Je 2030 CCM itaingia tena kwenye uchaguzi bila Chadema???

Mto wa mbu

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2021
Posts
4,507
Reaction score
11,367
Uchaguzi wa 2025, ni uchaguzi ambao binafsi sitokuja niusahau. Kwani ni uchaguzi ambao CCM walipata pigo, na aibu ya Karne.

Kwa miaka mingi CCM wamekuwa wakiiba kura za wapinzani, kitendo Cha Strong opposition party kushiriki uchaguzi kilikuwa ni faida Kwa CCM, kwani turnover ya wapiga kura inakuwa kubwa, so ata CCM walipokuwa wanaiba kura, ushindi wao ulikuwa na ka legitimacy kidogo.

Mwaka jana October nilkuwa likizo Tanzania, nilishuhudia aibu kubwa ambayo CCM waliipata, kwenye kituo jirani na kwangu, wapiga kura walioandikishwa walikuwa 420, waliokuja kupiga kura ni 17 tu, what a shame???

MO29, ilikolezwa aswa na Chadema kususia uchaguzi, kama Mbowe angeshinda uchaguzi wa Chadema basi angeshiriki uchaguzi na MO29 isingekuwepo.

Issues ni je kama hakutokuwa na mabadiliko katika Tume na sheria za uchaguzi,,then Chadema wakagoma kushiriki uchaguzi wa 2030, je CCM itaingia tena kwenye uchaguzi na vyama feki, au itabidi wakae wayajenge na Chadema??

Karibu

Mto wa Mbu
Illinois-USA
 
Unawashwa nini na hiyo 2030 wakati 2025 bado haijapoa. Hicho kihelehele ni cha nini?

Umenunuliwa?

Sikuhitaji kusoa hiyo taka uliyoweka humo ndani, baada ya kichwa cha mada mbovu yenyewe!
 
Crazy son of a bitch
 
Uchaguzi wa 2025, ni uchaguzi ambao binafsi sitokuja niusahau. Kwani ni uchaguzi ambao CCM walipata pigo, na aibu ya Karne.

Kwa miaka mingi CCM wamekuwa wakiiba kura za wapinzani, kitendo Cha Strong opposition party kushiriki uchaguzi kilikuwa ni faida Kwa CCM, kwani turnover ya wapiga kura inakuwa kubwa, so ata CCM walipokuwa wanaiba kura, ushindi wao ulikuwa na ka legitimacy kidogo.

Mwaka jana October nilkuwa likizo Tanzania, nilishuhudia aibu kubwa ambayo CCM waliipata, kwenye kituo jirani na kwangu, wapiga kura walioandikishwa walikuwa 420, waliokuja kupiga kura ni 17 tu, what a shame???

MO29, ilikolezwa aswa na Chadema kususia uchaguzi, kama Mbowe angeshinda uchaguzi wa Chadema basi angeshiriki uchaguzi na MO29 isingekuwepo.

Issues ni je kama hakutokuwa na mabadiliko katika Tume na sheria za uchaguzi,,then Chadema wakagoma kushiriki uchaguzi wa 2030, je CCM itaingia tena kwenye uchaguzi na vyama feki, au itabidi wakae wayajenge na Chadema??

Karibu

Mto wa

Chadema wasiposhiriki hata ccm hawataenda kupiga kura. Kama hakutakuwa na mabadiliko ya mfumo wa uchaguzi na tume ya uchaguzi chadema wahamasishane kutoshiriki. Kwanza kwenye mfumo huu chadema washiriki uchaguzi ili iweje. Mambo ya udhanifu kwamba chadema washiriki watapata wabunge wakati mambo hayajarekebishwa ni kutumia makalio kufikiri. Raha ya uchaguzi ni kuchaguana na sio kuibiana kura.
CCM waendelee kuteuana tu, hadi pale watanzania watakapo pata mwarobaini wa kuchaguana hata kama miaka itakuwa mia ijayo. Atakuja kutokea kiongozi jasiri mwenye akili ataibadilisha nchi hii kidemokrasia na wananchi watafurahia kura zao kama ilivyo Kenya.
 
Hatari
 
Back
Top Bottom