Je, Adam aliumbwa akiwa na maumbile ya kiume?

Adam alikuwa mwanaume aliyekamilika.

Mfano wewe mtoa mada kuna baadhi ya tabia(za kike) umerithi kutoka kwa mama yako.
 
Ukifikiri Adam inamaanisha binadamu mwenye mwili...utaona siku refu.
 
Adam aliumbwa mwanaume kamili sambamba na mwanamke kamili aliyeitwa Lilith
 
Umekula kweli? Mbona mawazo haya yanaashiria njaa ya kichwani!?
 
Adam alikuwa mwanaume aliyekamilika.

Mfano wewe mtoa mada kuna baadhi ya tabia(za kike) umerithi kutoka kwa mama yako.
Mkuu Satan shukrani kwa ufafanuzi wako. πŸ™πŸ™πŸ™
 
Unajua maana ya neno "mwanaume" linawakilisha vyema "uume" (dushelele), hoja yako ipo kinyume na uumbaji wa Mungu, Mungu aliumba kila kitu ktk mwili wa Adam, Soma vizuri maandiko yanaelezea vyema kabisa.
China au jamii nyingine hawaiti "mwanaume" kama wewe mswahili ulivotafsiri hiyo mwanaume, je wanawakilishwa na nini
 
Hoja ya kihisia zaidi.

Unadhani Mungu hakuwa na mpango wa kumuumba Adam baada ya kuumba ulimwengu na vilibyomo? Unadhani Mungu alikurupuka siku ya sita na kusema tumfanye mtu?

Mungu ni Mkamilifu na kama anafujua kabla misingi ya dunia kuwepo, maana yake aliandaa kumuumba Hawa baada ya siku ya saba, maana yake baada ya mapumziko kazi iendelee kwa mzunguko huo
 


1----Adam alzaliwa kama ulivyozaliwa wewe.
2----Adam alikuwa mtu wa kwanza kupokea ufunuo kutoka kwa Mungu kuwapelekea watu wake na hivyo yeye alikuwa mtume wa kwanza wa Mungu.
3---Adamu hakuwa mtu wa kwanza kuumbwa physically jinsi watu wanavyodhani kimakosa
4---Adam alimuoa Hawa kama jinsi watu tunavyooana.
 
Mwanzo 5 (Biblia Takatifu)
Β―Β―Β―Β―Β―Β―Β―Β―Β―Β―
ΒΉ Hiki ndicho kitabu cha vizazi vya Adamu. Siku ile Mungu alipoumba mtu, kwa sura ya Mungu alimfanya;
Β² mwanamume na mwanamke aliwaumba, akawabariki akawaita jina lao Adamu, siku ile walipoumbwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…