Leak
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 52,916
- 43,505
Hapo sasa na huyu mheshimiwa kila anavyozidi kutoa mipasho ndivyo anavyozidi kujiumbua na dhani inamsumbua sana ile kuona watu wakimtaja yeye kama ndie msanii bora kabisa halafu inakuja kujulikana kwamba kazi zinazomfanya aonekane bora ni kazi za wizi...
Hakika hata Mimi baada ya kifo cha Kanumba mimi niliamini huyu ndiye angeziba pengo kabisa na hakika anajua ku igiza sana lakini nimefedheshwa kitendo chake cha kukopi kazi ya watu halafu akiambiwa ukweli analeta vijembe as if wanao angali hizo movie hawana uwezo wa kuhoji ,unajua anacho taka JB mashabiki wake wamuone Zamaradi mbaya kwa kuichambua filamu yake..na kweli hao mashabiki wamemtukana sana huyu Dada kisa kasema ukweli unaonekana na hakuna doubt!
JB nilikua namuona kama msanii mwenye busara sana but i was wrong kabisa...hakika ukitaka kujua uwezo wa mtu kuamua mambo msubiri akiwa kwenye matatizo ndio utamjua.
Ningekuwa JB wala nisingw sema lolote kabisa na isitoshe ni ukweli mtupu umeongelewa..na cha kushangaza zaidi kipindi cha huyo dada kimesaidia sana kupromote kazi zao sasa nina shangazwa leo kutaka aonekane mbaya kisa kasema ukweli!
Wasanii wetu wanapenda kusifiwa tuu lakini wakikosolewa wanachukia sasa na shangaa anapenda uanajeshi halafu anaogopa kufa.
