Kwanini haku hakusema kuwa amechukua kutoka sehemu fulani au kuonesha kushukuru hiyo movie.? Mnatetea bure tuu ameboronga kabisa huyu hakutakiwa kukopi na kupaste kabisa kila kitu..huyu JB kaishiwa kabisa na amekosa la kujitetea kabisa..
Huyu Zamaradi wiki Jana aliisifia sana. Baada ya kuonyeshwa kuwa amecopy anaanza kuponda. Vipindi vingne wanaanzisha hats siyo watafiti mpaka waambiwe
Nawashangaa kuna watu wana mtetea humu mkuu lusungo mimi niliangalia movie hiyo jama kwenye kipindi cha zamaradi hakika JB kakopi maneno,character ,mpangilio wa movie hadi movement za character halafu anajifanya kuchukia kwa kuwa kasemwa.
Kwani kuna tatizo gani akikosoa? Mwanzo alisifia movie lakini baada ya kuambiwa alikwenda kuangalia akakuta JB kakopi hadi nukta..na uzuri ilioneshwa kila kitu...Zamaradi kafanya kazi yake...nzuri sana!
Zamaradi yuko smart sana , kafanya vzur kwa kweli, tumshukuru na mdau aliyetuto tongo tongo kuhusu hyo movie , ila jb atatamani kumuua hyo mtu kwa kweli maana kamuaibisha sana
Kosa la defence ni goli? Haoni ata aibu mwizi mkubwa huyo na mtumbo wake kama fuko la mavi..ashtakiwe hyo asidhan sifa
Huo sio usanii ni utapeli na uvivu wa kufikiri, mbona katika maisha kuna story nyingi tu za kusisimua? JB kazoea kuiba hii sio movie ya kwanza kufanya ivi kuna regina na DANIJA, wizi wa idea sio mbya ila jamaa kazidi hadi scene zinafanana
umesahau na movie yake ya signature kakkopy
Kama Aidia Ni Nzur.Na Yeye Akaona Akiiweka Katika Maudhui Ya Kitanzania Itavutia Wengi Tatizo Liko Wapi.Sisi Tunataka Burudani.
Inatuhusu Nini Sisi Kama Alikopi.Istoshe Muvi Yenyewe Inafanya Vizuri Sokoni.Huo Ni Wivu Tu Wa Sisi Wabongo.Tunamtafutia Vikasoro Ili Tumuharibia.
Tusubiri Mpaka Hao Wahindi Wenyewe Walalamike Kuwa Muvi Yao Imekopiwa.Tuache Viherehere
Signature alimkopi nani?
kuna muvi flani ya kizungu nimeisahau tena kuna wadada watatu nkikumbuka ntaweka maana ni mda
Kuna nyingine ya kiamerika inaitwa deliver us from eve.