JB na Skendo mpya ya kuiba mawazo ya Movie ya ''Ladies Vs Ricky Bahl"

Huyo zamaradi wake ni wivu tu na muvi idea yake ya kigodoro haijampeleka popote sasa kabakia kupondea na kuonea wivu wenzake

Naomba uwambie wana jamvi na uoneshe wivu unao uongelea hapa..kusema ukweli ni wivu?hajakopi movie? kwanini alishindwa ku acknowladge?
 
Wengi hatuijui hiyo ya kihindi ila wewe peke yako na unaleta majungu hapa na wewe haujakatazwa kucopy na kupaste style za watangazaji wakubwa

Sasa majungu yako wapi? Twambie tofauti ya majungu na ukweli uliyo bayana.
 
Bhas kazidi aseh kama kutunga hajui si aseme tu watunzi wako kibao

Huyu Tatizo anataka kujifanya mwamba mbona wenzie wanatungiwa story mfano Ray na Kanumba walikuwa wana tungiwa Story na jamaa anaitwa Ally Kayuti kama sijakosea! Atangaze ajira watu wamletee story achague...si lazima afanye kila kitu alipo kufa Kanumba niliamini JB ange kuwa ndio mwokozi wa Filamu kumbe hakuna kitu..JB ni mwigizaji mzuri lakini katika hili amekosea kabisa.
 
Tukianza kuchimbua mambo ya kukopi na kupesti kwenye muvi na ishu za burudani kibongobongo hakuna atakae baki salama....JB mumuche anatafuta tu rizki kama wababaishaji wengine wanavyotafuta rizki kwenye muvi muvi zenyewe zinaishia kimara ata akikopi kuna n ini....alikopi mitun chakarabot commando itakuwa JB. Mwacheni tu atafute rizki kama mnamabifu yenu na steps basi isifikie mpaka kutaka kulazana njaa hii sio bongofleva mtaikontroo zama vigulu.

Tukianza kufatilia kukopikopi cloudstv hakuna kipindi chenye idea yenu ata kimoja ataiko cha zama vinjino tunajua alipokitoa. Tusifanyiane ivo jamani aya maisha tuu bongomuvi sio sanaa ni mchezo wa kupata chochote kitu, mumuache jb na steps yake

attachment.php
60143_108796565846849_1663899_n.jpg
 
Kwa hiyo kosa la Clouds linamfanyab JB kuwa sahihi?
 
JB Mapovu yanamtoka uko insta,ngoja nimfuate uko uko nikampe vichambo vyake,atajuta mpaka aji block mwenyewe,pumbav zake mwizi mkubwa

Acha wivu wa kike wewe..! Huna la kufanya? Sote tunadesa tu tofauti yetu ni style tunazotumia basi
 
Mim ntaenda kumshtak kama balozi wa movie za kihindi, ntamrukisha kichura chura hadi india akaombe msamaha na mtambi wake

Wewe naona una la zaidi toka kwa huyu JB star wa bongo movie maana huelezi point zaidi ya kutukana kila utakacho comment...! Toa point za kwa kosa alilolifanya anastahili kulipa fidia kiasi hiki au tofauti na hapo,lkn mitusi mfululizo utafikiri we ndo umeibiwa..! Jirekebishe we mama
 
Tukianza kuchimbua mambo ya kukopi na kupesti kwenye muvi na ishu za burudani kibongobongo hakuna atakae baki salama....JB mumuche anatafuta tu rizki kama wababaishaji wengine wanavyotafuta rizki kwenye muvi muvi zenyewe zinaishia kimara ata akikopi kuna n ini....alikopi mitun chakarabot commando itakuwa JB. Mwacheni tu atafute rizki kama mnamabifu yenu na steps basi isifikie mpaka kutaka kulazana njaa hii sio bongofleva mtaikontroo zama vigulu.

Tukianza kufatilia kukopikopi cloudstv hakuna kipindi chenye idea yenu ata kimoja ataiko cha zama vinjino tunajua alipokitoa. Tusifanyiane ivo jamani aya maisha tuu bongomuvi sio sanaa ni mchezo wa kupata chochote kitu, mumuache jb na steps yake

attachment.php
60143_108796565846849_1663899_n.jpg

Umesema vizuri sana mkuu..! Kula "like" ya nguvu..in short sote tunadesa tu
 
Dah! Hii nchi tunachukulia mambo kirahisi rahisa sana labda kv tunaona tupo kisiwani kumbe tunasahau kwamba mtu kama JB anapofanya kitu kama hicho, si tu kwamba mwenyewe anajishusha bali movie yake hata ikibamba namna gani hatakuwa na ubavu wa kuifikisha kwenye platform ya kimataifa!

Mkuu Ruttashobolwa, nimeona kuna mahala umazungumzsia suala la ku-acknowledge... itoshe tu kusema kwamba katika issue kama hii ya JB, ikiwa ipo kama inavyosemwa, basi hapo hakuna suala la ku-acknowledge! Una acknowldge kitu ambacho umekopi kwa kiasi kikubwa kiasi hicho? Yaani linapokuja suala la hati miliki, moja kwa moja huo ni wizi! Unaposikia suala la ku-acknowledge kwenye movie, wenyewe wanaita kutoa credit ni pale, assume chige nimeandika script nimekuuzia Rutta... umenilipa pesa yangu yote kwa 100%! Pamoja na yote hayo bado ukishatengeneza movie unalazimika kutoa credit kwangu! Au baada ya wewe kuuzia script na ukatoa filamu, kisha mtu mwingine akanunua script kutoka kwako (kv ulishaimiliki) na akatengeneza series, pamoja na yote hayo bado mtengeneza series anatakiwa kutoa credit kwa chige! Lakini kwa issue ya JB ikiwa inavyosemwa ndivyo ilivyo hapo hakuna cha ku-acknowledge/ kutoa credit wala nini bali moja kwa moja inaingia kwenye suala la wizi! Tena yeye amekopi movie lakini hata kama ingekuwa amepata script tu ya hiyo movie na movie yenyewe ilikuwa haijatengenezwa, kwa staili hiyo pia inaingia kwenye kundi la wizi na wala hakuna cha kutoa credit wa ku-acknowledge hapo!!

Kitu ambacho kinakubalika kwenye movie/series ni kimoja! Kwanza, unaweza kuchukua portion ndogo sana ya movie/series/script... hapa nazungumzia scene isiyofikia hata dakika moja kisha ukai-develop into a new script! Hilo linakubalika na wala hautahitajika ku-acknowledge lakini unachukua madakika kadhaa... wakikudaka, fahamu umekwisha labda ujivune kwamba li nchi lenyewe hili halina taratibu!

Kwa wenzetu wapo very script na ndio maana mahali kama US, hata mwandishi anashauriwa kuwa na entertainment lawyer! Mwenyewe nili-join context fulani hivi nikajifanya kutafuta entertainment lawyer... wewe! Hiyo bei ambayo nilitajiwa ya kumlipa kwa saa nikalazimika kupeleka mambo kibongo bongo na badala yake nikaamua tu kuisajili kwenye registry ya Writers of America (sio copyright) coz' it serves the purpose to some extent! Na hapo kumbuka hakuwa lawyer kwa ajili ya A-List writers bali ni lawyers wa kawaida tu! Sasa mtu hawezi kumlipa lawyer kwa $$$ kadhaa halafu aje mwingine achukue tu kazi yake kirahis rahisi!
 
Umeongea yote mkuu!Cha kushangaza kuna watu hapa wana tetea hilo kwa kuwa heti kuna wengine walikopi!
 
Nimeacha kununua bongo movie ilipotoka A woman of principle sijui ilikuwa ya nani
 
Ndo maana anasema hana mpango wa kutusua kimataifa kumbe anajua anachofanya.
 
Kama Aidia Ni Nzur.Na Yeye Akaona Akiiweka Katika Maudhui Ya Kitanzania Itavutia Wengi Tatizo Liko Wapi.Sisi Tunataka Burudani.

Inatuhusu Nini Sisi Kama Alikopi.Istoshe Muvi Yenyewe Inafanya Vizuri Sokoni.Huo Ni Wivu Tu Wa Sisi Wabongo.Tunamtafutia Vikasoro Ili Tumuharibia.

Tusubiri Mpaka Hao Wahindi Wenyewe Walalamike Kuwa Muvi Yao Imekopiwa.Tuache Viherehere

Kiepe Yai , Hawa wasanii wetu wakiibiwa kazi zao wanalalamika mpaka ikulu, ila wao kuiba za wenzao unaona haina shida kisa burudani?
 
mbona wote wanaibaga kwenye movie za bollywood au nollywood jb sio wa kwanza ndo zao
 
Back
Top Bottom