Je, Abedi Amani Karume alikuwa na Wake 6? Ana Watoto Wangapi?

Je, Abedi Amani Karume alikuwa na Wake 6? Ana Watoto Wangapi?

pasco ungefafanua unamzungumzia Sheikh Abeid Aman Karume....yule Bwana aliyepewa Urais na Field Marshal John Okello baada ya kufanya Mapinduzi.....Zanzibar walipaswa kuwa na Okello Day....maskin Okello wamejaribu kumfuta lakin historia inakataa...haifutiki. Okello Zanzibar isingekuwa Huru bila wewe...Karume roho yako iwekwe mahal panapostahili...ulipaswa umshukuru Juma Okello....
Alilipwa ujira wake, akarudi kwao Mamluki yule
 
Leo ni Karume Day, nami naomba kujiunga na Watanzania wenzetu maadhimisho mema ya Karume Day na kuwatakia mapumziko mema.
RIP Abedi Amani Karume.
Paskali
 
Back
Top Bottom