mkombengwa
JF-Expert Member
- Dec 4, 2011
- 3,173
- 3,443
Aisee swali gumu hili?Na pia Adam aliumbwa akiwa na miaka mingapi?/umri gani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee swali gumu hili?Na pia Adam aliumbwa akiwa na miaka mingapi?/umri gani?
Ukifikiri Adam inamaanisha binadamu mwenye mwili...utaona siku refu.Moja kwa moja kwenye mada haingii akilini kwamba Adamu aliumbwa na maumbile ya kiume mfano korodani, mfumo wa utengenezaji wa manii, uwezo wa kusimamisha uume, sexual hormones, Nyege
Hapakuwa na mwanamke kwa nini apewe hivyo vitu
Hoja yangu: Adamu aliumbwa akiwa sio mwanaume
Adam aliumbwa mwanaume kamili sambamba na mwanamke kamili aliyeitwa LilithMoja kwa moja kwenye mada haingii akilini kwamba Adamu aliumbwa na maumbile ya kiume mfano korodani, mfumo wa utengenezaji wa manii, uwezo wa kusimamisha uume, sexual hormones, Nyege
Hapakuwa na mwanamke kwa nini apewe hivyo vitu
Hoja yangu: Adamu aliumbwa akiwa sio mwanaume
Umekula kweli? Mbona mawazo haya yanaashiria njaa ya kichwani!?Moja kwa moja kwenye mada haingii akilini kwamba Adamu aliumbwa na maumbile ya kiume mfano korodani, mfumo wa utengenezaji wa manii, uwezo wa kusimamisha uume, sexual hormones, Nyege
Hapakuwa na mwanamke kwa nini apewe hivyo vitu
Hoja yangu: Adamu aliumbwa akiwa sio mwanaume
China au jamii nyingine hawaiti "mwanaume" kama wewe mswahili ulivotafsiri hiyo mwanaume, je wanawakilishwa na niniUnajua maana ya neno "mwanaume" linawakilisha vyema "uume" (dushelele), hoja yako ipo kinyume na uumbaji wa Mungu, Mungu aliumba kila kitu ktk mwili wa Adam, Soma vizuri maandiko yanaelezea vyema kabisa.
Usitoke nje ya mada, Wachina na wahaiti wana lugha zao, hapa tupo kwa lugha yetu pendwaChina au jamii nyingine hawaiti "mwanaume" kama wewe mswahili ulivotafsiri hiyo mwanaume, je wanawakilishwa na nini
Hoja ya kihisia zaidi.Moja kwa moja kwenye mada haingii akilini kwamba Adamu aliumbwa na maumbile ya kiume mfano korodani, mfumo wa utengenezaji wa manii, uwezo wa kusimamisha uume, sexual hormones, Nyege
Hapakuwa na mwanamke kwa nini apewe hivyo vitu
Hoja yangu: Adamu aliumbwa akiwa sio mwanaume
Moja kwa moja kwenye mada haingii akilini kwamba Adamu aliumbwa na maumbile ya kiume mfano korodani, mfumo wa utengenezaji wa manii, uwezo wa kusimamisha uume, sexual hormones, Nyege
Hapakuwa na mwanamke kwa nini apewe hivyo vitu
Hoja yangu: Adamu aliumbwa akiwa sio mwanaume
Eendiwoooooooo!!Kakumuonesha Adam! daaah!!!. Wakulungwa hamna dogo. 😂😂😂😂😂
Umesema vema, ila ni Mungu, sio mungu. Kimaandishi kuna tofauti kubwa sana kati ya "mungu" na "Mungu"Halafu ukisoma biblia inasema mungu aliwaita wote mme na mke ADAM