Jaydee huu ni utoto sana tena sana

Kumbe wameachana, kweli nipo nyuma kwenye masuala ya maselebu wa bongo!!!

Kwa hiyo anatoka na nani sasa kama yupo singo nijaribu bahati miye nami niimbwe kwenye mijinyimbo yake...

Hahaaaaaaa kajaribu bahati huwezi jua
 

wewe ndo unaonekana kupenda nongwa,,,

hiyo yahaya ni wimbo wake
life is tough si ni ujumbe tu unaonekana sehemu nyingi san
labda kama kuna zaidi ya hapo tuambiane.
 
Mtoa mada umetumwa na Ruge, coz jide kasha achana na clouds na mziki wake still uko juu bila hata ya clouds so una mtakia nn jide wa watu,au kwa kuwa haitumii tena clouds kutangaza mziki wake
 



Mkuu mshana jr usisikie, dushelele lina utamu wake kwa mwanamke...na ukizoea kulila au kulipokea pale unapotaka kisha lije likuponyoke lazima utajiuliza kulikoni au tu utatafuta kisingizio cha kulikashifu na kulitungia wimbo. Nothing is new here. #Dushelele_Oyeee
 
Naona mtoa mada unatumiwa na Ruge kumuchafua jide,mbona hatujaona kosa la jide,au kwa kuwa hajapeleka hilo tangazo clouds? Jide ni msanii mkubwa na isitoshe anajielewe na mziki wake unasikika bila hata clouds, so kama wewe ni shabiki na mdau wa clouds jide huwezi kumuelewa
 
Define 'utoto' na utuambie viashiria vya utoto huanzia wapi na kuishia wapi? Na ni according to who!

Baada ya hapo ndio tutajadili kile alichokifanya jide ni utoto au la.
 
But it is real that life is tough. NO?
 
Sanaa mara nyingi is about expressing oneself, na sidhani kama kuna msanii haimbi yale anayokutana nayo au iwe direct au kwa kuona maisha ya wanaomzunguka; tatizo ni la mtafsiri sio la msanii. Ukichagua yakuhusu basi yatakuhusu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…