Wewe Mshana una akili kama zangu, i like watu wenye uelewa mpana na wenye uwezo wa kuongea kwa hekima na staha. Ulikuwa unakuwa mtu wa ngapi class enzi zako mkuu? Maana mi nakumbuka enzi zangu primary na O level nilikuwa nawachakaza siwaangalii usoni.Jamani King'asti yaishe basi tuko jukwaa huru na si kila kitu tunaweza kukubaliana lazima kuna mahali tuwe na mawazo tofauti, nimeandika hii post kutokana na historia ya jide. Ukinihukumu kwa 'uswahili' bado si tatizo kwangu lakini jaribu kufuatilia hilo tangazo lisikilize halafu utaniambia ...all in all thanx for sharing
no wonder ze bothi hakuachi ng'odoh!Define 'utoto' na utuambie viashiria vya utoto huanzia wapi na kuishia wapi? Na ni according to who!
Baada ya hapo ndio tutajadili kile alichokifanya jide ni utoto au la.
Naamini wengi wamesikia tangazo jipya la mgahawa wa Jaydee unaokwenda kwa jina jipya la MOG na kikolombwezo cha LIFE IS TOUGH na mwishowe anamalizia na YAHAYA UNAISHI WAPIII
Wenye kujua mafumbo wanajua anamaanisha nini!!! Jaydee ni mtu wa nongwa sana na anapenda visasi kapitiliza, ukigombana naye hakuachi mpaka akutungie wimbo wa vijembe kafanya hivyo kwa wengi tu wakiwemo Ruge, Mwana FA, na sasa vijembe vyote ni kwa mtalaka wake, sio kwenye mitandao kwenye vyombo vya habari na sasa kwenye matangazo yake
Mkiwa wanandoa hakuna mmoja anaweza kujvunia mafanikio bila ya mwenza wako, hata ile tu kuhisi kuwa nyumbani nina mke au mume ananisubiri hata kama hana kazi inakupa nguvu ya kufanya kazi kwa utulivu na amani
Huyu mtalaka wake alikuwa ni mme wa mtu mwenye ndoa halali na mtoto juu, kwa kutumia influence yake wakati huo ya vijisenti na umaarufu akampoka asiye nguvu mume....akumbuke mtenda hutendwa.....
Aukubali ukweli, we are living in the world of impermanence...! Nothing last forever, yeye si wa kwanza kusuffer broken heart na hatakuwa wa mwisho... It happens always and ever... Na katika maisha huwezi kupata kila kitu ni ukweli mchungu! Vijembe na mafumbo havitabadili ukweli wala kumpunguzia maumivu
ATULIEEEE....! BINTI NYAMBIBO
Watu kwa kujistukia! Kwani gadner hana kazi? Si mtangazaji? Huyo ni msanii. Whatever kinachomuingizia hela.acha akitumie. Nyie ndo mna nongwa sasa. Ama diamond ule wimbo 'now show how we do ngololo' alikuwa anamfumbia penny kuwa hajui kuniniliu?
Uswahili mzigo.
Naamini wengi wamesikia tangazo jipya la mgahawa wa Jaydee unaokwenda kwa jina jipya la MOG na kikolombwezo cha LIFE IS TOUGH na mwishowe anamalizia na YAHAYA UNAISHI WAPIII
Wenye kujua mafumbo wanajua anamaanisha nini!!! Jaydee ni mtu wa nongwa sana na anapenda visasi kapitiliza, ukigombana naye hakuachi mpaka akutungie wimbo wa vijembe kafanya hivyo kwa wengi tu wakiwemo Ruge, Mwana FA, na sasa vijembe vyote ni kwa mtalaka wake, sio kwenye mitandao kwenye vyombo vya habari na sasa kwenye matangazo yake
Mkiwa wanandoa hakuna mmoja anaweza kujvunia mafanikio bila ya mwenza wako, hata ile tu kuhisi kuwa nyumbani nina mke au mume ananisubiri hata kama hana kazi inakupa nguvu ya kufanya kazi kwa utulivu na amani
Huyu mtalaka wake alikuwa ni mme wa mtu mwenye ndoa halali na mtoto juu, kwa kutumia influence yake wakati huo ya vijisenti na umaarufu akampoka asiye nguvu mume....akumbuke mtenda hutendwa.....
Aukubali ukweli, we are living in the world of impermanence...! Nothing last forever, yeye si wa kwanza kusuffer broken heart na hatakuwa wa mwisho... It happens always and ever... Na katika maisha huwezi kupata kila kitu ni ukweli mchungu! Vijembe na mafumbo havitabadili ukweli wala kumpunguzia maumivu
ATULIEEEE....! BINTI NYAMBIBO
Mgahawa waitwa MOG sio MG...
Ila kasema kweli Life is tough.. sidhani kama kakosea.. hiyo Yahya si aliimba hata kabla hawajatengana na G
Gardner ka move on fasta maana ana kabinti kengine sa hivi
Inawezekana kabisa hakumaanisha kile ulichokiwaza wewe ila kasema ili watu wafikirie jinsi ulivyofikiria for promo.
Mgahawa waitwa MOG sio MG...
Ila kasema kweli Life is tough.. sidhani kama kakosea.. hiyo Yahya si aliimba hata kabla hawajatengana na G
Gardner ka move on fasta maana ana kabinti kengine sa hivi
I will take this instance to register my staunch support for the fundamental principle of freedom of expression which, under the thinly veiled guise of decorum, is openly under attack.
Moreover, the vehement centrality of this noble ideal is further strengthened by the fact that I am no particular fan of Jaydee, in fact I detest her talentless lackluster less than church choir drab that passes for singing.
Neverthelss, my love for freedom of expression surpasses my abhorr for Jaydee. Hence, I will support her right to freedom of expression.
As long as it is within reason an doeS not overly encroach on that of others.
nimekuelewa tena sanaaaaa, kwa kifupi jide ni mwanamke mwenye moods tena sana, huitaji kukutana face to face kuliona hilo.mwanamke kama jeydee kuishi naye hata gadner naona ni mvumilivu sana. naomba niishie hapa kwasababu nitamchana hapa hadi damu. bye.
mshana una hulka ya kujifanya mjuajiii
ki ukweli jd ajaroho ya nongwa sana wala sio uongo, anamambo ya uswahili uswahili, kutupiana vijembe hapo ndio kwake. ndivyo alivyo
Yaani wakati una post huu Uzi ulitegemea kupata misifa. Sasa ndio nini hiki unatuletea? Unakusanya fikra na mitazamo yako ya kimajungu halafu unatushirikisha sisi.
Ova
Hahaa hata Mimi nimepewa zawadi na mtu! Kina mafunzo makubwa for both sides!
Mwanaume akishindwa kuprovide anayeyusha kwenye less important things, ndiyo sababu unaona wanaume wengi ni walevi kupundukia na mara nyingine hujikita kwny michezo kupotezea!
Kizuri mno!