Jaydee huu ni utoto sana tena sana

Jaydee huu ni utoto sana tena sana

Jamani King'asti yaishe basi tuko jukwaa huru na si kila kitu tunaweza kukubaliana lazima kuna mahali tuwe na mawazo tofauti, nimeandika hii post kutokana na historia ya jide. Ukinihukumu kwa 'uswahili' bado si tatizo kwangu lakini jaribu kufuatilia hilo tangazo lisikilize halafu utaniambia ...all in all thanx for sharing
Wewe Mshana una akili kama zangu, i like watu wenye uelewa mpana na wenye uwezo wa kuongea kwa hekima na staha. Ulikuwa unakuwa mtu wa ngapi class enzi zako mkuu? Maana mi nakumbuka enzi zangu primary na O level nilikuwa nawachakaza siwaangalii usoni.
 
Mshana mi nimeelewa maudhui ya uandishi wko na nimeelewa na ni kweli huyu bi dada ana hulka ya visasi na mafumbo kwa yoyote anayetofautiana naye, mfano walivyotofautiana na mwana fa alimpa mwenzie jina baya la mwana Fatuma yaani huwa simuelewi
 
Mkuu, mada yako mie naona umemtazama jide na swala lake katika upande mmoja kama vile yeye ni mtu wa nongwa sana na visasi bila sababu, sina tatizo na mtazamo wako ila hakika nina mtazamo tofauti na wewe kwa hili,

mie naona jide is not acting, she is just reacting, she did not start the issue she is finishing the issue… nina amini kwamba usipomchokoza Jide hawezi kukuzingua.. ila ukizingua atakuzingua…

Mfano: Mwana FA ila sikupenda kabisa alivyojihusha na lile timbwili na jide aswa ukizingati FA ni mkongwe na JIDE ni kama dada yake wametoka mbali, vijembe alivyopewa nasema ilibidi apewe, aliyataka mwenyewe, angeachana nae tu mwana mama yule yasingetokea yaliyotokea, nakumbuka hata vinegar kidogo aliwazingua ila yaliisha… yaani FA alikuwa mchokozi…

Huyu Gadner lilikuwa jukumu lake kutetea na kulinda ndoa yake so kuvunjika kwa ndoa yake hiyo ya kwanza G anawajibika moja kwa moja…

ni haki ya mtu kujielezea na kuexpress hisia zake, kama Gadner anaona kaonewa taratibu zipo aende kwenye vyombo husika. Jide anatumia fursa ya haki ya kujiexpress kama inavyobidi...
 
Naakumbuke kisicho liziki hakiliki

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
kuna post yako niliisoma hapo mwanzo na nikawa na utulivu kwani nilikuwa nimepoteza matumaini, ningeependa kukuandikia kwenye inbox lakini sijui mbona ukurasa wakataa

Jaribu kuwasiliana nami kwa pm JohnsonLinda
 
Last edited by a moderator:
Define 'utoto' na utuambie viashiria vya utoto huanzia wapi na kuishia wapi? Na ni according to who!

Baada ya hapo ndio tutajadili kile alichokifanya jide ni utoto au la.
no wonder ze bothi hakuachi ng'odoh!
miakili zingiiiii
ila mekumithiiiii
 
Hakuna lolote, huu uliotuletea ni upuuzi. Unataka kuilisha akili yetu haya mawazo mgando halafu unataka tusikuambie!
Ova

Vp Mdakuzi kwa kuandika hivi kama imekupa faraja haya chapa lapa utambae, sijakulazimisha kusoma post zangu maku wewe
 
Last edited by a moderator:
Naamini wengi wamesikia tangazo jipya la mgahawa wa Jaydee unaokwenda kwa jina jipya la MOG na kikolombwezo cha LIFE IS TOUGH na mwishowe anamalizia na YAHAYA UNAISHI WAPIII
Wenye kujua mafumbo wanajua anamaanisha nini!!! Jaydee ni mtu wa nongwa sana na anapenda visasi kapitiliza, ukigombana naye hakuachi mpaka akutungie wimbo wa vijembe kafanya hivyo kwa wengi tu wakiwemo Ruge, Mwana FA, na sasa vijembe vyote ni kwa mtalaka wake, sio kwenye mitandao kwenye vyombo vya habari na sasa kwenye matangazo yake

Mkiwa wanandoa hakuna mmoja anaweza kujvunia mafanikio bila ya mwenza wako, hata ile tu kuhisi kuwa nyumbani nina mke au mume ananisubiri hata kama hana kazi inakupa nguvu ya kufanya kazi kwa utulivu na amani

Huyu mtalaka wake alikuwa ni mme wa mtu mwenye ndoa halali na mtoto juu, kwa kutumia influence yake wakati huo ya vijisenti na umaarufu akampoka asiye nguvu mume....akumbuke mtenda hutendwa.....

Aukubali ukweli, we are living in the world of impermanence...! Nothing last forever, yeye si wa kwanza kusuffer broken heart na hatakuwa wa mwisho... It happens always and ever... Na katika maisha huwezi kupata kila kitu ni ukweli mchungu! Vijembe na mafumbo havitabadili ukweli wala kumpunguzia maumivu
ATULIEEEE....! BINTI NYAMBIBO

Ni kweli kabisa,umenena vyema kabisa.
 
Watu kwa kujistukia! Kwani gadner hana kazi? Si mtangazaji? Huyo ni msanii. Whatever kinachomuingizia hela.acha akitumie. Nyie ndo mna nongwa sasa. Ama diamond ule wimbo 'now show how we do ngololo' alikuwa anamfumbia penny kuwa hajui kuniniliu?
Uswahili mzigo.

mhii! kwani wameachana kweli?? nakubaliana na wewe huyu ni msanii na sanaa ni kazi yake tuache kujistukia bhana
 
Naamini wengi wamesikia tangazo jipya la mgahawa wa Jaydee unaokwenda kwa jina jipya la MOG na kikolombwezo cha LIFE IS TOUGH na mwishowe anamalizia na YAHAYA UNAISHI WAPIII
Wenye kujua mafumbo wanajua anamaanisha nini!!! Jaydee ni mtu wa nongwa sana na anapenda visasi kapitiliza, ukigombana naye hakuachi mpaka akutungie wimbo wa vijembe kafanya hivyo kwa wengi tu wakiwemo Ruge, Mwana FA, na sasa vijembe vyote ni kwa mtalaka wake, sio kwenye mitandao kwenye vyombo vya habari na sasa kwenye matangazo yake

Mkiwa wanandoa hakuna mmoja anaweza kujvunia mafanikio bila ya mwenza wako, hata ile tu kuhisi kuwa nyumbani nina mke au mume ananisubiri hata kama hana kazi inakupa nguvu ya kufanya kazi kwa utulivu na amani

Huyu mtalaka wake alikuwa ni mme wa mtu mwenye ndoa halali na mtoto juu, kwa kutumia influence yake wakati huo ya vijisenti na umaarufu akampoka asiye nguvu mume....akumbuke mtenda hutendwa.....

Aukubali ukweli, we are living in the world of impermanence...! Nothing last forever, yeye si wa kwanza kusuffer broken heart na hatakuwa wa mwisho... It happens always and ever... Na katika maisha huwezi kupata kila kitu ni ukweli mchungu! Vijembe na mafumbo havitabadili ukweli wala kumpunguzia maumivu
ATULIEEEE....! BINTI NYAMBIBO

ki ukweli jd ajaroho ya nongwa sana wala sio uongo, anamambo ya uswahili uswahili, kutupiana vijembe hapo ndio kwake. ndivyo alivyo
 
Mgahawa waitwa MOG sio MG...

Ila kasema kweli Life is tough.. sidhani kama kakosea.. hiyo Yahya si aliimba hata kabla hawajatengana na G

Gardner ka move on fasta maana ana kabinti kengine sa hivi

sawa yahaya imetoka kabda ya kutengana, lakini kutupia hako kamsemo kwenye hilo tangazo kunaleta maana ya mtoa mada, coz no way utasema inauhusiano na mgahawa mpya.
 
Inawezekana kabisa hakumaanisha kile ulichokiwaza wewe ila kasema ili watu wafikirie jinsi ulivyofikiria for promo.

kwa kujua tutawaza hivyo tayari kamaanisha, ila moyo wa mtu kichaka no way u can prove it. ila kwa matukio ya huko nyuma i highly convinced
 
Mgahawa waitwa MOG sio MG...

Ila kasema kweli Life is tough.. sidhani kama kakosea.. hiyo Yahya si aliimba hata kabla hawajatengana na G

Gardner ka move on fasta maana ana kabinti kengine sa hivi

heshima mwanaume ni kutoa kitu weka kitu hapana chezea!!!
 
I will take this instance to register my staunch support for the fundamental principle of freedom of expression which, under the thinly veiled guise of decorum, is openly under attack.

Moreover, the vehement centrality of this noble ideal is further strengthened by the fact that I am no particular fan of Jaydee, in fact I detest her talentless lackluster less than church choir drab that passes for singing.

Neverthelss, my love for freedom of expression surpasses my abhorr for Jaydee. Hence, I will support her right to freedom of expression.

As long as it is within reason an doeS not overly encroach on that of others.

kiranga am sorry huu sio muda mzuri wa kusoma post yako, nimei postpone
 
mwanamke kama jeydee kuishi naye hata gadner naona ni mvumilivu sana. naomba niishie hapa kwasababu nitamchana hapa hadi damu. bye.
nimekuelewa tena sanaaaaa, kwa kifupi jide ni mwanamke mwenye moods tena sana, huitaji kukutana face to face kuliona hilo.
 
Hahaa hata Mimi nimepewa zawadi na mtu! Kina mafunzo makubwa for both sides!
Mwanaume akishindwa kuprovide anayeyusha kwenye less important things, ndiyo sababu unaona wanaume wengi ni walevi kupundukia na mara nyingine hujikita kwny michezo kupotezea!
Kizuri mno!

Umenipa nguvu ya kukisoma...niko busy lakini nimesema nikipata muda tu napekua pekua...napenda sana vitabu vya saikolojia...vinasaidia jinsi ya kuelewa tabia za watu; na kuwasamehe inapobidi...

Hiyo quote nimekutana nayo kabla ya kununua wakati nakiperuzi...ndio ikanifanya nitie mkono mfukoni kununua...nikijua fika humu kuna la kujifunza...
 
Back
Top Bottom