Mkuu sasa hii kali.....Ngumu kumeza1----Adam alzaliwa kama ulivyozaliwa wewe.
2----Adam alikuwa mtu wa kwanza kupokea ufunuo kutoka kwa Mungu kuwapelekea watu wake na hivyo yeye alikuwa mtume wa kwanza wa Mungu.
3---Adamu hakuwa mtu wa kwanza kuumbwa physically jinsi watu wanavyodhani kimakosa
4---Adam alimuoa Hawa kama jinsi watu tunavyooana.
Mkuu sasa hii kali.....Ngumu kumeza
Nimependa logic YakoNgumu kumeza ni hicho nllichosema au kinyumee na hicho??!!.
Angalia; Adam aliishi Babylon (iraq ya sasa) takriban miaka 6,000 iliyopita, Fuvu la mtu wa kale (Zinjanthropus Boisei) lililovumbuliwa na Dr Richard leakey na mkewe huko Oldvai Gorge lilikuwa na umri wa takriban miaka 1000,000 toka mtu huyo alipofariki, sasa unawezaje kusema Adam ndiye mtu wa kwanza???!, isitoshe kumeisha vumbuliwa mabaki ya watu walioishi malaki kwa maelfu ya miaka zaidi ya miaka ya Adam.
Watu wanachanganya kati ya Adamu kuwa mtu wa kwanza kuumbwa na kuwa wa kwanza kupokea ujumbe wa kiroho, Adam alikuwa mtu wa kwanza kupokea ujumbe wa kiroho (spiritual message) kutoka kwa Mungu ili awafikishie watu wake hivyo yeye ndiye alikuwa nabii wa kwanza kutumwa duniani na sio mtu wa kwanza kuumbwa, kwa maneno mengine Adam alikuwa mtu wa kwanza kuumbwa KIROHO (The first spiritually created man) na sio mtu wa kwanza kuumbwa kimwili (Not the first physically created man).
Kwa upande wa dini hakuna hata kitabu kimoja kinachodai kuwa Adam alikuwa ni mtu wa kwanza kuumbwa, katika Qur'an Adam anajulikana kama mtume/Nabii na kanuni ya ujio wa mitume au manabii kutoka kwa Mungu ni kwamba wao huwa wanatumwa kwa watu yaani watu wanakuwepo na halafu hao manabii ndio wanatumwa na Mungu kwa hao watu (Qaum) hivyo watu wanakuwepo kabla ya nabii hajachaguliwa na Mungu kutoka miongoni mwao naye anakuwa ni mzawa wa watu hao.
Biblia Biblia inasema Hawa alitoka ubavuni kwa Adamu kisha Hawa akawa mkewe na wakazaa watoto wawili Kaini na Habeli, Kaini akamuua Habeli, Kaini alipoona katenda kosa akakimbilia NCHI YA Nodi na huko AKAOOA mke !!!, Ukichunguza hii hadithi ya Kaini na Habeli utagundua kwamba mbali na Adam, Hawa na watoto wake kumbe kulikuwepo na nchi zingine kama nchi ya Nodi nk, ambapo kulikuwepo na watu wakiishi na ndio maana Nodi ikaitwa nchi na huko ndipo Kaini alikwenda kuoa Mke, sasa utasemaje Adam ndiye alikuwa mtu wa kwanza kuumbwa??!.
Hawa "kutolewa katika ubavu wa Adam"--- hiyo ni lugha ya mafumbo ya kiroho, maana yake ni hii; tabia au mwenendo wa maisha ya kiroho ya Hawa yalifanana sana na tabia na mwenendo wa kiroho ya Adam na ndio maana ya mtu kutolewa ubavuni mwa mtu mwingine, Hawa alikuwa ni chaguo la Mungu kwa nabii Adamu.
Katika kiingereza kuna msemo; "I and you are made out of the same wood'", yaani; Mimi na wewe tumeumbwa kutokana na mbao ileile, ufafanuzi wa kauli hiyo ni kwamba mimi na wewe tunazo sifa, tabia, hulka, mienendo nk zinazofanana, hivyo inaposemwa Hawa alitoka ubavuni mwa Adamu haina maana ya kidhahiri kwamba Adam alimfyatua/alimzaa Hawa kutoka ubavuni, kama ni kweli alimfyatua kama tofali kutoka ubavuni tukisema Adam alioa mwanaye tutakosea??!.
Nyoka anayetajwa kwenye Hadithi hiyo ya Adam naye siye nyoka wa kidhahiri bali kiroho nyoka ni Adui na hususa ni mtu hivyo yule aliyewadanganya Adam na Hawa ni mtu, kifupi ni kwamba vitu vingi vilivyotajwa katika kisa cha Adam na Hawa ni mafumbo ya kiroho ambayo watu kwa makosa huyachukulia kidhahiri.
NB:Adam hakuwa mtu wa kwanza kuumbwa.
Kuna hoja ya msingi hapaNgumu kumeza ni hicho nllichosema au kinyumee na hicho??!!.

Nishawah kuuliza mtu(pastor wetu wa primary) hilo swal ila akanijib hiviNgumu kumeza ni hicho nllichosema au kinyumee na hicho??!!.

Nishawah kuuliza mtu(pastor wetu wa primary) hilo swal ila akanijib hivi
Zamani walikuwa wanaishi miaka mingi ko watu wa zamani walizaliana mapema sana, ko waliongezeka kwa kasi sana, na nchi haikumaanisha nchi kama zetu ckuizi, ilimaanisha vikundi vya watu, au tuseme vijiji
Na Cain na Abel hawakuwa wana wa kwanza wa Adam na wala biblia haijasema
Sasa Adam aliishi miaka 960 apa duniani ukiachia Hedern na mtu anaanza kuzalisha akifikia miaka15, sasa ukipiga calculations ni watoto wengi tu
Yani hili swali linatosha kuhitimisha Mungu hayupo
Miaka ya 90, orbit ya Pluto ilikuwa inayumba yumba....wanasayansi wakadhani kutakuwa na Sayari ya 10 inayoivuta Pluto...Hii sayari iliitwa planet X.Unaposem
Unaposema "Mungu hayupo" watu watahoji kama hayupo yupo nani??!!, wewe kwa kumtaja tu "Mungu" inathibitisha kwamba yupo yaani kuna kitu kinaitwa "Mungu" lakini hakipo ndani uwezo wako wa fikra yaani uwezo wako kujua uwepo wa Mungu ni mfinyu, sasa inakupasa ujitafakari kwanza juu ya uwezo wako wa kifikra kabla hujahitimisha kutokuwepo kwa Mungu.
Na huu ni ugonjwa wa watu wanaoamini kutokuwepo kwa Mungu, wao wanajiabudu na kujiona kwamba akili yao ni kubwa mno kuweza kudai kutokuwepo kwa Mungu kumbe hawajui uchache na uwezo wa akili yao ndio matokeo ya wao kukanusha kwamba hakuna Mungu.
Miaka ya 90, orbit ya Pluto ilikuwa inayumba yumba....wanasayansi wakadhani kutakuwa na Sayari ya 10 inayoivuta Pluto...Hii sayari iliitwa planet X.
Lakini baadae ya kugundua Hubble telescope walikuja kugundua hiyo sayari haipo.
Sasa Kwa logic yako, kile kitendo cha kuita planet X TU ni ushahidi tosha kuwa Hiyo sayari ipo.
Hivyo basi, kila kitu kitakachotajwa na kinywa cha mwanadamu kipo.
Zombi wapo
Vampire wapo
Unicorn wapo
Samaki mtu wapo
Fairies wapo
Nk. Nk.
Maswali yako yote ni nani? Ni nani??"Planet X iliaminika ipo kwasababu ya uvutano na planet pluto baadaye ikajakuwa proved wrong baada ya Hubble Telescope kugundua kwamba hiyo planet X haipo".-- nimekunukuu.
---Tunajua kuna nguvu za uvutano kati ya Jua na sayari na nguvu hiyo ndiyo inayozifanya sayari ziendelee kulizunguka jua, je ni nani aliyeanzisha huo mzunguko?? (recall the mechanism to keep an artificial satellite in the orbit).
--Ni nani aliyeanzisha nuclear reaction (fussion reaction) ya Hydrogen kuwa Helium ili kuzalisha joto, mwanga kwenye jua??, isitoshe ni nani aliweka hiyo gas ya Hydrogen huko??, (recall thermonuclear bomb).
--- Ni nani aliyepanga illi wewe uzaliwe na hao wazazi wako na uwe na jinsia uliyonayo?? (Refer watu wanaojibadilisha jinsia zao kwa operation).
Ni hadi pale utakaponipa majibu ya maswali hayo kwa ushahidi jinsi Hubble telescope ilivyotoa majibu ya kutokuwepo kwa Planet X, nami nitaamini hakuna the Supreme conscious disciplined intelligent being anayesimamia shughuli zote hizo na zingine nyingi,, The almighty God.
Maswali yako yote ni nani? Ni nani??
Yani umeshaasume kuwa lazima awepo 'Fulani'.
Ungeanza kwanza kuthibitisha hiyo assumption yako kuwa lazima awepo Fulani ili hivyo vitu vitokee...na haviwezi kutokea vyenyewe bila Fulani.
Cha ajabu nikikuuliza Huyo 'fulani' katokea wapi, utaishia kusema Hana chanzo.
Sasa kama unaamini Mungu Hana chanzo, unashindwaje kuamini hydrogen,gravity havina chanzo??
Ingawaje majibu ya maswali yako yote kwenye sayansi yapo.
Maelezo ni marefu na yanaboa, ila kifupi hivyo vyote vilitokea from nothing...
Hata sasahivi kwenye empty space unayoina unayodhani Haina kitu, Kuna vitu vinaumbika na kupotea(quantum fluctuations)...Sema hivyo vitu ni vidogo sana na Vinakaa Kwa muda mchache sana (10^–23seconds) kiasi kwamba huwezi kuviona...ila Kwa mashine vinaonekana...na vimeshathibitishwa.
Kuna particles zinatokea from nothing na kupotea kwasababu Huwa zinatokea in pair, Yani particle na anti-particle yake, Hivi vikitokea vinaungana na kurudi kuwa nothing.
Yani ni sawa ulete 1 na -1 uviunganishe, lazima utapata 0
hata sasa, Kuna particles zinatokea from nothing na kurudi back into nothing.
Sasa kama hivi vitu vinaweza kutokea from nothing, ulimwengu unashindwaje?
Ulimwengu wenyewe ulitokea from nothing, Hizi Protons,Electrons,Neutrons ambazo ndio zinatengeneza kila kitu zilikuwa formed kupitia Hizi Quantum fluctuations...Kilichotokea TU kipindi cha big bang ni kwamba Hizi particle hazikubalance (maana zikibalance zinapotea, particle vs anti-particle)
Kwahyo particle zilipokuwa nyingi tukaanza kupata gluons zilizotengeneza electrons na protons zilizoleta Hydrogen na element zote.
Gravity ni matokeo ya uwepo wa hizi particles,maana zina property ya kubend space...Na gravity ni space iliyobend...Ukielewa hili utaelewa kuhusu hizo Satellite,Jua, Hydrogen na maswali yako yote.
Kwa kifupi nomeandika Kwa kifupi saaana...Maana SoMo ni pana.
Kasome Kuhusu Quantum fluctuations na na quantum field theory....Ukishakuwa na Basics kidogo tunaweza kuendelea kuelimishana.
Hapa chini ni picha ya empty space ila inaonesha hizo particles zonavyokuwa formed from nothing na kupotea back into nothing
Ngoja nikupotezee, sikuizi Sina muda wa kubishana na religious bafoonsNinaposema nani maana yangu ni nafsi inayojitambua yenye intelligence ndio inaweza kutengeneza "disciplined stuffs" mfano huwezi kudai kuwa Computer ambayo tunajua inafanya kazi katika nidhamu kusudiwa kwamba imekuja au imejitengeneza automatically or from nothingness, ni hivyo hivyo huwezi kusema hydrogen inayowaka kufanya jua liwake imejiweka na kujipanga yenyewe kutenda the discipline action bila ya kuwepo na mfanyaji aliyepanga jambo hilo.
Unaleta mada za vitu kuumbika from nothingness na kupotea (matters vs antimatters), hiyo sio mada yetu ingawa hata hiyo bado inathibitisha kwamba yupo anaye create hivyo vitu from
nothing to something and back again to nothing na hata hii universe yote aliiiumba from nothing na inatenda disciplined activities na hatimaye ameweka mechanism ya kuizika ndani ya black hole na halafu tena ataifufua kutoka humo (white hole) kuanzisha circle nyingine ya ulimwengu mwingine na hali hiyo itakuwa repeating hadi pale in the process matters zitakapo diminish katika form ya nishati (entropy).
Kumbuka nakubali kwamba kila kitu kimetoka katika nothingness in its fundamental lakini hakuna kitu kinachofanya kazi ya KIAKILI katika nidhamu kusudiwa kimekuja automaticaly bila ya kuwa na initiator isitoshe lazima kuwe na architect wa kufanya kitu from nothing to something and back to nothing when it deems necessary. Ni intelligent mind ndiyo inayofanya vitu vitende discipline iliyokusudiwa na yenye manufaa. Hiyo intelligent mind inayojitambua ni kitu gani??, whatever the name you call it, it exists.
Hapa hatuzungumzii Mungu katokea wapi, let's reserve it as another topic.
Ngoja nikupotezee, sikuizi Sina muda wa kubishana na religious bafoons
OkayYou have no arguments both scientifically and religiously to deny God existence that's why you raise such an excuse, pathetic.