Je 29/10 yalikuwa ni maandamano kwaajili ya haki au uporaji?

Je 29/10 yalikuwa ni maandamano kwaajili ya haki au uporaji?

Maandamano haya haijalishi yamefanikiwa au hayakufanikiwa ninachojua yatapelekea reforms nyingi sana Serikalini.
Na mbaya zaidi kwa upande wetu wa CCM,kusipochukuliwa hatua madhubuti ndio kifo chetu cha moja kwa moja-muda utaongea tuombe uzima.

mkuu unawajua CCM vizuri?
 
Haya ni MATOKEO ya kukaa kimya kwenye matatizo ya msingi na kukwepa kuwajibika.
sababu za kuwakataza watu kuandamana na kuwatishia ni zipi?
 
mkuu unawajua CCM vizuri?
Mkuu ngoja nikuambia kitu
CCM wanakiburi sana , mwaka 2020 kulidi nyuma walikuwa wanaiba kula kama kawaida.
Kuanzia 2020 wakaamua kuondoka vyama vingine bungeni mpk sasa wanaendelea, 2020 kulikuwa na upinzania mkali kutoka kwa major opposition, lkn sasa wakaamua kutoa kbs kwenye uchaguzi.
Trust me 2030 kitafutwa kbs chama Cha chadema.
Makada wao wanazungumza tu adhalani kuwa wanaiba kula, ukikosoa wanakupoteza, hakuna mtu anayekemea au la.

CCM kibuli chao kinakua kabla ya 2020 internet ilikuwa haizimwi.
Lkn sasa Tangu 2020 internet inaziwa, hakuna anayelalamika , sasa wamezuia Twitter, tunakoenda watazuia WhatsApp, watazuia mpk YouTube,
Na tutafika stage hata vyombo vya habari vya nje vyote vitapigwa marufuku kwenye vi'ngamuzi vya Tanzania,
Ndo tunakoenda huko.
Kwa sababu hakuna yeyote anayekosoa.
Kisa hawataki kukosolewa.
Kibuli chao kinakua.

Na kumbuka haya yote yanatokea coz CCM hawajawahi kupata vuguvugu la wananchi au kundi la Gun violence litakalo pata upinzania kwa lengo la kupindua serikali ya CCM ,
CCM hawajawahi kupata hizo Kashi Kashi.

Kama mataifa mengine.
Mimi naona bado Kashi Kashi hawajapata vizuri.
 
Nilitaka kubisha kuwa hyo sio tanzania.ila hyo jezi imenisaliti.
Yaani tulifikia hatua ya kulengana kiasi hicho?
 

Attachments

  • FB_IMG_1762284881487.jpg
    FB_IMG_1762284881487.jpg
    37.4 KB · Views: 25
Mliowaibia na kuwafilisi mbona hamuwasemi
Hatujaanza kuiba sisi walianza kuiba wao kabra, kila aliyekumbwa na uharibifu au upotevu wa mali nyuma yake kunaufisadi, ndio maana hujasikia watu walimuibia mtu wa kawaida.
 
Back
Top Bottom