Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mdukuzi :smile-big:na wewe ndio unafanya the same mistake ungesema mapema kuwa wewe sio muhusika bali umekopi kama huyo alivyokopi ahahahahaha pole sana
jaman i jamani jamani jamani, nyamazeni tu asije akatokea mmbeya wa kimataifa akawasiliana na hao wahindi jamani , mtafilisiwa hadi hayo mapumbu watayachukua
sasa mbona kwenye movie credit ya story JB ndo kajipa ? shame on you

na wewe ndio unafanya the same mistake ungesema mapema kuwa wewe sio muhusika bali umekopi kama huyo alivyokopi ahahahahaha pole sana
maatope unanichokoza? Sitaki Mimi ugomvi na wewe nfyuu bichwa lile kama tumbo la jb
Upo sahihi Boss,
Hii stori ilikuwepo hapa kwenye "JB na Scandal mpya ya kuiba mawazo ya Movie ya ''Ladies Vs Ricky Bahl"
Mi nimefanya kuleta upande wa pili wa stori toka kwa muandishi wa husika,
ndio maana hiyo stori imekaa kama nanukuu tu.
Hivyo kwa kuweka kumbukumbu sahihi Mimi si Daniel Manege ila ni mjumbe wa JF kama ilivyo wewe.
Punguza munkari Boss!
jaman i jamani jamani jamani, nyamazeni tu asije akatokea mmbeya wa kimataifa akawasiliana na hao wahindi jamani , mtafilisiwa hadi hayo mapumbu watayachukua
sasa mbona kwenye movie credit ya story JB ndo kajipa ? shame on you
hahahahaha warumi itabidi hii taarifa ya menege na copy ya kipindi cha take one plus dvd ya mzee wa swagga zitumwe India, waje wamchukue bonge la bwana akapige deki vyoo vya ofisi zao miaka 5 ajifunze na jinsi ya kufanya movies pia
Ndugu zangu wale nitawachek baadae nipo juu juu sana saiv..hahahahaha umenifanya nicheke.
Teh Teh huwa mnanishangaza na hoja zenu! Kwa hiyo JB hana uwezo wa kutunga kama hao wanao kopi? Kama ni hivyo kwanini asitangaze ana hitaji story kuliko ku kopi? Kwa hiyo JB aendelee kukopi kwa kuwa wengine walikopi?
Ule mtanange ni hatari....
Mijadala adimu sana ile hapa JF, naufuatilia ule mjada kurasa kwa kurasa....
Tutakutana kule baadae!!
Mim ntaenda kumshtak kama balozi wa movie za kihindi, ntamrukisha kichura chura hadi india akaombe msamaha na mtambi wake