Je, Aga Khan Sea View, ni kwa wahindi, wabunge, mawaziri na viongozi wa juu wa Serikali tu?

Katikati ya mwaka huu yaani 2023 mwezi wa sita nilikwenda hospitali ya Aga Khan iliyopo Sea View Dar es Salaam kwa ajili ya matibabu, kama taratibu zilivyo niliwasilisha kadi yangu ya bima ya afya ilipokelewa na nikapewa jibu kuwa siwezi kutibiwa kwenye hospitali hiyo! Haikuwa shida kwangu, nikaenda hospitali ya Shree Hindu Mandal iliyopo Upanga na nikapata tiba kwa kutumia kadi hiyohiyo.
Mwezi huu wa kumi nilienda kwenye tawi la hospitali ya Aga Khan lililopo uswahilini na nikisema uswahilini ni uswahilini kweli kwani madakitari, manesi na wafanyakazi wengine ni waswahili wenyewe wanakili wahindi wa uzao wa Aga Khan hawakanyagi huku uswazi! Baada ya kupata tiba kwenye hilo tawi letu la hospitali ya Aga Khan nikamuuliza dakitari kuhusu hospitali mama ya Sea View, naye hakusita kuniambia kuwa kule ni kwa wahindi, wabunge, mawaziri na viongozi wa juu wa serikali, nikajua kuwa ukiwapendelea hawa basi jambo lako litakwenda vizuri bila kuhojiwa.
Miaka iliyopita tulikuwa tukitibiwa bila tatizo kwenye hospitali hiyo ya Aga Khan Sea View licha ya tatizo la hawa wazalendo watanzania wenzetu kutokujua kiswahili vizuri, lakini walipoona tunawabana wakatufungulia matawi uswazi na madakitari wetu wakiswazi tumaliziane huku huku.
Hili wala halina uwongo, ni ukweli usiopingika kwamba ile Agakhan hospital ina ubaguzi sana.

By the way, hiyo ya uswahili ni ile ya pale Zakhem au Buza?
 
Katikati ya mwaka huu yaani 2023 mwezi wa sita nilikwenda hospitali ya Aga Khan iliyopo Sea View Dar es Salaam kwa ajili ya matibabu, kama taratibu zilivyo niliwasilisha kadi yangu ya bima ya afya ilipokelewa na nikapewa jibu kuwa siwezi kutibiwa kwenye hospitali hiyo! Haikuwa shida kwangu, nikaenda hospitali ya Shree Hindu Mandal iliyopo Upanga na nikapata tiba kwa kutumia kadi hiyohiyo.
Mwezi huu wa kumi nilienda kwenye tawi la hospitali ya Aga Khan lililopo uswahilini na nikisema uswahilini ni uswahilini kweli kwani madakitari, manesi na wafanyakazi wengine ni waswahili wenyewe wanakili wahindi wa uzao wa Aga Khan hawakanyagi huku uswazi! Baada ya kupata tiba kwenye hilo tawi letu la hospitali ya Aga Khan nikamuuliza dakitari kuhusu hospitali mama ya Sea View, naye hakusita kuniambia kuwa kule ni kwa wahindi, wabunge, mawaziri na viongozi wa juu wa serikali, nikajua kuwa ukiwapendelea hawa basi jambo lako litakwenda vizuri bila kuhojiwa.
Miaka iliyopita tulikuwa tukitibiwa bila tatizo kwenye hospitali hiyo ya Aga Khan Sea View licha ya tatizo la hawa wazalendo watanzania wenzetu kutokujua kiswahili vizuri, lakini walipoona tunawabana wakatufungulia matawi uswazi na madakitari wetu wakiswazi tumaliziane huku huku.
Wahindi ni wabaguzi sn ndiyo maana wana misikiti yao
 
Mkuu usiseme hivyo,watu kwasababu ya kutofanya check up, yawezekana kwasababu ya kutokua na pesa au bima za afya,unakuta mteja anapelekwa hospitali akiwa katika hatua mbaya,au wengine unakuta anadondoka tu,anakufa kumbe alikua mgonjwa muda mrefu,anajikaza anakunywa Panadol.Kuna mama amefariki juzi,yaani aliugua ghafla,akakimbizwa hospitali,sikuamini nilipokuja kuambiwa amefariki,ilikua ghafla sana,kuuliza wadau wakajibu kua alikutwa maini yameharibika pamoja na figo pia,nikasikitika sana.
Kwa hiyo unataka watu wasife?
 
Kwa hiyo unataka watu wasife?
Nitake nisitake,utake usitake,kiumbe hai chochote lazima kife.Anyway kwa swali lako huoni kabisa umuhimu wa vituo vya kutolea huduma za afya,yaani ungekua kiongozi ungeona ni muhimu huduma nyingine ziwepo,ila huduma za afya ungeachana nazo,nikimaanisha usingehangaika nazo kwa kuwasogea wananchi wako?
 
Back
Top Bottom