JB na Skendo mpya ya kuiba mawazo ya Movie ya ''Ladies Vs Ricky Bahl"


Hakika hata Mimi baada ya kifo cha Kanumba mimi niliamini huyu ndiye angeziba pengo kabisa na hakika anajua ku igiza sana lakini nimefedheshwa kitendo chake cha kukopi kazi ya watu halafu akiambiwa ukweli analeta vijembe as if wanao angali hizo movie hawana uwezo wa kuhoji ,unajua anacho taka JB mashabiki wake wamuone Zamaradi mbaya kwa kuichambua filamu yake..na kweli hao mashabiki wamemtukana sana huyu Dada kisa kasema ukweli unaonekana na hakuna doubt!

JB nilikua namuona kama msanii mwenye busara sana but i was wrong kabisa...hakika ukitaka kujua uwezo wa mtu kuamua mambo msubiri akiwa kwenye matatizo ndio utamjua.

Ningekuwa JB wala nisingw sema lolote kabisa na isitoshe ni ukweli mtupu umeongelewa..na cha kushangaza zaidi kipindi cha huyo dada kimesaidia sana kupromote kazi zao sasa nina shangazwa leo kutaka aonekane mbaya kisa kasema ukweli!


Wasanii wetu wanapenda kusifiwa tuu lakini wakikosolewa wanachukia sasa na shangaa anapenda uanajeshi halafu anaogopa kufa.
 
Wasanii wengi wa Tanzania wengi wavivu wakufikiri new idea.
Mfn mwana FA alishacopy wimbo wa mtu kila kitu tofauti ukawa laughs sasa J.B nitashangaa sana ikitolewa tuzo awekwe kwenye kipengele chochote hahaha.
Wakiulizwa maelezo kibao ukiyasikiliza pumba tupu.
 

Zamaradi she is just a courageous woman , she dares as woman to do what she thinks is right without fearing anybody.
 
Wabongo Mnapenda Sana Majungu.Mnatutemea Mimate Tu Humu.TambiTumbo Ni Mbunifu.Na Ndoman Kaitendea Haki Ile Muvi.Na Kama Inshu Ni Kucopy Mshaambiwa Hajaanza Yeye Na Wala Sio Yeye Atakua Wa Mwisho.Na Kama Kosa Lake Ni Kutokumuacknowledge Mtunzi Wa Origianal Muvi.Wakulalamika Ni Muhindi Sio Nyie Wabongo.Labda Niwaulize Swali Nyie Wahindi?.Nyie Kinachowafanya Mtutemee Mimate Humu Ni Gerous Zenu 2.Huyo Zamaradi Mwenyewe Alijifanya Kuja Na Aidea Yake.Matokeo Yk Katulea Mimavi Mitupu.Sasa Ipi Bora?.Sisi Tunataka Burudani.Mambo Ya Kucopy Na Kupaste Mnajua Nyie Wahindi.Mambo Ya Kuchamba Kwingi Hayo Mnayajua Nyie.Big Up TambiTumbo Umeidhihirishia Jamii Kua " Old Is Gold".Utamuacknowledge Mtunzi Kwenye Part3 Ili Masnitch Walidhike.Na Tunaisubiri Kwa Hamu Part3 Na 4 Pia.Kumbukeni Kua Hapa Ni " Bongo " Na Hii Ndo " Bongo Muvi ".
 
Kuna kazi kama Chumo na Siri ya Mtungi (series), hizo kama we ni mtu wa movie basi ni utatazama tu...
Zimeandaliwa na timu ya wajuaji wa mambo haya!
Pata wasaa uzione!!

Hizi ni heavily donor funded projects usiziweke mizani moja na hizi home videos za kibongo
 

Kwenda zako uko , sasa umeandika utumbo gani
 
mmmmh kupitia izo post za ig ninefadhaika mno....sikuwahi kufikiria huyu jamaa ni nonsense kiasi icho,ivi ndivyo anavyopambana na changamoto aiseeee dah...this so called bongo film industry has long way to go!!!!!
 


Wimbo UPI wa Fa alicopy?
 
Kwenda zako uko , sasa umeandika utumbo gani

Ww Punga Nini?..Nimesoma Comment Zako Toka Mwanzo Unaponda Tu.Au Zamaradi Ni Shoga Yako.Na Ndo Aliekutuma Ili Uje Utuletee Wivu Wenu Wa Kike Kike Humu.?
Aya Kakopi Lakini Muvi Inauza Tatizo Lako Nini.? Wabongo Acheni Majungu.Mpk Nollywood Wanakopi!
 
Acha acsema lolte maana akisema ataharibu mi nimeziona zote kama mtu ananunua ni kwa sababu ni ya kiswahili ila imekopiwa
 
Gerous = jealous

Mengine ni yale yale toka kwa wale wale. Labda nikuulize ndugu #KiepeYai una ufahamu wowote juu ya s "IP Laws?". Je, unawaunga mkono wasanii katika vita ngumu sana dhidi uharamia/wizi wa kazi zao?

Mimi Namuunga Mkono TambiTumbo Kwa Asilimia100.Someni Utetezi Vizuri Msituchoshe Humu.Inshu Ya Kukopi Hajaianza Yeye.Na Mifano Hai Imetolewa.Ina Maan Hao Wote Hawajui Hizo "IP Laws".Yeye Ameona Kua Story Ni Nzuri Na Anaweza Kuiigiza Katika Maudhui Ya Kibongo Na Wapenzi Wake Wakaipenda.Mimi Ni Mmoja Wa Wapenzi Wake Na Nimeipenda.Kwahiyo Naamini Kua Lengo Lake Limetimia.Na Ndoman Nampa BigUp.Swala la kukopi hiyo ni inshu nyingine.Tunataka Waliokopiwa Ndo Wapige Kelele.Vinginevyo WELL DONE "TT" THE JOB IS DONE!.Sisi wapenzi wako tumeikubali kazi kusema kweli muvi umeitendea haki.Endelea Kutuletea Vitu Vizuri.Iwe Ni Idea Yako Sawa Au Umechukua Idea Kutoka Sehemu Nyingine Sawa.
 
Muvi Imeandaliwa Maalumu Kwa Ajili Y Wapenzi Wa JB Tu.Wewe Kama Sio Mpenzi Wa JB Hujalazimishwa Kuiangalia Wala Kuipenda.Nenda Katafute Kigodoro Cha Zamaradi Ukiangalie Kwasababu Ile Ni Aidia Yake.Nenda Kaingalie Halafu Uone Balaa Yk.
 
Wimbo UPI wa Fa alicopy?

1. Mi na mabinti damu damu - Girls Girls ya Jay Z!!
2. Wanapendana ft Dully Sykes - Not like it was ya Snoop Dog
3. Habari ndio hiyo ft Ay - That's that ya Jay Z na R Kelly
4. Ingekuwa vipi ft Jmo - What if (questions that I ask ma' self) Fredro Starr wa Onyx
5. Mfalme - Mfalme ya Mashiftaz wa Kenya....
 
Moyo wa Mtanzania umejaa "uselfish" na siyo kwamba hawez kureason vitu kwa Utashi mpana, NO, ni chuki tu na kutopenda kuona Mtanzania mwenzao anawazid kwa kitu flani ndo kunafanya wasijishughulishe kufatilia vitu kwa kina zaidi..(black folks wanaHate kuona Black mwenzao Anafanikiwa)..

Hiyo Movie ya Ladies Vs Ricky Bahl (ya Anushka Sharma na Ranveer) ilileta controvesy kubwa wakat inatoka kwa Critics na wapenz wa movie bollywood, coz walicopy idea nzima kwenye Movie ya Hollywood ya mwaka 2006 ya "JONH TUCKER MUST DIE"..Anushka Sharma alizunguka kila sehem kupinga hizo shutuma, lakin haikuficha ukweli kuwa Yash Raj waliCopy hiyo movie..

Je walitoa Acknowledgement kwa Crew ya Jonh Tucker Must die???..

Na je pia walitoa Acknowledgement kwa crew ya "Chasing papi" (2003) huko nako si waliiba ideas??

Salman khan na Govinda kuhusu copy kila kitu kwenye Movie ya HiTCH ya Will Smith katika Movie yao ya "Partner"??? walitoa Acknowledgement kwa Will Smith?

Hollywood Sahiv wamebase katika Mkondo wa movie za Aina nne!!!

1. Si-ci fiction Movies (sicience fictions)
2. Adventures & historical Movies
3. Novel based movies
4. Super heroes (insparation from Comic books)

movies nying za Adventures and Historical movies nying sana huwa zinatoka kwenye novel, au religious history (Nothing new)

katika Science fiction ndo kabisa, sequal zipo nying sana, Hollywood wamefeli kudevelop new stories kwa upande huu, sequal ni nyingi, Ellysium, Specific rim etc zote zilishindwa kufikia matarajio ya wengi!!!

Mfano mdogo kuna Taken ( Action) ya Liam Neeson, kila mwaka ni Sequal tu, hatujuia next sequal itakuwaje!!

Sahiv kuna 50 shades of Grey (love story) ile ni NOVEL..

Movie industry imepungukiwa ideas, Viwanda vikubwa vya movies dunian (Hollywood na Bollywood) vimebase sana katika "Re-Make" na siyo Actual ideas!!!!

So suala la kucopy ideas ni kitu cha kawaida saaana Aisee!!

Death at a funeral(chris rock) ya US ni copy and paste ya ile ya UK.

So kabla hamjampigia makelele JB kampigieni makelele, Anushka Sharma na kampuni ya Yash Raj kwa kucopy movies za hollywood kwenye hiyo hiyo movie!!!!

 


Hayo mambo ya Hollywood na Bollywood tungewaachia wenyewe, Tanzania tuna story nzuri zinazoendana na maisha yetu na mazingira yetu, kuanza kuiga mambo ya Bollywood sijui Hollywood ndo maana wadau wengi wanalalamika filamu zetu kutokuwa na uhalisia, sababu moja wapo ni kuiga movie za wenzetu then tunashindwa kuzitendea haki. Wasanii kama JB na wengine lazima wakemewe vikali kuzuia hii hali ya wizi wa story.

Tanzania kuna watu wana vipaji vya kutunga hadithi nzuri na za kusisimua, ni vyema wakawatafuta watu wenye taaluma zao kuliko kuiga
 
Ww Punga Nini?..Nimesoma Comment Zako Toka Mwanzo Unaponda Tu.Au Zamaradi Ni Shoga Yako.Na Ndo Aliekutuma Ili Uje Utuletee Wivu Wenu Wa Kike Kike Humu.?
Aya Kakopi Lakini Muvi Inauza Tatizo Lako Nini.? Wabongo Acheni Majungu.Mpk Nollywood Wanakopi!

We mbwa Malaya Wa kimbiji iko kipochi chako manyoya uko nyuma kinakuwasha eeh? Endelea sasa nitakunyonya m*vi hayo kwa ulimi kahaba Wa kizee...
 

Point hapa warumi ni kutoa ushauri kama ulioutoa hapo!!

Na siyo Kumkandia JB kwa maneno ya dharau as if ye ni wa kwanza kucopy!!!

Ushauri tu inatosha!!!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu MosDef
Umeongea vitu vingi sana lakini inabidi ufahamu kwamba hakuna hatimiliki ya idea/wazo... Kwa maana nyingine, haikatazwi kutumia idea ya movie nyingine! Hapa naona unachanganya kati ya Idea (Wazo) na Maudhui (Contents)... hivi ni vitu viwili tofauti! Mwandishi wa JB ameeleza vizuri... alichokopi yeye sio idea/wazo bali ni maudhui/content!

Unapochukua maudhui ya filamu ya mtu mwingine lazima mfanye makubaliano... na kwa kawaida, hapo lazima biashara ifanyike! Lakini kwa JB hata kama angepewa bure, bado mmiliki wa Ladies VS Ricky Bahl angependa kufahamu what will happen akitokea mtu mwingine akaiona filamu ya JB ambayo maudhui ni ya Ladies VS Ricky Bahl! Assume kuna Peoducer wa Hollywood ameiona filamu ya JB na akaipenda na hivyo kuamua kuinunua ili akaitengeze upya (hii inafanyika sana Hollywood)! Sasa katika mazingira kama hayo haiwezekani, kwa mfano huyo Producer wa Hollywood amlipe JB $ laki 3 halafu pesa hiyo iwe ya JB wakati original work ni ya Mdosi... hapo mmiliki wa Ladies VV Ricky lazima apewe chake! Hii haitofautiani sana na suala la uuzaji wa wachezaji! Leo hii TP Mazembe wakimuuza Mbwana Samatta, lazima kutakuwa na mgao utakaokuja Simba!

Pili umezungumzia suala la Hollywood kutengeneza filamu zao kupitia novels! Kwanza kabisa, sina hakika kama umewahi kuiona mikataba ya uuzianaji wa script kwa Hollywood! Kwenye mkataba, Mwandishi lazima useme ikiwa script ni original material or adapted material (from novel)! Kama material ume-adapt kutoka kwenye novel, hiyo script huwezi kuuza wala ku-option unless umethibitisha kwamba umekuwa granted right ya ku-adapt novel husika!

Hilo la sequel labda nikuambie jambo moja! Producer/Production Company inaponunua script yako, kwenye mkataba lazima utakuta kipengele kinachosema wazi kwamba script unayouza unauza pamoja na haki ya utengenezaji wa sequel! Therefore hata sequel nazo zinakuwa zimelipiwa!!! Leo hii ukitengeneza T-shirt ukazi-lable Taken kwa kumaanisha hiyo movie, basi lazima nayo uwalipe wamiliki wa filamu husika! Na hapa ndio maana linapokuja suala la mikataba, Hollywood wanataka ONLY Entertainment Attorneys coz' kuna mambo mengi kwa lawyer asiye kwenye industry hawezi kuyafahamu! Hii maana yake ni nini? Ingawaje Mkataba unamtaka Mwandishi anapouza script yake anauza na haki yakutengeneza sequel plus any other materials kama vile T-Shirt lakini Attorney wa Mwandishi nae atataka kufahamu, pamoja na kwamba mteja wake anauza hadi haki ya utengenezaji wa sequel, t-shirts na mambo mengine... je, atakuwa compensated vipi? Hapa ndo unakuta mkataba unasema pamoja na kwamba anauza hizo haki, lakini akitokea mtu mwingine akataka kutengeneza (say) series kupitia the same script basi mwandishi atalipwa kiasi fulani kwa idadi fulani ya episodes! Au, atapewa one payment ya kiasi fulani!

Mwisho umemalizia kwamba hata Hollywood ideas zimeisha na wamebakia kwenye re-make... you're right lakini naomba nikukumbushe tena tusichanganya idea na contents... hivi ni vitu viwili tofauti! Aidha kwamba movie fulani ya Hollywood ni copy and paste ya movie nyingine ya UK nayo sio hoja kwavile hakuna anayekataa kwamba hakuna copy and paste provided wahusika walikubaliana!




 
Last edited by a moderator:
Nacheka sana. Huyo zamaradi anayechambua vya mwenzio, yeye chake kipi kizuri kisicho na kasoro alichokiandaa? Pili tuache ujinga kila kitu bongo ni copy toka ulaya. Hata mfumo wa ligi ni copy, katiba yetu ni copy, ATM machine ni copy n.k. kuiga si kosa kama utakitendea haki ulichoiga. Mara kibao wasanii wa bongo wanaiga toka marekani. JB hongera kaka kazi nzuri. Hata hao wanaodaiwa story yao nao walicopy
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…