JB na Skendo mpya ya kuiba mawazo ya Movie ya ''Ladies Vs Ricky Bahl"

JB na Skendo mpya ya kuiba mawazo ya Movie ya ''Ladies Vs Ricky Bahl"

Hapa umeandika nini? umemtetea?Kama ni kweli ni jambo la kawaida kwanini JB alindika yeye ndio mtunzi wa story?Kwanini hadi sasa ana kaza shingo pamoja na ukweli unajulikana?

Kwanza namtetea jb and second refer notice za Moss Def kama hajaelewa nikuprintie kwenye kitini ukakariri ndio urudi jukwaani kukashifu vitu usivyojua
 
Rutta na warumi nyie sio wakosoaji bali lengo ni kumdharirisha mtu lugha zenu sio nzuri kabisa. Nandomana naona kama kukopi na kupest jb sio wa kwanza labda mna mengine. Maana jouneGwalu alifafanua hii issue kwa kumqoute manege lakini mlikuja na abusive language kitu ambacho sio fresh.

Queen Kyusa naomba uoneshe nilipo mdhalilisha JB au msanii yeyote au humu nipo tayari kuwambia mods wanipe ban! Huwa situkani au kudhalilisha mtu hata siku moja na sito fanya hivyo na sijawai kufanya hivyo!

Kama una ushahidi weka hapa tuwambie moderator wamipe adhabu au ukishindwa hiyo tafuta nilipo mtukana au kumdhalilisha yeyote humu jf!

Mimi napenda mijadala ya amani ata kama mtu akinitukana huwa adhabu ni kupuuza au kubonyeza kitufe.
 
Last edited by a moderator:
Kwanza namtetea jb and second refer notice za Moss Def kama hajaelewa nikuprintie kwenye kitini ukakariri ndio urudi jukwaani kukashifu vitu usivyojua

Teh Teh kwa hiyo unafikiri Moss Def amemtetea JB au amezidi kueleza kuwa yeye ni msanii wa kukopi kwa kuwa hata Bollywood wana copy kutoka hollywood!? Hatuwezi kumtetea mtu au kuhalilisha makosa ya mtu kwa kuwa yalisha fanywa na wengine! Kuuwa hakuwezi kuonekana kuwa sio kosa kwa kuwa wengine huuwa!

Hata utetezi wa rafiki wa JB kama sio mfanyakazi mwenzie umeharibu kabisa na kakubali na kaomba abebe lawama maana yeye ndio aliye kopi maudhui ya filamu hii kutoka kwa filamu tajwa ya kihindi!

Inashangaza wenye ofisi na waliokopi kukubali kosa halafu wewe una kataa sio kosa..na hili halifanyi tufunge mjadala
 
Huna lolote wewe hata darasani unajulikana kwa kutoa photocopy maana umepitiliza kwenye copy and paste. Bongo kucopy na kupaste ni kitu cha kawaida so punguza kuhukumu mwemzako mfyuuuu.
Ina maana hapa ndipo ulipoishia uwezo wako wa kujenga hoja? Kwa kawaida, huwa sina muda wa kupigizana kelele... huwa najibu hoja lakini hapa hakuna ulichoandika na inaonesha wala hufahamu haya mambo yanaendaje!!!
 
Kwanza namtetea jb and second refer notice za Moss Def kama hajaelewa nikuprintie kwenye kitini ukakariri ndio urudi jukwaani kukashifu vitu usivyojua
Hata MosDef nimemjibu... kwanza amechanganya kati ya idea/wazo na content/maudhui.... hivi ni vitu viwili tofauti na hakuna hati miliki ya idea unless hiyo idea iwe very unique, mathalani ya kwenye filamu ya The Invention of Lies! Saying so, idea ya filamu X inaweza kutumika kwenye filamu Y lakini maudhui yatakuwa tofauti! That's one, but second, issue sio idea or maudhui kutumika na mtu mwingine; unaweza kudhani kwamba filamu X ya Hollywood wamekopi filamu Y ya Bollywood kumbe waliafikiana! Ni jambo la kawaida sana kwa Hollywood kununua indie movie na kufanya remake... kwahiyo unaweza kudhani wamekopi kumbe walifikia makubaliano!

Aidha, kwenye hoja hizo hizo za MosDef amezungumzia masuala ya sequel na nikazungumza kwamba usidhani hizo sequel watu wanazi-produce tu utakavyo wewe... Mwandishi unapouza script, mara nyingi kwenye mkataba kunakuwa na kipingele kinachokutaka ukubali kwaba unauza na haki ya ku-produce na viti kama sequel. t-shirts, series n.k ingawaje ukiwa na mwanasheria anayeijuwa industry lazima nae atataka kufahamu ni compensation ya aina gani mteja wake ataipata inapotokea script yake imetumika ku-produce vitu mbali na filamu... vitu kv sequel, t-shirts, series, n.k! Aidha, mwandishi anapouza au hata ku-option script, kwenye mkataba lazima utakuta kuna kipengele kinachomtaka Mwandishi aeleze ikiwa script yake ni original material or adapted content or may be ni true story!

Ikiwa script ni adapted content, hapo script haiwezi kununuliwa wala kuwa optioned unless mwandishi aoneshe kwamba amepewa haki na owner wa adapted novel kutumia kitabu chake kuandika script! Lakini pamoja na hayo, bado mtengenezaji wa filamu atakuwa na wajibu wa kutoa credit kwa novel husika!

Kwahiyo badala ya kuleta mipasho, uwe unaleta hoja! Kwa suala la JB hoja ni moja tu kwamba aliingia makubaliano na mmiliki wa Ladies Vs Rick Bahl kinyume cha hapo kilichofanyika ni wizi na utetetezi wa mwandishi wake wala hauwezi kufuta ukweli huo! Aidha, utetezi wa Mwandishi hauwezi kumfanya JB awe salama coz' na yeye(JB) alikuwa na wajibu wa kuhakikisha kwamba kazi anayoitumia ni original material otherwise, Mwandishi wake alitakiwa kuthibitisha kwamba alipewa haki ya kuitumia Ladies Vs Rick Bahl! [FONT=arial, sans-serif]Aidha,[/FONT] utetezi usio na nguvu hata punje kusema eti mbona watu kibao wanakopi na kv watu wengi wanakopi, ndo basi tena wengine wasiseme! Ben Pol katika wimbo wake Jikubali alikopopi idea na contents za Hall Of Fame na watu wakamchana vile vile...
 
Last edited by a moderator:
Ni kosa kisheria kukopi mawazo ya mtu mwingine tena bila kumtaarifu muhusika. Na ndio maana kwenye movie nyingi uandika "ni marufuku kukopi movie hii na soundtrack iliyomo kwenye filamu hii bila idhini ya muhusika, hatua kali za kisheria zitachukuliwa"
warumi, wacha nikazie hapo kwenye RED... huu ni wakati wa kuambiana ukweli! Sio bila kumtaarifu muhusika bali bila kukubaliana na muhusika!
 
Umeandika mambo mengi lakini umejikuta unashindwa kumtetea kwa hoja zenye nguvu bali hoja dhaifu sana!

Hivi kwakuwa wahindi walikopi Hollywood kwa hiyo inampa haki JB kukopi? Kwanini aliandika yeye ndio mtunzi wa story? Yani tusifie upuuzi wa JB kwa upuuzi wa wa hindi?

Kwa hiyo unajaribu kusema JB ni msanii asiye jiweza ndio maana ana kopi? Kwanini ana kopi wakati script writter ni wengi tuu nchini?

Utetezi huu ni dhaifu sana na unaendelea kumdhalilisha JB
By the way, hapo kwenye RED, ana uhakika gani kwamba hao wahusika hawakukubaliana?! Mkuu MosDef, una uhakika hao copier wa Bollywood hawakukubaliana na wamiliki wa original material?
 
Last edited by a moderator:
By the way, hapo kwenye RED, ana uhakika gani kwamba hao wahusika hawakukubaliana?! Mkuu MosDef, una uhakika hao copier wa Bollywood hawakukubaliana na wamiliki wa original material?

Hahahaha!!

Asa hapa tulikuwa tunaongelea kuhusu nini??? mbona HNY, Dostana, Heyy Babyy etc ni copy za hollywood na sikuzitolea mfano hapo???

Nimetaja neno "Controvesy" hapo, am sure we ni msomi na Unaelewa, na pia nikasema Anushka Alitembea kila "mahali" kupinga hizo Shutuma..(kama ni msomi utakuwa umeelewa).

Na kingine ni kwa Movie iliFLOP vibaya ule Mwaka!!!! (2011)..
 
Last edited by a moderator:
Basi nilichokosea hapo ni kuweka suala la idea badala ya Maudhui!!!

Coz nilikuwa nikisema Idea, nilikuwa namaanisha kila kitu!!!
Hivi ni vitu viwili tofauti kabisa na kv naona hapa chini umechanganya tena, ngoja nifafanunue! Sina shaka umeshaingalia Series ya 24! Sikumbuki ni Season gani, lakini kuna season moja, Chief of Staff (wa US), kupitia watu wake anafanya mchezo na kuwapatia magaidi mitungi ya nerve gas! Awali, Mwandishi ali-suspend lengo la Chief of Staff kutoa mitungi ya nerve gas kwa magaidi lakini baadae tukajuzwa kwamba, kumbe lengo la Chief Of Staff na watu wake ilikuwa ni kuwafanya Magaidi waondoke na ile mitungi ya gas (waliamini wangeenda nayo kwao) lakini Magaidi watakapofika Eastern Europe, Chief of Staff na watu wake wairipue ile mitunge remotely ili mataifa ya Eastern Europe yadhani ni shambulizi lililofanywa na Magaidi! Hiyo tayari ni idea... wewe unaweza kuchukua hiyo idea na kuandika script upya... na hilo kwenye filamu halikatazwi! Na katika uandishi wa script, moja ya source za idea ambazo zinakubalika ni hiyo... kwamba unachukua kipande kidogo sana cha filamu/series kisha unakiandikia upya bila contents kufanana! Na kama umeangalia hiyo season ninayoisema, hilo suala la magaidi kuondoka na nerve gas hadi Eastern Europe wala halikuendelezwa kwenye series kwahiyo hata wewe ukisema uandikie suala hilo itakuwa ni kitu kipya kabisa kv mwandishi wa series ali-divert matumizi ya hizo nerve gas na kutumika ndani ya US!
Coz kama umeangalia Movie ya partner ya Salman khan na ile ya "HITCH" utagundua kuwa CONTENTS (kile ambacho unazungumzia zaid) imechukuliwa yote!!!!

Critics waliiponda Ladies Vs Ricky Bahl, Coz ilikuwa imechukua kila kitu kutoka Kwenye John Tucker Must Die, na some Contents kutoka kwenye ile Chasing Papi...

Critics huwa hawapondi Uchukuaji wa ideas, huwa wanaponda uchukuaji wa Contects, ingekuwa hivyo basi Movie za kihindi kibao zingepondwa, kama HNY ya SK, BodyGuard ya Salman, Jaan Dushman ya kina Akshay, Etc hizi zote wamedevelop stories za Hollywood!!
Ngoja nirudie kwa mara nyingine hapo kwenye RED! Hakuna anayekataa au anayepinga suala la ku-copy and paste... HAKUNA! Ninachosema ni kwamba, kama umevutiwa na filamu fulani na unataka kuichukua kama ilivyo kwa kiasi kikubwa basi ni LAZIMA ufanye makubaliano na wamiliki wa filamu/script husika! Usipofanya nao makubaliano lakini ukaitoa ili watu waamini kwamba hiyo ni original work, basi inakuwa ni wizi wa intellectual property! Haya mambo mie sijayasoma darasani bali nimewahi kufanya attempt ya kuuza script Hollywood kwahiyo nayafahamu from my experience! Ingawaje sijafanikiwa kuuza, but I hope one day nitauza tu! Kwahiyo, kabla sijafanya jaribio hilo, kabla sijafanya hilo jaribio, nilii-study international film industry inside out ikiwa ni pamoja na kuongea na wadau wenyewe... kwahiyo naongea kitu ambacho nafahamu ABC zake!

Hivyo basi, kwanza, hata kama fulani na fulani wa nchi fulani alikopi movie hii na ile kutoka nchi ABC, bado hicho hakiwezi kuwa kigezo cha mtu mwingine, katka mjadala huu JB, kukopi filamu ya mtu bila makubaliano! Lakini kubwa kuliko yote, una uhakika gani kwamba huyo ambae alikopi filamu fulani hakufanya makubaliano ya aina yoyote na mmiliki wa filamu husika?
kwenye suala la Sequel, nilikuwa namaanisha suala la ideas (MAUDHUI kama unavyomaanisha) limekuwa gumu sana sahiv, na ubaya watazamaj wamekuwa wakidemand zaid sequels kwenye upande wa Si-ci au comic movies kuliko new inventory, kwasababu mwisho wa siku maudhui yanakuwa yale yale tu, Mfano lastest movies za KisuperHeroes ni Captain America, Thor, Iron Man etc, ambapo ukiziangalia ni ideas zile zile tu za SpiderMan, Superman, batman na WonderWoman, hakuna kipya hapo, Thats why wakipresent idea mpya na ikibamba basi utakuwa ni mwendo wa Sequal tu, Thor ina sequal, Captain America, Iron Man etc!!!
Kama nilivyosema hapo awali... issue sio kufanana issue nikufanya makubaliano! Kwa mfano, ni kweli ukiangalia Iron Man, wanapita mule mule mwa Spiderman na ideas ni zile zile za Captain America and so on!

Hata hivyo, hapa nikukumbushe au kukujuza jambo moja kama ulikuwa hufahamu! Filamu na series nyingi Hollywood, pamoja na kutokana na novels, zingine zinatokana na comic books kama The Walking Dead! Iron Man nayo inatokana na comic book kutoka Marvel Comics! Na hata hizo Spider Man na Captain America nazo zinatokana na Marvel Comics! Sina uhakika na hiyo Thorn! Sasa basi, ukiangalia mlolongo huo, utaona kwamba Spiderman, Iron Man, Captain America, zote ni baba mmoja mama mmoja kwahiyo hakuna wizi uliofanyika! Hata X-Man na Iron Fist nazo zinatoka huko huko kwenye Marvel Comics! Kwahiyo hizo issue za hizo filamu huwezi kuzilinganisha na suala la JB kv zote hizo source yake ni sehemu moja... Marvel Comics! Na Marvel wana materials nyingi sana coz' hii kampuni ni ya muda mrefu, kwahiyo hata wewe kama una pesa, unaweza kuingia mkataba na Marvel Publications kwa Marvel Comics uipendayo na ukatengeneza movie/series!
Nilichokuwa namaanisha hapa ni kwamba, copying katika Viwanda tofauti vya movies duniani ipo, Bollywood wanacopy sana movies za Hollywood, SANA, najua ni ilegal lakin sijawah kusikia ikileta tatizo kabisa, NA critics wa Bollywood wasingekuwa wanalalamika sana kama Kweli crew za movie husika zingekuwa zinashirikishwa katika hili!!!!
Hapa ndipo lilipo tatizo! Yaani kwavile Bollywood nao wanakopi basi na sisi tuwe tunakopi tu unless tusikie Bollywood nao wamepata matatizo! Then what, matatizo yakianzia kwetu? Wakati unafikiria hayo, malizia na habari zifuatazo:
'Ted' Studios, Seth MacFarlane Sued for Stealing Foul-Mouthed Teddy Bear (Exclusive)Bengal Mangle Productions claims it created a character called Charlie that was also a vulgar teddy bear that lived with humans.
............................................
............................................

The suit alleges that Charlie and Ted have similar physical attributes and similar vulgar traits, and that both live in a similar environment, have human friends and maintain an active social media presence.
More: 'Ted' Studios, Seth MacFarlane Sued for Stealing Foul-Mouthed Teddy Bear (Exclusive) - The Hollywood Reporter
Kisha:
'The Purge' Studio Hit With Idea Theft Lawsuit
Douglas Jordan-Benel alleges he submitted his "Settler's Day" screenplay to United Talent Agency, which represents the credited writer of "The Purge."
.............................................................
"The plot in both works is also virtually identical," states the lawsuit. "A family must withstand a siege of its fortified home on the one night of the year that killing is legal."More: 'The Purge' Studio Hit With Idea Theft Lawsuit - The Hollywood Reporter
Halafu na hii hapa:
Spike Jonze sued by screenwriters who claim he stole the idea for his film Her from a screenplay they submitted to his talent agency in 2011

Famed director and producer Spike Jonze is being sued over his latest film by two screenwriters who claim he based the film on a screenplay they'd written and submitted to the talent agency that represents the director.
Jonze's 2013 film Her is billed as his 'screenwriting debut' and is described as a 'Spike Jonze love story' about a man - played by Joaquin Phoenix - who falls in love with a computer operating system with the voice of a woman.

More: Spike Jonze sued by screenwriters who claim he stole the idea for Her | Daily Mail Online
Kwahiyo ndo mnayoyataka hayo?
Me ninachoshauri, ni kuwaambia Wasanii wakibongo wadeal na ideas na Siyo Contents kama unavyosema, na pia ningewaambia Bollywood the Same thing!!!
Hapa nakubaliana na wewe lakini kama idea ipo very unique wajitahidi kuomba ruhusa kwa wahusika!
 
warumi, wacha nikazie hapo kwenye RED... huu ni wakati wa kuambiana ukweli! Sio bila kumtaarifu muhusika bali bila kukubaliana na muhusika!

I'm sorry my fellow participant, I'm not that good in Swahili....then naomba turudi kwenye Topic tafadhali
 
Huu ni uwanja na mada inayo muhusu JB.. kama hao wengine wakikopi tukathibitisha nao tuta wasema lakini hatuwezi kumtetea JB kwa kigezo ana fanya kama wengine..unatakiwa kujua JB ni msanii mwenye nguvu katika soko la sanaa ndio maana mjadala wake umeteka sana hisia za wengi..kwakuwa ni mmoja ya wasanii wanao tazamwa sana..

Ningekuwa yeye ninge jivunia sana kwa kuthibitisha natazamwa sana maana si rahisi kutega mijadala kama huna ushawishi kwenye soko..kabisa..nani kuhakikishia Filamu hii kauza sana na inayo fata atauza sana maana kila mmoja atataka kujua kafanya nini

Mimi namfatilia sana JB sio kwamba nachangia tuu bali ni mmoja wa wateja wake na ni msanii wa kiume bongo ninaye amini ana uwezo mkubwa sana lakini kwenye hili siwezi kumfumbia macho kabisa..ameharibu.

hii ni movie ya kwanza ambayo imekuwa Copied hapa Bongo???
 
Teh Teh kwa hiyo unafikiri Moss Def amemtetea JB au amezidi kueleza kuwa yeye ni msanii wa kukopi kwa kuwa hata Bollywood wana copy kutoka hollywood!? Hatuwezi kumtetea mtu au kuhalilisha makosa ya mtu kwa kuwa yalisha fanywa na wengine! Kuuwa hakuwezi kuonekana kuwa sio kosa kwa kuwa wengine huuwa!

Hata utetezi wa rafiki wa JB kama sio mfanyakazi mwenzie umeharibu kabisa na kakubali na kaomba abebe lawama maana yeye ndio aliye kopi maudhui ya filamu hii kutoka kwa filamu tajwa ya kihindi!

Inashangaza wenye ofisi na waliokopi kukubali kosa halafu wewe una kataa sio kosa..na hili halifanyi tufunge mjadala

Mwambie akasome INTELLECTUAL PROPERTY RIGHTS vizuri na kwa umakini then arudi apa atuelezee ameelewa nini , amuulize ata mwanafunzi Wa chuo atamsaidia then waje apa tupambane vizuri.
 
Hahahaha!!

Asa hapa tulikuwa tunaongelea kuhusu nini??? mbona HNY, Dostana, Heyy Babyy etc ni copy za hollywood na sikuzitolea mfano hapo???

Nimetaja neno "Controvesy" hapo, am sure we ni msomi na Unaelewa, na pia nikasema Anushka Alitembea kila "mahali" kupinga hizo Shutuma..(kama ni msomi utakuwa umeelewa).

Na kingine ni kwa Movie iliFLOP vibaya ule Mwaka!!!! (2011)..

Naomba umuulize mwanafunzi yeyote aliyesoma sheria akueleweshe nini maana ya intellectual property rights then uje utueleze umeelewa nini then mtanange uendelee
 
Hivi ni vitu viwili tofauti kabisa na kv naona hapa chini umechanganya tena, ngoja nifafanunue! Sina shaka umeshaingalia Series ya 24! Sikumbuki ni Season gani, lakini kuna season moja, Chief of Staff (wa US), kupitia watu wake anafanya mchezo na kuwapatia magaidi mitungi ya nerve gas! Awali, Mwandishi ali-suspend lengo la Chief of Staff kutoa mitungi ya nerve gas kwa magaidi lakini baadae tukajuzwa kwamba, kumbe lengo la Chief Of Staff na watu wake ilikuwa ni kuwafanya Magaidi waondoke na ile mitungi ya gas (waliamini wangeenda nayo kwao) lakini Magaidi watakapofika Eastern Europe, Chief of Staff na watu wake wairipue ile mitunge remotely ili mataifa ya Eastern Europe yadhani ni shambulizi lililofanywa na Magaidi! Hiyo tayari ni idea... wewe unaweza kuchukua hiyo idea na kuandika script upya... na hilo kwenye filamu halikatazwi! Na katika uandishi wa script, moja ya source za idea ambazo zinakubalika ni hiyo... kwamba unachukua kipande kidogo sana cha filamu/series kisha unakiandikia upya bila contents kufanana! Na kama umeangalia hiyo season ninayoisema, hilo suala la magaidi kuondoka na nerve gas hadi Eastern Europe wala halikuendelezwa kwenye series kwahiyo hata wewe ukisema uandikie suala hilo itakuwa ni kitu kipya kabisa kv mwandishi wa series ali-divert matumizi ya hizo nerve gas na kutumika ndani ya US!
Ngoja nirudie kwa mara nyingine hapo kwenye RED! Hakuna anayekataa au anayepinga suala la ku-copy and paste... HAKUNA! Ninachosema ni kwamba, kama umevutiwa na filamu fulani na unataka kuichukua kama ilivyo kwa kiasi kikubwa basi ni LAZIMA ufanye makubaliano na wamiliki wa filamu/script husika! Usipofanya nao makubaliano lakini ukaitoa ili watu waamini kwamba hiyo ni original work, basi inakuwa ni wizi wa intellectual property! Haya mambo mie sijayasoma darasani bali nimewahi kufanya attempt ya kuuza script Hollywood kwahiyo nayafahamu from my experience! Ingawaje sijafanikiwa kuuza, but I hope one day nitauza tu! Kwahiyo, kabla sijafanya jaribio hilo, kabla sijafanya hilo jaribio, nilii-study international film industry inside out ikiwa ni pamoja na kuongea na wadau wenyewe... kwahiyo naongea kitu ambacho nafahamu ABC zake!

Hivyo basi, kwanza, hata kama fulani na fulani wa nchi fulani alikopi movie hii na ile kutoka nchi ABC, bado hicho hakiwezi kuwa kigezo cha mtu mwingine, katka mjadala huu JB, kukopi filamu ya mtu bila makubaliano! Lakini kubwa kuliko yote, una uhakika gani kwamba huyo ambae alikopi filamu fulani hakufanya makubaliano ya aina yoyote na mmiliki wa filamu husika?
Kama nilivyosema hapo awali... issue sio kufanana issue nikufanya makubaliano! Kwa mfano, ni kweli ukiangalia Iron Man, wanapita mule mule mwa Spiderman na ideas ni zile zile za Captain America and so on!

Hata hivyo, hapa nikukumbushe au kukujuza jambo moja kama ulikuwa hufahamu! Filamu na series nyingi Hollywood, pamoja na kutokana na novels, zingine zinatokana na comic books kama The Walking Dead! Iron Man nayo inatokana na comic book kutoka Marvel Comics! Na hata hizo Spider Man na Captain America nazo zinatokana na Marvel Comics! Sina uhakika na hiyo Thorn! Sasa basi, ukiangalia mlolongo huo, utaona kwamba Spiderman, Iron Man, Captain America, zote ni baba mmoja mama mmoja kwahiyo hakuna wizi uliofanyika! Hata X-Man na Iron Fist nazo zinatoka huko huko kwenye Marvel Comics! Kwahiyo hizo issue za hizo filamu huwezi kuzilinganisha na suala la JB kv zote hizo source yake ni sehemu moja... Marvel Comics! Na Marvel wana materials nyingi sana coz' hii kampuni ni ya muda mrefu, kwahiyo hata wewe kama una pesa, unaweza kuingia mkataba na Marvel Publications kwa Marvel Comics uipendayo na ukatengeneza movie/series!
Hapa ndipo lilipo tatizo! Yaani kwavile Bollywood nao wanakopi basi na sisi tuwe tunakopi tu unless tusikie Bollywood nao wamepata matatizo! Then what, matatizo yakianzia kwetu? Wakati unafikiria hayo, malizia na habari zifuatazo:
Kisha:Halafu na hii hapa:Kwahiyo ndo mnayoyataka hayo?
Hapa nakubaliana na wewe lakini kama idea ipo very unique wajitahidi kuomba ruhusa kwa wahusika!

Safiiii , mwambie atafute mwanafunzi yeyote Wa chuo amueleweshe kuhusu intellectual property rights sio anatetea vitu ambavyo hajui..

Then hao Bollywood wanapo copy movie za Hollywood wana uhakika gani hawakuwasiliana na wahusika kuhusu Ku re produce hizo movie wanazokopi? Wenzetu uko majuu ni wasomi na wameendelea suala la intellectual property rights iko strictly implemented unlike nchi za kimaskini with low level of education kama Tanzania....

Inabidi hii ishu ya IPR ianzwe kufundishwa kwa wasanii wote waielewe..
 
chige katika masuala ya IP, itabidi ujue Sheria za ndani ya NCHI husika ndo zinakuwa implemented zaid kubana mambo ya Copyright brother..ni rahis sana Kwa kusue for copyright infringement within A country, kuliko kufanya hivyo intenationally!!!

Ngoja nikwambie kitu, ukifatilia sheria za IP, sheria mujarabu always inakuwa ni Copyright, hii huwa inavunjwa sana, na haishangaz huko US kuna baadhi ya states mwaka 2011 waliipitisha kama Criminal offense!!! wamarekan wamefail kuexcute suala la international Copyright infringement at some point, Manake wanasheria ya International Copyright ambayo inaGovern mambo ya Foreigners conducts katika Mambo ya copyright..lakin kibaya zaid, hii sheria haiko enforced kabisa Outside America au UK, manake kuna Wachambuzi wa masuala ya sheria wanasema Practically International Copyright Act haipo, japokuwa ukicheki Laws za US or UK utaikuta, Kwanini wanasema hivyo??? (nadhan nishaeleza hilo tatizo kwenye Posts zangu za mwanzo)...

Now, kiukweli, ni kwamba Suala la Copyrights lipo zaid katika treaties, signatory countries zinakuwa bound zaid na hiz treaties kuliko laws (international Copyright Act)..Tanzania kuhusu hili suala nadhan tupo katika Berne convention, the same to India, Muulize mtu yoyote anayejua Sheria hi ni Convention "Agreement" yenye Exception kibao sana, na haim-bani sana muhusika wake, (kaisome Vizuri)..

Na kitu kingine chige, Implementation ya Laws ni tofauti na treaties, treaties ni "mutual agreement" haiwez kuwa Enforced bro, imagine kama Hizi treaties ndo zingekuwa laws, kungekuwa na mambo ya kuCopy??? kwann US na international Copyright Act wamefail kucaptalize kuhusu hili suala la copyright internationally???

Case nyingi za US, ni Directors au Authors kuiba ideas ambazo wamekuwa wameletewa na undergrounds, au kuiba ideas za Movie houses zingine, lakin ZILE za kuCopy MOVIE iliyotoka tayari ni CHACHE SANA!!
 
Last edited by a moderator:
Naomba umuulize mwanafunzi yeyote aliyesoma sheria akueleweshe nini maana ya intellectual property rights then uje utueleze umeelewa nini then mtanange uendelee

Hahahahaha!!!
warumi, Kwenye Laws???

usije Huko!!!
 
Last edited by a moderator:
hii ni movie ya kwanza ambayo imekuwa Copied hapa Bongo???

Hivi ndivyo unavyo mtetea? Katika jambo linalo nkchekesha na kuni sikitisha kwa wakati mmoja ni kuona aina hii ya utetezi! Huu ni utetezi dhaifu..

Fikiria huko mahakamani halafu mtu anaye tuhumiwa kuuwa anapewa nafasi ya kujitetea bila kufikiri ana muuliza mwendesha mashitaka kwani mimi ni mtu wa kwanza kuua hapa Tanzania?
Utamuonaje huyu mtuhumiwa?

Kwa hiyo tuna halalisha kosa la mtu kwakuwa kuna wengine walifanya?
Kwa hiyo makosa ya wengine yanamfanya JB aonekane hajafanya kosa?
 
So Kama JB siyo wa kwanza, kama mdau wa Bongo movie ulikuwa wapi kuanisha suala la Kucopy movies za nje kuwa ni TATIZO hapa Bongo???

Kwasababu kama unapenda Movies za Bongo, lazima hili tatizo ulikuwa unalijua kabla la hili la JB..

Na kusema kwamba umeamua kulivalia njuga suala la JB kucopy coz we ni mshabiki wake na hukutegemea kuwa atafanya hivyo huo ni "ufikiri mdogo"

Manake Actors wengine wakiCopy itakuwa ni sawa kwako coz we siyo mshabiki wao, wakat suala la kucopy ni tatizo la Tasnia nzima na JB yupo katika Tasnia hii!!!

BTW. Hata Mahakaman huwa wanatumia Case laws (previous Cases) kuoanisha nadharia ya case husika kablia hawajajiridhisha kutoa Judgement!!!
 
Back
Top Bottom