Je, Abedi Amani Karume alikuwa na Wake 6? Ana Watoto Wangapi?

Je, Abedi Amani Karume alikuwa na Wake 6? Ana Watoto Wangapi?

Pasco, umechanganyikiwa ha ha ha ha, Karume ajao mfulilizo kama unavyotaka kuwaminisha watu, zomba amekuandikia vizuri kabisa wake zake wa mwanzo wawili walitengana ili haujaliweka kwa makusudi, wapi zomba kasema Karume walikuwa na wake 7.

Tatizo la Pasco ni mgumu kuelewa mwepesi wa kusahau.
 
Last edited by a moderator:
Pasco ulifikiri utanidhalilisha, umejidhalilisha mwenyewe. Jikumbushe:

Do Not Lie About Others. Do not fabricate stories about your boss, co-workers, and spread gossip for the sake of company politics. You are here to be the salt and the light, not the pepper and the darkness!! Truth always rises to the surface, and eventually you will be ashamed and rebuked if you lie. (II Peter 2:10-13 ).
 
Last edited by a moderator:
Wala si ngumu rudia post yangu namba 3 nimei edit. Huyu Pasco ni hatari, mjadala kautoa huko kauleta huku na kabadili maneno yangu na kuweka yake kwenye post yangu.

Ikiwa uongozi wa JF utaachia hali ikawa hivi ni hatari kubwa sana, hata kutoka kwa mtu maarufu kama Pasco.

Hapo kwenye red ni tatizo sana humu. Inabidi wenye jukwaa watafute jinsi kwamba mtu anapo-quote post ya mwingine asiweze kuifanyia editing ya aina yoyote labda formatting kama text color, underline, bold, na italic kwa ajili ya rejea tu na sio vinginevyo. Sijui watafanyaje lakini wafanye kazi yao.

CC: Moderator, Paw, Invisible
 
Last edited by a moderator:
Pasco ulifikiri utanidhalilisha, umejidhalilisha mwenyewe. Jikumbushe:

Do Not Lie About Others. Do not fabricate stories about your boss, co-workers, and spread gossip for the sake of company politics. You are here to be the salt and the light, not the pepper and the darkness!! Truth always rises to the surface, and eventually you will be ashamed and rebuked if you lie. (II Peter 2:10-13 ).
Kwani MUDI alikuwa na wake wangapi?
 
Mkuu Pasco

Mbona ukisoma bandiko la zomba inaonyesha hesabu ni wake watatu tu ndiyo Karume kaoa umeipata wapi hiyo idadi ya wake saba.
 
Last edited by a moderator:
Wanabodi,

Nimeikuta hii humu jf kwenye mjadala fulani hebu jisomee mwenyewe!.

Kwa mujibu wa mtoa hoja hii, Mkuu Zomba wa JF,
Wake wa Abedi Amani Karume ni hawa wafuatao

  1. [*=left]Bibi Pili binti Ahmed Ambari
    [*=left]Mke wake wa pili ni Bibi Ashura binti Maisara.
    [*=left]Mke wa tatu ni Bibi Fatma binti Gulamhussein Ismail (Fatma Karume) katika mwaka 1944
    [*=left]Bibi Nasra, -Amebahatika naye mtoto mmoja wa kike
    [*=left]Bibi Helemu-amebahatika nae mtoto mmoja wa kike
    [*=left]Bibi Fadya-amebahatika naye mtoto mmoja wa kike

Nawauliza wale wajuzi wa siasa za Zanzibar, jee haya ni ya kweli ua anasingiziwa?!.
Kama ni kweli, jee muasisi wetu huyu ana jumla ya watoto wangapi?. Vipi hali za hao watoto na vipi hali za hao wake?.

Lengo la kuyauliza haya ni ili kuijua status ya familia nzima ya Shujaa huyu, kiongozi wa yale Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, na Muasisi wa Muungano wetu Adhimu, ili tunaposherehekea Diamond Jubilei (50-years) ya Mapinduzi na Muungano, pia tuwaenzi watu waliohusika na maisha ya Shujaa na muasisi wetu huyu!.

Pasco.

NB. Kuna kitu kinaitwa "the right to privacy" ambapo kila mtu anayohaki ya faragha, na haruhusiwi kuingilia mambo yake ya faragha na kuyaleta public. Haki hii ya faragha, inakuwa imeondolewa kwa watu amba ni "public figures" ambao wamekuwa wakilipwa misahara kwa fedha za walipa kodi!, yaani wanalipwa kwa fedha za "taxpayers". Kufuatia kulipwa mishahara na walipa kodi, "The Public has the right to know the publi and private conduct" of their leaders! kwa sababu hayo ni matumizi ya kodi yao!.

Naona umebadilisha. Haahahahahaha toka 7 mpaka 6 na jina la uliyampachika uukwe wa Karume umeliondoa wakati hilo linamaanisha "source".

Wallahi una vituko si haba.
 
Wanabodi,

Nimeikuta hii humu jf kwenye mjadala fulani hebu jisomee mwenyewe!.

Kwa mujibu wa mtoa hoja hii, Mkuu Zomba wa JF,
Wake wa Abedi Amani Karume ni hawa wafuatao

  1. [*=left]Bibi Pili binti Ahmed Ambari
    [*=left]Mke wake wa pili ni Bibi Ashura binti Maisara.
    [*=left]Mke wa tatu ni Bibi Fatma binti Gulamhussein Ismail (Fatma Karume) katika mwaka 1944
    [*=left]Bibi Nasra, -Amebahatika naye mtoto mmoja wa kike
    [*=left]Bibi Helemu-amebahatika nae mtoto mmoja wa kike
    [*=left]Bibi Fadya-amebahatika naye mtoto mmoja wa kike

Nawauliza wale wajuzi wa siasa za Zanzibar, jee haya ni ya kweli ua anasingiziwa?!.
Kama ni kweli, jee muasisi wetu huyu ana jumla ya watoto wangapi?. Vipi hali za hao watoto na vipi hali za hao wake?.

Lengo la kuyauliza haya ni ili kuijua status ya familia nzima ya Shujaa huyu, kiongozi wa yale Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, na Muasisi wa Muungano wetu Adhimu, ili tunaposherehekea Diamond Jubilei (50-years) ya Mapinduzi na Muungano, pia tuwaenzi watu waliohusika na maisha ya Shujaa na muasisi wetu huyu!.

NB. Kuna kitu kinaitwa "the right to privacy" ambapo kila mtu anayo haki ya faragha ya mambo yake binafsi, na mtu yoyote haruhusiwi kuingilia uhuru huo wa hifadhi ya mambo yake ya faragha na kuyaleta public. Haki hii ya faragha, inakuwa imeondolewa kwa watu ambao ni "public figures" ambao wamekuwa wakilipwa misahara kwa fedha za walipa kodi!, yaani wanalipwa kwa fedha za "taxpayers money", hivyo walipa kodi hao, "The Public has the right to know the publi and private conduct" of their leaders! kwa sababu hayo ni matumizi ya kodi zao!.​

Pasco.
Leo tunapomkumbuka Hayati Karume, kuna ubaya wowote, wenzetu Wanzibari, mkatuhadithia japo kidogo, vipi khali za hao wajane, au watalaka wake wengine, na vipi khali za hao watoto wengine?!.

Pasco
 
pasco ungefafanua unamzungumzia Sheikh Abeid Aman Karume....yule Bwana aliyepewa Urais na Field Marshal John Okello baada ya kufanya Mapinduzi.....Zanzibar walipaswa kuwa na Okello Day....maskin Okello wamejaribu kumfuta lakin historia inakataa...haifutiki. Okello Zanzibar isingekuwa Huru bila wewe...Karume roho yako iwekwe mahal panapostahili...ulipaswa umshukuru Juma Okello....
 
Leo tunapomkumbuka Hayati Karume, kuna ubaya wowote, wenzetu Wanzibari, mkatuhadithia japo kidogo, vipi khali za hao wajane, au watalaka wake wengine, na vipi khali za hao watoto wengine?!.

Pasco

ww inakuhusu nn? thatswhy ulikir una physically and mental problems
 
Leo tunapomkumbuka Hayati Karume, kuna ubaya wowote, wenzetu Wanzibari, mkatuhadithia japo kidogo, vipi khali za hao wajane, au watalaka wake wengine, na vipi khali za hao watoto wengine?!.

Pasco

Wewe Pasco ndo Unajua sn hayo mambo au umesahau?
 
Last edited by a moderator:
Sasa mtu ana wake sita anapata wapi muda wa kuandaa hotuba.maana kuna mtu alikuwa anauliza mbona leo haziwekwi hotuba zake...
 
Tokea mwaka jana mkuu Pasco kamkimbia zomba so ameishia kuLike to comment za watu.
Afu huu Uzi nilishausahau
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom