Je, Aga Khan Sea View, ni kwa wahindi, wabunge, mawaziri na viongozi wa juu wa Serikali tu?

Hili wala halina uwongo, ni ukweli usiopingika kwamba ile Agakhan hospital ina ubaguzi sana.

By the way, hiyo ya uswahili ni ile ya pale Zakhem au Buza?
 
Wahindi ni wabaguzi sn ndiyo maana wana misikiti yao
 
Kwa hiyo unataka watu wasife?
 
Kwa hiyo unataka watu wasife?
Nitake nisitake,utake usitake,kiumbe hai chochote lazima kife.Anyway kwa swali lako huoni kabisa umuhimu wa vituo vya kutolea huduma za afya,yaani ungekua kiongozi ungeona ni muhimu huduma nyingine ziwepo,ila huduma za afya ungeachana nazo,nikimaanisha usingehangaika nazo kwa kuwasogea wananchi wako?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…