Leak
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 52,916
- 43,505
Ukishakua na mtumbo na mwili mkubwa kma limbululaz akili yko lazma iwe mgando,sasa mtu unaambiwa ukweli unajibu utumbo
Jamaa amejidhalilisha sana cha kushangaza hataki kukubali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukishakua na mtumbo na mwili mkubwa kma limbululaz akili yko lazma iwe mgando,sasa mtu unaambiwa ukweli unajibu utumbo
Huyo zamaradi wake ni wivu tu na muvi idea yake ya kigodoro haijampeleka popote sasa kabakia kupondea na kuonea wivu wenzake
Wengi hatuijui hiyo ya kihindi ila wewe peke yako na unaleta majungu hapa na wewe haujakatazwa kucopy na kupaste style za watangazaji wakubwa
Movie gani aliyotunga Zamaradi na kuuza sana sokoni?
Bhas kazidi aseh kama kutunga hajui si aseme tu watunzi wako kibao
Tukianza kuchimbua mambo ya kukopi na kupesti kwenye muvi na ishu za burudani kibongobongo hakuna atakae baki salama....JB mumuche anatafuta tu rizki kama wababaishaji wengine wanavyotafuta rizki kwenye muvi muvi zenyewe zinaishia kimara ata akikopi kuna n ini....alikopi mitun chakarabot commando itakuwa JB. Mwacheni tu atafute rizki kama mnamabifu yenu na steps basi isifikie mpaka kutaka kulazana njaa hii sio bongofleva mtaikontroo zama vigulu.
Tukianza kufatilia kukopikopi cloudstv hakuna kipindi chenye idea yenu ata kimoja ataiko cha zama vinjino tunajua alipokitoa. Tusifanyiane ivo jamani aya maisha tuu bongomuvi sio sanaa ni mchezo wa kupata chochote kitu, mumuache jb na steps yake
![]()
![]()
Kwa hiyo kosa la Clouds linamfanyab JB kuwa sahihi?
Dah mtu mzima hainog kutoa vijembe kias kile, akubali tu kaiba yaishe..
JB Mapovu yanamtoka uko insta,ngoja nimfuate uko uko nikampe vichambo vyake,atajuta mpaka aji block mwenyewe,pumbav zake mwizi mkubwa
Mim ntaenda kumshtak kama balozi wa movie za kihindi, ntamrukisha kichura chura hadi india akaombe msamaha na mtambi wake
Tukianza kuchimbua mambo ya kukopi na kupesti kwenye muvi na ishu za burudani kibongobongo hakuna atakae baki salama....JB mumuche anatafuta tu rizki kama wababaishaji wengine wanavyotafuta rizki kwenye muvi muvi zenyewe zinaishia kimara ata akikopi kuna n ini....alikopi mitun chakarabot commando itakuwa JB. Mwacheni tu atafute rizki kama mnamabifu yenu na steps basi isifikie mpaka kutaka kulazana njaa hii sio bongofleva mtaikontroo zama vigulu.
Tukianza kufatilia kukopikopi cloudstv hakuna kipindi chenye idea yenu ata kimoja ataiko cha zama vinjino tunajua alipokitoa. Tusifanyiane ivo jamani aya maisha tuu bongomuvi sio sanaa ni mchezo wa kupata chochote kitu, mumuache jb na steps yake
![]()
![]()
Yupo sahihi sababu hakuna geni alilofanya...Kukopi na kupesti ndio kunaendesha tasnia yote ya sanaa, wamuache.
Umeongea yote mkuu!Cha kushangaza kuna watu hapa wana tetea hilo kwa kuwa heti kuna wengine walikopi!Dah! Hii nchi tunachukulia mambo kirahisi rahisa sana labda kv tunaona tupo kisiwani kumbe tunasahau kwamba mtu kama JB anapofanya kitu kama hicho, si tu kwamba mwenyewe anajishusha bali movie yake hata ikibamba namna gani hatakuwa na ubavu wa kuifikisha kwenye platform ya kimataifa!
Mkuu Ruttashobolwa, nimeona kuna mahala umazungumzsia suala la ku-acknowledge... itoshe tu kusema kwamba katika issue kama hii ya JB, ikiwa ipo kama inavyosemwa, basi hapo hakuna suala la ku-acknowledge! Una acknowldge kitu ambacho umekopi kwa kiasi kikubwa kiasi hicho? Yaani linapokuja suala la hati miliki, moja kwa moja huo ni wizi! Unaposikia suala la ku-acknowledge kwenye movie, wenyewe wanaita kutoa credit ni pale, assume chige nimeandika script nimekuuzia Rutta... umenilipa pesa yangu yote kwa 100%! Pamoja na yote hayo bado ukishatengeneza movie unalazimika kutoa credit kwangu! Au baada ya wewe kuuzia script na ukatoa filamu, kisha mtu mwingine akanunua script kutoka kwako (kv ulishaimiliki) na akatengeneza series, pamoja na yote hayo bado mtengeneza series anatakiwa kutoa credit kwa chige! Lakini kwa issue ya JB ikiwa inavyosemwa ndivyo ilivyo hapo hakuna cha ku-acknowledge/ kutoa credit wala nini bali moja kwa moja inaingia kwenye suala la wizi! Tena yeye amekopi movie lakini hata kama ingekuwa amepata script tu ya hiyo movie na movie yenyewe ilikuwa haijatengenezwa, kwa staili hiyo pia inaingia kwenye kundi la wizi na wala hakuna cha kutoa credit wa ku-acknowledge hapo!!
Kitu ambacho kinakubalika kwenye movie/series ni kimoja! Kwanza, unaweza kuchukua portion ndogo sana ya movie/series/script... hapa nazungumzia scene isiyofikia hata dakika moja kisha ukai-develop into a new script! Hilo linakubalika na wala hautahitajika ku-acknowledge lakini unachukua madakika kadhaa... wakikudaka, fahamu umekwisha labda ujivune kwamba li nchi lenyewe hili halina taratibu!
Kwa wenzetu wapo very script na ndio maana mahali kama US, hata mwandishi anashauriwa kuwa na entertainment lawyer! Mwenyewe nili-join context fulani hivi nikajifanya kutafuta entertainment lawyer... wewe! Hiyo bei ambayo nilitajiwa ya kumlipa kwa saa nikalazimika kupeleka mambo kibongo bongo na badala yake nikaamua tu kuisajili kwenye registry ya Writers of America (sio copyright) coz' it serves the purpose to some extent! Na hapo kumbuka hakuwa lawyer kwa ajili ya A-List writers bali ni lawyers wa kawaida tu! Sasa mtu hawezi kumlipa lawyer kwa $$$ kadhaa halafu aje mwingine achukue tu kazi yake kirahis rahisi!
Kwanini uliachia hapo? Ina maana na yenyewe ilikuwa copy & paste, or?Nimeacha kununua bongo movie ilipotoka A woman of principle sijui ilikuwa ya nani
Kama Aidia Ni Nzur.Na Yeye Akaona Akiiweka Katika Maudhui Ya Kitanzania Itavutia Wengi Tatizo Liko Wapi.Sisi Tunataka Burudani.
Inatuhusu Nini Sisi Kama Alikopi.Istoshe Muvi Yenyewe Inafanya Vizuri Sokoni.Huo Ni Wivu Tu Wa Sisi Wabongo.Tunamtafutia Vikasoro Ili Tumuharibia.
Tusubiri Mpaka Hao Wahindi Wenyewe Walalamike Kuwa Muvi Yao Imekopiwa.Tuache Viherehere