Queen Kyusa
JF-Expert Member
- Apr 25, 2011
- 663
- 162
Hapa umeandika nini? umemtetea?Kama ni kweli ni jambo la kawaida kwanini JB alindika yeye ndio mtunzi wa story?Kwanini hadi sasa ana kaza shingo pamoja na ukweli unajulikana?
Rutta na warumi nyie sio wakosoaji bali lengo ni kumdharirisha mtu lugha zenu sio nzuri kabisa. Nandomana naona kama kukopi na kupest jb sio wa kwanza labda mna mengine. Maana jouneGwalu alifafanua hii issue kwa kumqoute manege lakini mlikuja na abusive language kitu ambacho sio fresh.
Kwanza namtetea jb and second refer notice za Moss Def kama hajaelewa nikuprintie kwenye kitini ukakariri ndio urudi jukwaani kukashifu vitu usivyojua
Ina maana hapa ndipo ulipoishia uwezo wako wa kujenga hoja? Kwa kawaida, huwa sina muda wa kupigizana kelele... huwa najibu hoja lakini hapa hakuna ulichoandika na inaonesha wala hufahamu haya mambo yanaendaje!!!Huna lolote wewe hata darasani unajulikana kwa kutoa photocopy maana umepitiliza kwenye copy and paste. Bongo kucopy na kupaste ni kitu cha kawaida so punguza kuhukumu mwemzako mfyuuuu.
Hata MosDef nimemjibu... kwanza amechanganya kati ya idea/wazo na content/maudhui.... hivi ni vitu viwili tofauti na hakuna hati miliki ya idea unless hiyo idea iwe very unique, mathalani ya kwenye filamu ya The Invention of Lies! Saying so, idea ya filamu X inaweza kutumika kwenye filamu Y lakini maudhui yatakuwa tofauti! That's one, but second, issue sio idea or maudhui kutumika na mtu mwingine; unaweza kudhani kwamba filamu X ya Hollywood wamekopi filamu Y ya Bollywood kumbe waliafikiana! Ni jambo la kawaida sana kwa Hollywood kununua indie movie na kufanya remake... kwahiyo unaweza kudhani wamekopi kumbe walifikia makubaliano!Kwanza namtetea jb and second refer notice za Moss Def kama hajaelewa nikuprintie kwenye kitini ukakariri ndio urudi jukwaani kukashifu vitu usivyojua
warumi, wacha nikazie hapo kwenye RED... huu ni wakati wa kuambiana ukweli! Sio bila kumtaarifu muhusika bali bila kukubaliana na muhusika!Ni kosa kisheria kukopi mawazo ya mtu mwingine tena bila kumtaarifu muhusika. Na ndio maana kwenye movie nyingi uandika "ni marufuku kukopi movie hii na soundtrack iliyomo kwenye filamu hii bila idhini ya muhusika, hatua kali za kisheria zitachukuliwa"
By the way, hapo kwenye RED, ana uhakika gani kwamba hao wahusika hawakukubaliana?! Mkuu MosDef, una uhakika hao copier wa Bollywood hawakukubaliana na wamiliki wa original material?Umeandika mambo mengi lakini umejikuta unashindwa kumtetea kwa hoja zenye nguvu bali hoja dhaifu sana!
Hivi kwakuwa wahindi walikopi Hollywood kwa hiyo inampa haki JB kukopi? Kwanini aliandika yeye ndio mtunzi wa story? Yani tusifie upuuzi wa JB kwa upuuzi wa wa hindi?
Kwa hiyo unajaribu kusema JB ni msanii asiye jiweza ndio maana ana kopi? Kwanini ana kopi wakati script writter ni wengi tuu nchini?
Utetezi huu ni dhaifu sana na unaendelea kumdhalilisha JB
Gugo utajua ni upi.Wimbo UPI wa Fa alicopy?
By the way, hapo kwenye RED, ana uhakika gani kwamba hao wahusika hawakukubaliana?! Mkuu MosDef, una uhakika hao copier wa Bollywood hawakukubaliana na wamiliki wa original material?
Hivi ni vitu viwili tofauti kabisa na kv naona hapa chini umechanganya tena, ngoja nifafanunue! Sina shaka umeshaingalia Series ya 24! Sikumbuki ni Season gani, lakini kuna season moja, Chief of Staff (wa US), kupitia watu wake anafanya mchezo na kuwapatia magaidi mitungi ya nerve gas! Awali, Mwandishi ali-suspend lengo la Chief of Staff kutoa mitungi ya nerve gas kwa magaidi lakini baadae tukajuzwa kwamba, kumbe lengo la Chief Of Staff na watu wake ilikuwa ni kuwafanya Magaidi waondoke na ile mitungi ya gas (waliamini wangeenda nayo kwao) lakini Magaidi watakapofika Eastern Europe, Chief of Staff na watu wake wairipue ile mitunge remotely ili mataifa ya Eastern Europe yadhani ni shambulizi lililofanywa na Magaidi! Hiyo tayari ni idea... wewe unaweza kuchukua hiyo idea na kuandika script upya... na hilo kwenye filamu halikatazwi! Na katika uandishi wa script, moja ya source za idea ambazo zinakubalika ni hiyo... kwamba unachukua kipande kidogo sana cha filamu/series kisha unakiandikia upya bila contents kufanana! Na kama umeangalia hiyo season ninayoisema, hilo suala la magaidi kuondoka na nerve gas hadi Eastern Europe wala halikuendelezwa kwenye series kwahiyo hata wewe ukisema uandikie suala hilo itakuwa ni kitu kipya kabisa kv mwandishi wa series ali-divert matumizi ya hizo nerve gas na kutumika ndani ya US!Basi nilichokosea hapo ni kuweka suala la idea badala ya Maudhui!!!
Coz nilikuwa nikisema Idea, nilikuwa namaanisha kila kitu!!!
Ngoja nirudie kwa mara nyingine hapo kwenye RED! Hakuna anayekataa au anayepinga suala la ku-copy and paste... HAKUNA! Ninachosema ni kwamba, kama umevutiwa na filamu fulani na unataka kuichukua kama ilivyo kwa kiasi kikubwa basi ni LAZIMA ufanye makubaliano na wamiliki wa filamu/script husika! Usipofanya nao makubaliano lakini ukaitoa ili watu waamini kwamba hiyo ni original work, basi inakuwa ni wizi wa intellectual property! Haya mambo mie sijayasoma darasani bali nimewahi kufanya attempt ya kuuza script Hollywood kwahiyo nayafahamu from my experience! Ingawaje sijafanikiwa kuuza, but I hope one day nitauza tu! Kwahiyo, kabla sijafanya jaribio hilo, kabla sijafanya hilo jaribio, nilii-study international film industry inside out ikiwa ni pamoja na kuongea na wadau wenyewe... kwahiyo naongea kitu ambacho nafahamu ABC zake!Coz kama umeangalia Movie ya partner ya Salman khan na ile ya "HITCH" utagundua kuwa CONTENTS (kile ambacho unazungumzia zaid) imechukuliwa yote!!!!
Critics waliiponda Ladies Vs Ricky Bahl, Coz ilikuwa imechukua kila kitu kutoka Kwenye John Tucker Must Die, na some Contents kutoka kwenye ile Chasing Papi...
Critics huwa hawapondi Uchukuaji wa ideas, huwa wanaponda uchukuaji wa Contects, ingekuwa hivyo basi Movie za kihindi kibao zingepondwa, kama HNY ya SK, BodyGuard ya Salman, Jaan Dushman ya kina Akshay, Etc hizi zote wamedevelop stories za Hollywood!!
Kama nilivyosema hapo awali... issue sio kufanana issue nikufanya makubaliano! Kwa mfano, ni kweli ukiangalia Iron Man, wanapita mule mule mwa Spiderman na ideas ni zile zile za Captain America and so on!kwenye suala la Sequel, nilikuwa namaanisha suala la ideas (MAUDHUI kama unavyomaanisha) limekuwa gumu sana sahiv, na ubaya watazamaj wamekuwa wakidemand zaid sequels kwenye upande wa Si-ci au comic movies kuliko new inventory, kwasababu mwisho wa siku maudhui yanakuwa yale yale tu, Mfano lastest movies za KisuperHeroes ni Captain America, Thor, Iron Man etc, ambapo ukiziangalia ni ideas zile zile tu za SpiderMan, Superman, batman na WonderWoman, hakuna kipya hapo, Thats why wakipresent idea mpya na ikibamba basi utakuwa ni mwendo wa Sequal tu, Thor ina sequal, Captain America, Iron Man etc!!!
Hapa ndipo lilipo tatizo! Yaani kwavile Bollywood nao wanakopi basi na sisi tuwe tunakopi tu unless tusikie Bollywood nao wamepata matatizo! Then what, matatizo yakianzia kwetu? Wakati unafikiria hayo, malizia na habari zifuatazo:Nilichokuwa namaanisha hapa ni kwamba, copying katika Viwanda tofauti vya movies duniani ipo, Bollywood wanacopy sana movies za Hollywood, SANA, najua ni ilegal lakin sijawah kusikia ikileta tatizo kabisa, NA critics wa Bollywood wasingekuwa wanalalamika sana kama Kweli crew za movie husika zingekuwa zinashirikishwa katika hili!!!!
Kisha:'Ted' Studios, Seth MacFarlane Sued for Stealing Foul-Mouthed Teddy Bear (Exclusive)Bengal Mangle Productions claims it created a character called Charlie that was also a vulgar teddy bear that lived with humans.
............................................
............................................
The suit alleges that Charlie and Ted have similar physical attributes and similar vulgar traits, and that both live in a similar environment, have human friends and maintain an active social media presence.
More: 'Ted' Studios, Seth MacFarlane Sued for Stealing Foul-Mouthed Teddy Bear (Exclusive) - The Hollywood Reporter
Halafu na hii hapa:'The Purge' Studio Hit With Idea Theft Lawsuit
Douglas Jordan-Benel alleges he submitted his "Settler's Day" screenplay to United Talent Agency, which represents the credited writer of "The Purge."
.............................................................
"The plot in both works is also virtually identical," states the lawsuit. "A family must withstand a siege of its fortified home on the one night of the year that killing is legal."More: 'The Purge' Studio Hit With Idea Theft Lawsuit - The Hollywood Reporter
Kwahiyo ndo mnayoyataka hayo?Spike Jonze sued by screenwriters who claim he stole the idea for his film Her from a screenplay they submitted to his talent agency in 2011
Famed director and producer Spike Jonze is being sued over his latest film by two screenwriters who claim he based the film on a screenplay they'd written and submitted to the talent agency that represents the director.
Jonze's 2013 film Her is billed as his 'screenwriting debut' and is described as a 'Spike Jonze love story' about a man - played by Joaquin Phoenix - who falls in love with a computer operating system with the voice of a woman.
More: Spike Jonze sued by screenwriters who claim he stole the idea for Her | Daily Mail Online
Hapa nakubaliana na wewe lakini kama idea ipo very unique wajitahidi kuomba ruhusa kwa wahusika!Me ninachoshauri, ni kuwaambia Wasanii wakibongo wadeal na ideas na Siyo Contents kama unavyosema, na pia ningewaambia Bollywood the Same thing!!!
Huu ni uwanja na mada inayo muhusu JB.. kama hao wengine wakikopi tukathibitisha nao tuta wasema lakini hatuwezi kumtetea JB kwa kigezo ana fanya kama wengine..unatakiwa kujua JB ni msanii mwenye nguvu katika soko la sanaa ndio maana mjadala wake umeteka sana hisia za wengi..kwakuwa ni mmoja ya wasanii wanao tazamwa sana..
Ningekuwa yeye ninge jivunia sana kwa kuthibitisha natazamwa sana maana si rahisi kutega mijadala kama huna ushawishi kwenye soko..kabisa..nani kuhakikishia Filamu hii kauza sana na inayo fata atauza sana maana kila mmoja atataka kujua kafanya nini
Mimi namfatilia sana JB sio kwamba nachangia tuu bali ni mmoja wa wateja wake na ni msanii wa kiume bongo ninaye amini ana uwezo mkubwa sana lakini kwenye hili siwezi kumfumbia macho kabisa..ameharibu.
Teh Teh kwa hiyo unafikiri Moss Def amemtetea JB au amezidi kueleza kuwa yeye ni msanii wa kukopi kwa kuwa hata Bollywood wana copy kutoka hollywood!? Hatuwezi kumtetea mtu au kuhalilisha makosa ya mtu kwa kuwa yalisha fanywa na wengine! Kuuwa hakuwezi kuonekana kuwa sio kosa kwa kuwa wengine huuwa!
Hata utetezi wa rafiki wa JB kama sio mfanyakazi mwenzie umeharibu kabisa na kakubali na kaomba abebe lawama maana yeye ndio aliye kopi maudhui ya filamu hii kutoka kwa filamu tajwa ya kihindi!
Inashangaza wenye ofisi na waliokopi kukubali kosa halafu wewe una kataa sio kosa..na hili halifanyi tufunge mjadala
Hahahaha!!
Asa hapa tulikuwa tunaongelea kuhusu nini??? mbona HNY, Dostana, Heyy Babyy etc ni copy za hollywood na sikuzitolea mfano hapo???
Nimetaja neno "Controvesy" hapo, am sure we ni msomi na Unaelewa, na pia nikasema Anushka Alitembea kila "mahali" kupinga hizo Shutuma..(kama ni msomi utakuwa umeelewa).
Na kingine ni kwa Movie iliFLOP vibaya ule Mwaka!!!! (2011)..
Hivi ni vitu viwili tofauti kabisa na kv naona hapa chini umechanganya tena, ngoja nifafanunue! Sina shaka umeshaingalia Series ya 24! Sikumbuki ni Season gani, lakini kuna season moja, Chief of Staff (wa US), kupitia watu wake anafanya mchezo na kuwapatia magaidi mitungi ya nerve gas! Awali, Mwandishi ali-suspend lengo la Chief of Staff kutoa mitungi ya nerve gas kwa magaidi lakini baadae tukajuzwa kwamba, kumbe lengo la Chief Of Staff na watu wake ilikuwa ni kuwafanya Magaidi waondoke na ile mitungi ya gas (waliamini wangeenda nayo kwao) lakini Magaidi watakapofika Eastern Europe, Chief of Staff na watu wake wairipue ile mitunge remotely ili mataifa ya Eastern Europe yadhani ni shambulizi lililofanywa na Magaidi! Hiyo tayari ni idea... wewe unaweza kuchukua hiyo idea na kuandika script upya... na hilo kwenye filamu halikatazwi! Na katika uandishi wa script, moja ya source za idea ambazo zinakubalika ni hiyo... kwamba unachukua kipande kidogo sana cha filamu/series kisha unakiandikia upya bila contents kufanana! Na kama umeangalia hiyo season ninayoisema, hilo suala la magaidi kuondoka na nerve gas hadi Eastern Europe wala halikuendelezwa kwenye series kwahiyo hata wewe ukisema uandikie suala hilo itakuwa ni kitu kipya kabisa kv mwandishi wa series ali-divert matumizi ya hizo nerve gas na kutumika ndani ya US!
Ngoja nirudie kwa mara nyingine hapo kwenye RED! Hakuna anayekataa au anayepinga suala la ku-copy and paste... HAKUNA! Ninachosema ni kwamba, kama umevutiwa na filamu fulani na unataka kuichukua kama ilivyo kwa kiasi kikubwa basi ni LAZIMA ufanye makubaliano na wamiliki wa filamu/script husika! Usipofanya nao makubaliano lakini ukaitoa ili watu waamini kwamba hiyo ni original work, basi inakuwa ni wizi wa intellectual property! Haya mambo mie sijayasoma darasani bali nimewahi kufanya attempt ya kuuza script Hollywood kwahiyo nayafahamu from my experience! Ingawaje sijafanikiwa kuuza, but I hope one day nitauza tu! Kwahiyo, kabla sijafanya jaribio hilo, kabla sijafanya hilo jaribio, nilii-study international film industry inside out ikiwa ni pamoja na kuongea na wadau wenyewe... kwahiyo naongea kitu ambacho nafahamu ABC zake!
Hivyo basi, kwanza, hata kama fulani na fulani wa nchi fulani alikopi movie hii na ile kutoka nchi ABC, bado hicho hakiwezi kuwa kigezo cha mtu mwingine, katka mjadala huu JB, kukopi filamu ya mtu bila makubaliano! Lakini kubwa kuliko yote, una uhakika gani kwamba huyo ambae alikopi filamu fulani hakufanya makubaliano ya aina yoyote na mmiliki wa filamu husika?
Kama nilivyosema hapo awali... issue sio kufanana issue nikufanya makubaliano! Kwa mfano, ni kweli ukiangalia Iron Man, wanapita mule mule mwa Spiderman na ideas ni zile zile za Captain America and so on!
Hata hivyo, hapa nikukumbushe au kukujuza jambo moja kama ulikuwa hufahamu! Filamu na series nyingi Hollywood, pamoja na kutokana na novels, zingine zinatokana na comic books kama The Walking Dead! Iron Man nayo inatokana na comic book kutoka Marvel Comics! Na hata hizo Spider Man na Captain America nazo zinatokana na Marvel Comics! Sina uhakika na hiyo Thorn! Sasa basi, ukiangalia mlolongo huo, utaona kwamba Spiderman, Iron Man, Captain America, zote ni baba mmoja mama mmoja kwahiyo hakuna wizi uliofanyika! Hata X-Man na Iron Fist nazo zinatoka huko huko kwenye Marvel Comics! Kwahiyo hizo issue za hizo filamu huwezi kuzilinganisha na suala la JB kv zote hizo source yake ni sehemu moja... Marvel Comics! Na Marvel wana materials nyingi sana coz' hii kampuni ni ya muda mrefu, kwahiyo hata wewe kama una pesa, unaweza kuingia mkataba na Marvel Publications kwa Marvel Comics uipendayo na ukatengeneza movie/series!
Hapa ndipo lilipo tatizo! Yaani kwavile Bollywood nao wanakopi basi na sisi tuwe tunakopi tu unless tusikie Bollywood nao wamepata matatizo! Then what, matatizo yakianzia kwetu? Wakati unafikiria hayo, malizia na habari zifuatazo:
Kisha:Halafu na hii hapa:Kwahiyo ndo mnayoyataka hayo?
Hapa nakubaliana na wewe lakini kama idea ipo very unique wajitahidi kuomba ruhusa kwa wahusika!
hii ni movie ya kwanza ambayo imekuwa Copied hapa Bongo???
Hivi ndivyo unavyo mtetea? Katika jambo linalo nkchekesha na kuni sikitisha kwa wakati mmoja ni kuona aina hii ya utetezi! Huu ni utetezi dhaifu..
Fikiria huko mahakamani halafu mtu anaye tuhumiwa kuuwa anapewa nafasi ya kujitetea bila kufikiri ana muuliza mwendesha mashitaka kwani mimi ni mtu wa kwanza kuua hapa Tanzania?
Utamuonaje huyu mtuhumiwa?
Kwa hiyo tuna halalisha kosa la mtu kwakuwa kuna wengine walifanya?
Kwa hiyo makosa ya wengine yanamfanya JB aonekane hajafanya kosa?