JBL Sound Bar 9.1 detachable Watts 820

JBL Sound Bar 9.1 detachable Watts 820

Actually sio Speakers, ni CHANNELS
(Channel 1 inaweza kuwa na Speakers zaidi ya 1)

So ,
2.1 ni 2 channels with 1 subwoofer
5.1 ni 5 channels with 1 subwoofer
9.1 ni 9 channels with 1 subwoofer
Hakuna mashindano hapa.Hata dolby wenyewe watengenezaji nguli wa speakers wameelezea kwa kurelate channels na number of speakers ili mtu aelewe kwanza.So katika lugha rahisi aliyeEquate channels na speakers hajakosea
 
Hzi nazo ziko fresh sema kwa JBL headphones wako njema zAidi kuliko buds, ukipta zile T510 Pure bass ni balaa mziki wake pia zinadumu sana mda mrefu, mm yangu nliyokua naitumia nlitumia for almost 2 years mpk zikaja kuanza kuleta mazinga zinga ya ajabu View attachment 2353967
View attachment 2353968
Hizo zako music mnene ni high end hiyo,na bei yake hapo si ya kitoto mkuu,l
 
View attachment 2354008

Hii ni ya 9.1.2, ww umehitaj ya 9.1 ambapo kwa hapa toa hzo spika ndogo fupi mbili (surround left & surround right) zinazobaki ndo mfumo mzm wa 9.1 unavyotakiwa kuwa
Wewe jamaa umenipatia somo kubwa tu kwenye hizi mambo ... niliganda kwenye home theatre za sony chan 5.1 nikajua ni the best kumbe dunia imeniacha nyuma zaidi
 
Ndio mambo yamebadilika sana ss hvi, wamejarbu kupunguza makorokoro mengi na kuwa na mzgo simple but unapata best sound ile ile ya Home theater
[emoji16] lakin kuna watu huwa wanamapenz sana na H.theater bado wanazikubali sana mpk ss hvi

Mfano :: kuna hki chuma cha LG 1000 Watts kiliwah sumbua sana enzi hzo mpk ss hvi naona bei yake bado ni ya moto 750k kwngne 850k kwingne 800k [emoji117]

View attachment 2354093
Hiki ni kigodoro kabisa sio mziki wa mchezo.
 
Kinu cha Bose
Bose_Soundbar-900-Bass-Module-700-Surround-Speakers-700.jpg
 
JBL SOUNDBAR zinazofanya vzr kwa ss hvi zipo za aina tatu
[emoji3541]JBL 2.1 total power up to 300W
[emoji3541]JBL 5.1 total pwer up to 510W
[emoji3541]JBL 9.1 total pwer up to 820W

Tuanze na sababu ya uhitaji wako wa soundbar nyumbani?

[emoji967] kuna jamaa amesema either unahitaji kwa ajili ya matumizi tuu ya nyumbani
[emoji117]like , music, kusklzia movies na kuconnect na blutooth supporting devices such as simu ama ipad even [emoji335] computer ama laptop

[emoji3541]JBL 2.1 ni nzuri sana kwa kutumia kusklzia MOVIE inatoa ORIGINAL MOVIE SOUND na syo sound zile za makelele km upo kidimbwi unasklza vdeo mpya ya marioo [emoji16][emoji16], kama ulishawah ingia CINEMAX utakua unanielewa namaanisha nn.
[emoji967]So km unatk soundbar alafu ww ni mtu wa movie sana nenda kwnye JBL 2.1 itakufaa sana

View attachment 2353409


[emoji3541]JBL 5.1 hii ni nzuri kwnye kusklzia mziki, kuanglia movie pamoja na kuconnect kwa blth, hii kwnye ile bar yake kuna detachable wireless speakers ambazo zina uwezo wa kukaa na charge mpk masaa 10
View attachment 2353410


[emoji3541]JBL 9.1 hii ni nzuri kwa mtu unayetka soundbar kwa ajili ya mziki mnene, watts 820 ya JBL siyo mchezo ina ngvu sana, hata muonekano wake ukiiona in reality utaelewa namaanisha nni. Pia hii nayo ina detachable wireless speakers ambazo nazo zina uwezo wa kukaa hadi 10hrs zikiwa zinapiga [emoji41]

View attachment 2353411


[emoji967]Jbl 5.1 na 9.1 utofaut wao uko kwnye Watts pamoja na ukubwa wa mziki unazozitoa ila mambo mengne yote yako similar sana..[emoji967]

[emoji3541]Tuje kwnye Gharama ama bei zao

[emoji383]JBL 2.1 ni 950k mpk 1.2M
[emoji383]JBL 5.1 ni 1.75m mpk 1.95M
[emoji383]JBL 9.1 ni 2.5M mpk 2.75M

[emoji117]Note hzi ni bei za kariakoo
Ukienda sehem km mlimani city ama masaki hyo ya 9.1 wanauza 4.5M [emoji16][emoji16][emoji16] but those are with same quality
matumizi ya nyumbani ni pamoja na imetokea kipaimara, nyumbani au kwa jirani, iwe na uwezo wa kutoa mdondo wa maana ya angalau kuchezea quitor.
 
[emoji3][emoji3][emoji3]
Kwamba 2.1 imetengenezwa kwa ajili ya Movies halafu 5.1 na 9.1 inetengenezwa kwa ajili ya Mziki mnene?

Hivi mnafahamu hata ni kwa nini hizo speakers ndogo nyingine kwenye 5.1 na 9.1 zinachomolewa?

You people can't be serious.
We ungeeleza unachokijua hadharani ili wanaojua wakusapoti au kukupinga,
vinginevyo tutahisi unataka waje pm, uli uwachomoe consultation fee, na huko hata matango pori unaweza walisha, na usikosolewe na mtu.
 
Nina rafiki alitakaga JBL speaker 2.1
Nikamuagiziaga Dubai.
Hapo Tukatuma 494,000
Then Hela ikafika kwa supplier aka delivery kwa Ajent wangu Kilimanjaro Star Cargo
Mzigo ukafika after 3 weeks
Nikalipia kama 170,000

So total hadi unafika was 664,000
Dah asee cheap Sana ilikuwa mpya au mtumba
 
Back
Top Bottom