warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,218
- 18,440
- Thread starter
- #21
Kwanini haku hakusema kuwa amechukua kutoka sehemu fulani au kuonesha kushukuru hiyo movie.? Mnatetea bure tuu ameboronga kabisa huyu hakutakiwa kukopi na kupaste kabisa kila kitu..huyu JB kaishiwa kabisa na amekosa la kujitetea kabisa..
Sijui atakuja na utetezi gani, mi nasubiria tu