mkuu unawajua CCM vizuri?
Mkuu ngoja nikuambia kitu
CCM wanakiburi sana , mwaka 2020 kulidi nyuma walikuwa wanaiba kula kama kawaida.
Kuanzia 2020 wakaamua kuondoka vyama vingine bungeni mpk sasa wanaendelea, 2020 kulikuwa na upinzania mkali kutoka kwa major opposition, lkn sasa wakaamua kutoa kbs kwenye uchaguzi.
Trust me 2030 kitafutwa kbs chama Cha chadema.
Makada wao wanazungumza tu adhalani kuwa wanaiba kula, ukikosoa wanakupoteza, hakuna mtu anayekemea au la.
CCM kibuli chao kinakua kabla ya 2020 internet ilikuwa haizimwi.
Lkn sasa Tangu 2020 internet inaziwa, hakuna anayelalamika , sasa wamezuia Twitter, tunakoenda watazuia WhatsApp, watazuia mpk YouTube,
Na tutafika stage hata vyombo vya habari vya nje vyote vitapigwa marufuku kwenye vi'ngamuzi vya Tanzania,
Ndo tunakoenda huko.
Kwa sababu hakuna yeyote anayekosoa.
Kisa hawataki kukosolewa.
Kibuli chao kinakua.
Na kumbuka haya yote yanatokea coz CCM hawajawahi kupata vuguvugu la wananchi au kundi la Gun violence litakalo pata upinzania kwa lengo la kupindua serikali ya CCM ,
CCM hawajawahi kupata hizo Kashi Kashi.
Kama mataifa mengine.
Mimi naona bado Kashi Kashi hawajapata vizuri.