Tatizo wabongo mkiambiwa kuna script zipo kali toeni pesa, hata kabla hamjaziona mnajibu kwamba mnazo wenyewe kumbe mambo yenyewe ndo hayo kucopy idea, mbona kuna visa vingi sana hapa bongo jamani na vinasisimua tu, acheni kupelekwa pelekwa na wasambazaji ambao wanawapangia aina za filamu, atleast itendeeni haki sanaa. Si wabongo wote wanapenda filamu zenye genre za comedy km za vgodoro, jb ni muigizaj ambae akibadilika na kuonekana ktk genre nyingine ni sheeder ss nyie washaur wake mnataka acheze character ile ile tu hadi lini.
Ili msiumize vichwa washirikisheni na waandishi wengine, toeni pesa mpate pesa mobb acheni ubahili.
Nawaheshim sana watu walio ktk sanaa. cha msingi tuitendee haki jamani na bongo ipate sifa, audience inawakubali sana na inasupport sana sanaa ya bongo hivyo nanyi watendeeni haki basi kwa kuwapatia kazi zenye ubora na msipende kukataa changamoto, mkiambiwa ukweli kubalini na mboreshe sio kujustify jambo na kulifanya ni halali, unapotoa utetezi kwamba hata hollywood wanafanya hivyo unajidhihirisha wewe ni dhaifu ktk utunzi.
don't always stick to what you know.🙄🙁