kama nchi kwa negosiesheni ya mpaka na wamalawi.
teh teh teh.
 
mwanamke kama jeydee kuishi naye hata gadner naona ni mvumilivu sana. naomba niishie hapa kwasababu nitamchana hapa hadi damu. bye.
 
Ndugu yangu huyo mtalaka naona ndio anayekubali kupokwa , kabla ya kuandika haya jaribu kuulizia habari zake kwa wanaomjua tangu mwanza na yule mama aliyekuwa akikodisha mikanda ya sinema pale mikocheni hawa wanawake nao wanakuwa na radhi sio wazazi wetu peke yao.
 

I missed this Kiranga.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…