Kijukuu cha ngoyayi
JF-Expert Member
- Oct 27, 2018
- 3,358
- 6,667
Kama umewahi kugombana ukiwa na hasira utajua ni nini kilicho fanyika apo km ni maandamano au uporaji
Nenda Geita kaone vijana wanaojitafuta walivyofanyiwa mkuuHatujaanza kuiba sisi walianza kuiba wao kabra, kila aliyekumbwa na uharibifu au upotevu wa mali nyuma yake kunaufisadi, ndio maana hujasikia watu walimuibia mtu wa kawaida.
Sasa huko umeshasikia ni Geita, hiyo ilikuwa ni njaa walitumia maandamano kama fursa na wala hawakuwa wanamageuzi wa kweli.Nenda Geita kaone vijana wanaojitafuta walivyofanyiwa mkuu
Kamuulize mamako,kenge bin majinuni weweMkiambiwa muwe mnaelewa haya hiyo haki mliyokuwa mnaitafuta mmeipata?
Kupoteza uhai kwa ujinga na uzembe ni dhambi kwani wangeandamana na mabango yao tu bila kupora au kuchoma mali za watu wangekufa?Kwahiyo Wtz wenzako kupoteza uhai na haki yao ya kuishi kwako ni sherehe? Hebu jaribu kutumia akili wakati mwingine siyo unalopoka tu hovyo.
Unauhakika hakuna mtu wa kawaida aliyeibiwa,acha kuongea kiushabiki hapa na upumbavu wakoHatujaanza kuiba sisi walianza kuiba wao kabra, kila aliyekumbwa na uharibifu au upotevu wa mali nyuma yake kunaufisadi, ndio maana hujasikia watu walimuibia mtu wa kawaida.
Matusi yenu ndiyo yataendelea kuwaponza nakwambia mtakufa sana na haki hamtakaa muioneKamuulize mamako,kenge bin majinuni wewe
Umeshajiita "evilspirit" na kazi yako ndiyo hiyo kuwadanganya wajinga wako uwatoe rohoKamuulize mamako,kenge bin majinuni wewe
Sasa simngeenda kuwapora hao mafisadi kwao siyo kuchoma moto biashara za watu,kwa akili hizo mtachemsha sana nawambiaViongozi mafisadi wakipora sawa wananchi wakipora nongwa unastahili spesho kumanyoko
Mlikatazwa kuandamana bwana au ninyi mliyaka kuharibu uchaguzi na kupora?Haya ni MATOKEO ya kukaa kimya kwenye matatizo ya msingi na kukwepa kuwajibika.
sababu za kuwakataza watu kuandamana na kuwatishia ni zipi?
Sababu za watu kuandamana unazijua? kukwepa kuwajibika Kwa serikali ndo MATOKEO yake haya usidhani Kila siku watu watakuwa wanyonge tuMlikatazwa kuandamana bwana au ninyi mliyaka kuharibu uchaguzi na kupora?
Manyoko!,wewe utaishi mileleMatusi yenu ndiyo yataendelea kuwaponza nakwambia mtakufa sana na haki hamtakaa muione
Haki kwa woteMkiambiwa muwe mnaelewa haya hiyo haki mliyokuwa mnaitafuta mmeipata?
Hiyo siyo sababu acha uongo bwana wao walisema "NRNE" na ndivyo ingekuwa kuacha kupiga kura hakuna sehemu waliposema wataandamana kwaajili ya kutowajibika bwana acha uongo na uzushiSababu za watu kuandamana unazijua? kukwepa kuwajibika Kwa serikali ndo MATOKEO yake haya usidhani Kila siku watu watakuwa wanyonge tu
Inaonekana wewe ni ng'ombe mtiifu wa ccm, kwanza kubishana na mpuuzi kama wewe ni kupotezeana muda.Unauhakika hakuna mtu wa kawaida aliyeibiwa,acha kuongea kiushabiki hapa na upumbavu wako
Ishi kiuhalisia achana na mihemko ya kisiasa ukweli humuweka mtu huru siyo vinginevyo.Inaonekana wewe ni ng'ombe mtiifu wa ccm, kwanza kubishana na mpuuzi kama wewe ni kupotezeana muda.
Haki kwanza, mengine ziada.Ishi kiuhalisia achana na mihemko ya kisiasa ukweli humuweka mtu huru siyo vinginevyo.