Naamini wengi wamesikia tangazo jipya la mgahawa wa Jaydee unaokwenda kwa jina jipya la MOG na kikolombwezo cha LIFE IS TOUGH na mwishowe anamalizia na YAHAYA UNAISHI WAPIII
Wenye kujua mafumbo wanajua anamaanisha nini!!! Jaydee ni mtu wa nongwa sana na anapenda visasi kapitiliza, ukigombana naye hakuachi mpaka akutungie wimbo wa vijembe kafanya hivyo kwa wengi tu wakiwemo Ruge, Mwana FA, na sasa vijembe vyote ni kwa mtalaka wake, sio kwenye mitandao kwenye vyombo vya habari na sasa kwenye matangazo yake
Mkiwa wanandoa hakuna mmoja anaweza kujvunia mafanikio bila ya mwenza wako, hata ile tu kuhisi kuwa nyumbani nina mke au mume ananisubiri hata kama hana kazi inakupa nguvu ya kufanya kazi kwa utulivu na amani
Huyu mtalaka wake alikuwa ni mme wa mtu mwenye ndoa halali na mtoto juu, kwa kutumia influence yake wakati huo ya vijisenti na umaarufu akampoka asiye nguvu mume....akumbuke mtenda hutendwa.....
Aukubali ukweli, we are living in the world of impermanence...! Nothing last forever, yeye si wa kwanza kusuffer broken heart na hatakuwa wa mwisho... It happens always and ever... Na katika maisha huwezi kupata kila kitu ni ukweli mchungu! Vijembe na mafumbo havitabadili ukweli wala kumpunguzia maumivu
ATULIEEEE....! BINTI NYAMBIBO
Unajisumbua kutafsiri kila kitu! Alipo imba wanaume kama binti ulijiuliza amemwimbia nani? Joto hasira? Yahaya? Understanding? Historia? Alikuwa amesha achana na G?
I will take this instance to register my staunch support for the fundamental principle of freedom of expression which, under the thinly veiled guise of decorum, is openly under attack.
Moreover, the vehement centrality of this noble ideal is further strengthened by the fact that I am no particular fan of Jaydee, in fact I detest her talentless lackluster less than church choir drab that passes for singing.
Neverthelss, my love for freedom of expression surpasses my abhorr for Jaydee. Hence, I will support her right to freedom of expression.
As long as it is within reason an doeS not overly encroach on that of others.
Come onnn. Not everything that happens is about you mshana! Watu wana maosha yao and they move on. Achana na upambe, kuna watu wanatengana ila wanabaki washkaji for life. Hapa mie naona ww ndo una personality issues. Ukiachana na mtu ukikutana nae unaanza ooh alinibetulia mdomo, alinikata jicho, kajikuna jicho maksudi nione ana pete ya engagement.
Aaagh mie sipatani na uswahili bwana, nikikusalimia usipoitika i presume hujanisikia una mawazo mengi.
Naamini wengi wamesikia tangazo jipya la mgahawa wa Jaydee unaokwenda kwa jina jipya la MOG na kikolombwezo cha LIFE IS TOUGH na mwishowe anamalizia na YAHAYA UNAISHI WAPIII
Wenye kujua mafumbo wanajua anamaanisha nini!!! Jaydee ni mtu wa nongwa sana na anapenda visasi kapitiliza, ukigombana naye hakuachi mpaka akutungie wimbo wa vijembe kafanya hivyo kwa wengi tu wakiwemo Ruge, Mwana FA, na sasa vijembe vyote ni kwa mtalaka wake, sio kwenye mitandao kwenye vyombo vya habari na sasa kwenye matangazo yake
Mkiwa wanandoa hakuna mmoja anaweza kujvunia mafanikio bila ya mwenza wako, hata ile tu kuhisi kuwa nyumbani nina mke au mume ananisubiri hata kama hana kazi inakupa nguvu ya kufanya kazi kwa utulivu na amani
Huyu mtalaka wake alikuwa ni mme wa mtu mwenye ndoa halali na mtoto juu, kwa kutumia influence yake wakati huo ya vijisenti na umaarufu akampoka asiye nguvu mume....akumbuke mtenda hutendwa.....
Aukubali ukweli, we are living in the world of impermanence...! Nothing last forever, yeye si wa kwanza kusuffer broken heart na hatakuwa wa mwisho... It happens always and ever... Na katika maisha huwezi kupata kila kitu ni ukweli mchungu! Vijembe na mafumbo havitabadili ukweli wala kumpunguzia maumivu
ATULIEEEE....! BINTI NYAMBIBO
Wazaramo tumkukosea nini?
Taadhima gani inayokufunza ulundike kabila zima kwa tabia fulani dhalili?
Au unakariri uhariri?
Mkuu,
Waswahili wa ukanda wa pwani wazaramo wakiwemo,wanasifika Sana kwa matumizi ya mafumbo katika kuwasiliana kwao.
Tafuta makawa kwenye miji ya wazaramo uone mafumbo yake,sikiliza taarabu yenye asili ya pwani hasa uzaramoni pia.
Hivyo kila wakisikiacho hukitafutia tafsiri hata kama kiko clear kabisa.
Kiranga akiamua kulipuka huwa hafanyi ajizi,sasa hayo maneno maana yake yapo kwenye dikshenari IPI?I will take this instance to register my staunch support for the fundamental principle of freedom of expression which, under the thinly veiled guise of decorum, is openly under attack.
Moreover, the vehement centrality of this noble ideal is further strengthened by the fact that I am no particular fan of Jaydee, in fact I detest her talentless lackluster less than church choir drab that passes for singing.
Neverthelss, my love for freedom of expression surpasses my abhorr for Jaydee. Hence, I will support her right to freedom of expression.
As long as it is within reason an doeS not overly encroach on that of others.
Acha wapondwe tu vijana wanapenda vya bure
Haahahahhahh wifi sikutegemea kucheka kwenye hii thread, ASANTE!!!!:A S 11:
Wazaramo utawajua tu yaani wanatumia nguvu nyingi kutafuta tafsiri ya vitu ambavyo pengine hata havimaanishi hivyo.
Nimenunua kitabu cha saikolojia leo hii...na nimekutana na huu uzi nimejikuta nacheka...kinaitwa 'Men are from Mars, Women are from Venus'...yani nasoma kwa bidii ili nisiwe like other 'women'...lol
Kuna sehemu wameandika mwanaume akiwa na tatizo anahitaji time to be alone...mwanamke akiwa na tatizo anahitaji shoga wa kumsimulia....
Ni ukweli mchungu...na ndio maana wanawake wengi wambea...unasimulia na yeye anasimulia na yeye anasimulia...sitaki kuwa na hii tabia ya 'kike' aisee...
Mario kaenda kuolewa wapi tena, hakuna dhambi kama mwanamke kumlisha mwanaume, muulize adam wa eden.