Leak
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 52,916
- 43,505
Nzowa na KIGODORO, zamarad nae ni noma kwenye kutengeneza movies
JB hana lakusema amebaki kupiga vijembe!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nzowa na KIGODORO, zamarad nae ni noma kwenye kutengeneza movies
Kama Aidia Ni Nzur.Na Yeye Akaona Akiiweka Katika Maudhui Ya Kitanzania Itavutia Wengi Tatizo Liko Wapi.Sisi Tunataka Burudani.
Inatuhusu Nini Sisi Kama Alikopi.Istoshe Muvi Yenyewe Inafanya Vizuri Sokoni.Huo Ni Wivu Tu Wa Sisi Wabongo.Tunamtafutia Vikasoro Ili Tumuharibia.
Tusubiri Mpaka Hao Wahindi Wenyewe Walalamike Kuwa Muvi Yao Imekopiwa.Tuache Viherehere
Kuna movie 1 inaitwa baad shah ya kihindi ya shahrukh khan ameiga almost kila scene kutoka kwenye movie ya mr. Nice guy ya jack chan, sijui kama jamaa walimu acknowledge j.chan
Tatizo sio kudanganya tu bali suala zima halikubaliki kisheria! Unaweza kuchukua idea kisha ukai-twist kivyako... hiyo inakubalika! Aidha, jambo lingine linalokubalika ni kuchukua few seconds of a particular scene na kui-develop kuwa new story, hilo pia linakubalika! Lakini unapochukua kila kitu au scenes kibao, hilo halikubaliki hata kidogo unless kuwe na makubaliano! Na hata kukiwa na makubaliano, lazima utoe credit kwa original movie!Tatizo ni kudanganya katunga yeye wakati sio kweli, we unadhani iko sawa?
JB hana lakusema amebaki kupiga vijembe!
ahsante kitu gan na wewe ebu acha umbea,mtu akiiba asiambiwe? na kwa nini ajifanye katunga yeye wakati sio kweli? ki ufupi jb kajishushia heshima sana
Wenyewe Bongo movie wakiibiwa wanalalamika.Umtendee mwenzio upendacho kutendewa naeTatizo ni kudanganya katunga yeye wakati sio kweli, we unadhani iko sawa?