Je, Abedi Amani Karume alikuwa na Wake 6? Ana Watoto Wangapi?

Pascal Mayalla

Platinum Member
Joined
Sep 22, 2008
Posts
53,857
Reaction score
121,995
Wanabodi,

Nimeikuta hii humu jf kwenye mjadala fulani hebu jisomee mwenyewe!.


Kwa mujibu wa mtoa hoja hii, Mkuu Zomba wa JF,

Wake wa Abedi Amani Karume ni hawa wafuatao

  1. Bibi Pili binti Ahmed Ambari
  2. Mke wake wa pili ni Bibi Ashura binti Maisara.
  3. Mke wa tatu ni Bibi Fatma binti Gulamhussein Ismail (Fatma Karume) katika mwaka 1944
  4. Bibi Nasra, -Amebahatika naye mtoto mmoja wa kike
  5. Bibi Helemu-amebahatika nae mtoto mmoja wa kike
  6. Bibi Fadya-amebahatika naye mtoto mmoja wa kike
Data za Bi Mkongwe
Nawauliza wale wajuzi wa siasa za Zanzibar, jee haya ni ya kweli ua anasingiziwa?!.

Kama ni kweli, jee muasisi wetu huyu ana jumla ya watoto wangapi?. Vipi hali za hao watoto na vipi hali za hao wake?.

Lengo la kuyauliza haya kwasababu ndoa ni jambo la kheri, hivyo hakuna ubaya wowote kuijua status ya familia nzima ya Shujaa huyu, kiongozi wa yale Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, na Muasisi wa Muungano wetu Adhimu, ili tunaposherehekea Diamond Jubilei (50-years) ya Mapinduzi na Muungano, pia tuwaenzi watu waliohusika na maisha ya Shujaa na muasisi wetu huyu!.

NB. Kuna kitu kinaitwa "the right to privacy" ambapo kila mtu anayo haki ya faragha ya mambo yake binafsi, na mtu yoyote haruhusiwi kuingilia uhuru huo wa hifadhi ya mambo yake ya faragha na kuyaleta public. Haki hii ya faragha, inakuwa imeondolewa kwa watu ambao ni "public figures" ambao wamekuwa wakilipwa misahara kwa fedha za walipa kodi!, yaani wanalipwa kwa fedha za "taxpayers money", hivyo walipa kodi hao, "The Public has the right to know the publi and private conduct" of their leaders! kwa sababu hayo ni matumizi ya kodi zao!.

Pasco.
 

Aliyekuita shetani hajakosea, ndio nini kuudanganya umma wa JF na kubadili post yangu niliyoibandika na kusingizia yasioandikwa?

Post yangu ni hii hapa, na wapi hapa imesema kuwa Karume "kisha alimuoa Binti wa Shaaban Juma"

Natumai Moderator wa jukwaa hilia anliona hili na atachukuwa hatua stahiki.

Wanajamvi jioneeni upotoshaji wa wazi wazi wa Pasco, mambo yamemshinda sasa anacheza na post zangu. Kuweni mahakimu kwa hili kwani wengine mlisha inukuu humu rejeeni post mjonee wenyewe.


Nilikwambia, waache magwiji wa historia ya Zanzibar wakupe ilmu, wewe kaa uulize maswali, hujanielewa, naona sasa unaanza kubadili post zangu kabisa ili kujaribu kuni "assasinate character" yangu.

Najuwa wasomaji wanakusoma na hata hao wanaokutetea kidogo wanakuona ni vipi kila muda uvyokwenda unavyosidi kupotoka.

Ungekuwa unajuwa "right to privacy" usingeli mkebehi binti yetu Salma Said humu, wala usingewakebehi dada zetu wa Gerezani, wala usingeibadilisha maneno post yangu.
 
Last edited by a moderator:

Hii ligi ngumu. Ngoja watazamaji tukanunue pop corns tuje tupate maarifa zaidi.

Tiririka mkuu.
 
Hii ligi ngumu. Ngoja watazamaji tukanunue pop corns tuje tupate maarifa zaidi.

Tiririka mkuu.

Wala si ngumu rudia post yangu namba 3 nimei edit. Huyu Pasco ni hatari, mjadala kautoa huko kauleta huku na kabadili maneno yangu na kuweka yake kwenye post yangu.

Ikiwa uongozi wa JF utaachia hali ikawa hivi ni hatari kubwa sana, hata kutoka kwa mtu maarufu kama Pasco.
 
Last edited by a moderator:
Mechi imehamia uwanja mpana wacha niangalie kijiwe cha kahawa na kashata,unajua sisi wenye elimu za madrasa wacha tujifunze,

CC Ritz
 
Last edited by a moderator:
Pasco wacha uongo, hukuikuta humu, hii imetoka kwenye mada uliyoanzisha wewe mwenyewe hii hapa:

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...bar-bado-kuna-maswali-bila-majibu-1-a-18.html

Nashangaa umeamua kuyabadili maneno ya kwenye post yangu na kuja kuzuwa uongo huku. Huo ni zaidi ya ushetani.

Wana JF wataipitia hiyo link na kujionea wenyewe jinsi ulivyo.
 

Na mimi ananitishia maisha yangu kwa kumwita Sheittani sababu amadhalilisha Salma Said.

Je Pasco anataka akanitupe Msitu wa Pande?
 
Last edited by a moderator:

Tatizo hii ID hua mnawapa mateeneja mpaka inashuka thamani
 
Last edited by a moderator:

Pasco
Wale mabinti wa kizanzibari walokuwa wakikufuata wenyewe mara tu wakuonapo na wale wa gerezani wakumbuka idadi zao?

Na je, hakuna hata mmoja katika idadi hiyo kama si watatu ambaye/ambao uliwahipata naye/nao watoto?

Tafadhali usikimbie tena huku, nisaidie nami kutambua hili halafu tuhamie kwa wake za Abeid Aman Karume.
 
Sasa naamini maneno ya Kikwete, "kuna watu wana viwanda vya uongo".

Mmoja wapo ni wewe Pasco.
 
Na mimi ananitishia maisha yangu kwa kumwita Sheittani sababu amadhalilisha Salma Said.

Je Pasco anataka akanitupe Msitu wa Pande?

Kule mambo yamemshinda kaja kutafuta msaada huku. Lakini watu wengi wa JF wameshamjua alivyo mnafik, hata hao ambao anategemea watampa msaada kwa huu uongo wake, wanamponda tu.

Eti mtu yuko kwenye fani ya habari anaenda kubadili post yangu kwa kuwa nimemshinda kwa hoja.
 
Pasco, umechanganyikiwa ha ha ha ha, Karume ajao mfulilizo kama unavyotaka kuwaminisha watu, zomba amekuandikia vizuri kabisa wake zake wa mwanzo wawili walitengana ili haujaliweka kwa makusudi, wapi zomba kasema Karume walikuwa na wake 7.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…