Je, Aga Khan Sea View, ni kwa wahindi, wabunge, mawaziri na viongozi wa juu wa Serikali tu?

Je, Aga Khan Sea View, ni kwa wahindi, wabunge, mawaziri na viongozi wa juu wa Serikali tu?

Katikati ya mwaka huu yaani 2023 mwezi wa sita nilikwenda hospitali ya Aga Khan iliyopo Sea View Dar es Salaam kwa ajili ya matibabu, kama taratibu zilivyo niliwasilisha kadi yangu ya bima ya afya ilipokelewa na nikapewa jibu kuwa siwezi kutibiwa kwenye hospitali hiyo!

Haikuwa shida kwangu, nikaenda hospitali ya Shree Hindu Mandal iliyopo Upanga na nikapata tiba kwa kutumia kadi hiyohiyo.

Mwezi huu wa kumi nilienda kwenye tawi la hospitali ya Aga Khan lililopo uswahilini na nikisema uswahilini ni uswahilini kweli kwani madakitari, manesi na wafanyakazi wengine ni waswahili wenyewe wanakili wahindi wa uzao wa Aga Khan hawakanyagi huku uswazi!

Baada ya kupata tiba kwenye hilo tawi letu la hospitali ya Aga Khan nikamuuliza dakitari kuhusu hospitali mama ya Sea View, naye hakusita kuniambia kuwa kule ni kwa wahindi, wabunge, mawaziri na viongozi wa juu wa serikali, nikajua kuwa ukiwapendelea hawa basi jambo lako litakwenda vizuri bila kuhojiwa.

Miaka iliyopita tulikuwa tukitibiwa bila tatizo kwenye hospitali hiyo ya Aga Khan Sea View licha ya tatizo la hawa wazalendo watanzania wenzetu kutokujua kiswahili vizuri, lakini walipoona tunawabana wakatufungulia matawi uswazi na madakitari wetu wakiswazi tumaliziane huku huku.

Sijakuelewa hilo neno "wanakili" umemaanisha nini?
 
Hapo kuna yafuatayo

1. Aidha kifurushi cha hiyo bima yako ni kidogo kumbuka Aga Khan hii unayosemea ni hospital kubwa tena ya binafsi kwa hiyo huduma ni gharama kwa hiyo kukusaidia kuliko uanze kupata huduma halafu hela ikate usipate vipimo au madawa wanaona bora wakuzuie usipate huduma kabisaa.
2. Kingine japo sina hakika inawezekana kabisa NHIF wana makubaliano na Aga Khan kuwa ukienda hiyo Aga Khan iliyokukataa na kama mteja ana bima ya daraja fulani basi hatopokelewa na hata wakifosi wakakuhudumia NHIF hawatolipa.
3. Kama ambavyo Muhimbili ili kupokelewa lazima iwe umepewa rufaa ambapo mojawapo ya lengo ni kupunguza msongamano wa wagonjwa maana pasipo rufaa basi wagonjwa wengi sana wangeednda muhimbili maana kuna maDr. bingwa na vifaa pia, basi aga khan na wao ili kupunguza msongamano wameamua kutopokea kadi fulan fulan za bima maana zina wateja wengi na ambao pengine haziwalipi sana kimaslahi!

Kwa hiyo jiridhishe kwanza kwa kuwauliza NHIF wana mkataba kwamba kwa kadi kama yako mtu anaweza pata huduma kwenye hiyo Aga Khan?

Nina mtu wangu wa karibu sana na ni mtu anafanya kazi kitengo nyeti serikalini ana bima ya NHIF ila Aga Khan hiyo hiyo unayoisema hawezi pata huduma kwa nini? ni kwa kuwa kadi yake ya NHIF ni ya daraja ambalo halipo kwenye madaraja yanayokubaliwa na Aga Khan!

Kwenye maisha madaraja yapo na yataendelea kuwepo ndiyo maana kuna benki ukiwa na 10,000 ushafungua benk akaunti, kuna benki elfu kumi hiyohiyo huwezi fungua benki akaunti!

Ukiwa na 750 utapanda mwendokasi lakini kwa fedha hiyo hiyo si uber wala bolt utapewa huduma!
 
Ninachosema, si kwamba siwezi kutibiwa Aga Khan bado ninatibiwa, ila kwanini waweke ukuta, mbona Muhimbili wote tunaingia na kila mtu anatibiwa kwabuwezo wake, lakini kwanini hao wshindi hawakanyagi kwenye hospitali zao za uswazi? Wanaogopa nini? Huko wahudumu wote ni waswahili. Nina taka jibu la hili.

Kwenye hili la kua hawaingii hospital zao za uswazi inaweza kua sabbu ni kua wana afford kutibiwa huko main branch ama wana bima ambazo zinaruhusu kutibiwa huko so hata ingekua wewe utaenda sehem ambayo ni main kama una afford na ndio mana unakwenda huko

Muhimbili ni hospital ya rufaa kuna wagonjwa wanaenda na rufaa ya bima zao ndogo na madoctor weng specialist wakiwemo wa private wapo pale hivo lazima waruhusu madaraja kuepusha mgonjwa kurudi akifka na ugonjwa hasa akkwa critical so kwa Agakhan utachagua wewe uende poly gani inayoruhusu bima yako

Jengine la kufanya kusiwe na madaraja nafkir hili limeendq zaid kwnye kubrand huduma zao zisiwe na kero kwa watumiaji mfano kupunguza foleni kwasababu kila mtu atahitaji kutibiwa huko na foleni ikiwa kubwa bac kutapunguza wateja mfani hai ni mimi niliacha kwenda Regency kwasabbau ya foleni kubwaaaaa na mda mrefu wa kusubiria majbu na dawa nimehama kabisaaa na siendi hata litokee nini siwez kwenda hospital et ni 24 hours naenda saa kumnambil doctor anakuja saa tatu

Kuhusu la wahudumu mkuu Agakhan main wapo pia waswahil kuanzia counter la usajil ya kwnza kuacha kadi, ya pili kuchkua form na number, tatu kupima uzito na pressure na mpaka kwa doctor na kwenye dawa pia ni weusi kama sisi labda wanapishana siku lakini mimi sijawahi kutana na muhindi kama specialist wa ngozi anaitwa Dr Mgonda km cjakosea ila linafanania hivo sijui madoctor wa matatizo mengne na hao wa usiku pamoja na kulazwa ila ni weusi kama sisi
 
NHIF wenyewe wanabaguwa. Ukiacha hao waheshimiwa wana vifurushi vya kibaguzi.
Watumishi wa umma wanapata huduma zaidi kuliko wanaojilipia wenyewe. Hali hii ni hata kama anayejilipia analipa zaidi ya muajiriwa.
 
Ungewauliza hao wahindi "Na ninyi ni wafuasi wa mayahudi kama yule ndugu yao waziri wa uingereza anaeunga mkono mayahudi!!
 
Jibu swali, kwanini wahindi wafungua hosipitali uswazi zinazohudumiwa na waswahili kwa ajili ya kuwatibu waswahili, hizo dawa zinanunuliwa na hosipitali hiyohiyo ya Aga Khan, wahindi hafiki kutoa huduma huko.

Hili jambo limeenda kibiashara zaid amefungua huko kuingiza kipato kwasabbu ameona fursa ya kuekeza kuhusu wao kwenda ni uchaguzi wa mtu tu wanaenda sehemu ambayo ina hadhi kwao na huko kuna hadhi kwa kipato cha wengne
 
Hapo kuna yafuatayo

1. Aidha kifurushi cha hiyo bima yako ni kidogo kumbuka Aga Khan hii unayosemea ni hospital kubwa tena ya binafsi kwa hiyo huduma ni gharama kwa hiyo kukusaidia kuliko uanze kupata huduma halafu hela ikate usipate vipimo au madawa wanaona bora wakuzuie usipate huduma kabisaa.
2. Kingine japo sina hakika inawezekana kabisa NHIF wana makubaliano na Aga Khan kuwa ukienda hiyo Aga Khan iliyokukataa na kama mteja ana bima ya daraja fulani basi hatopokelewa na hata wakifosi wakakuhudumia NHIF hawatolipa.
3. Kama ambavyo Muhimbili ili kupokelewa lazima iwe umepewa rufaa ambapo mojawapo ya lengo ni kupunguza msongamano wa wagonjwa maana pasipo rufaa basi wagonjwa wengi sana wangeednda muhimbili maana kuna maDr. bingwa na vifaa pia, basi aga khan na wao ili kupunguza msongamano wameamua kutopokea kadi fulan fulan za bima maana zina wateja wengi na ambao pengine haziwalipi sana kimaslahi!

Kwa hiyo jiridhishe kwanza kwa kuwauliza NHIF wana mkataba kwamba kwa kadi kama yako mtu anaweza pata huduma kwenye hiyo Aga Khan?

Nina mtu wangu wa karibu sana na ni mtu anafanya kazi kitengo nyeti serikalini ana bima ya NHIF ila Aga Khan hiyo hiyo unayoisema hawezi pata huduma kwa nini? ni kwa kuwa kadi yake ya NHIF ni ya daraja ambalo halipo kwenye madaraja yanayokubaliwa na Aga Khan!

Kwenye maisha madaraja yapo na yataendelea kuwepo ndiyo maana kuna benki ukiwa na 10,000 ushafungua benk akaunti, kuna benki elfu kumi hiyohiyo huwezi fungua benki akaunti!

Ukiwa na 750 utapanda mwendokasi lakini kwa fedha hiyo hiyo si uber wala bolt utapewa huduma!

Kashaelekezwa sana kaka hivi bado haijamake sense nadhan kuna sehemu hatujamuelewa[emoji16]
 
mkuu zipo apartments nyingi sana pale unaweza kununua lakini pia hata kupangisha, kesho wewe sogea tu pale waone wadau.
 
Hili jambo limeenda kibiashara zaid amefungua huko kuingiza kipato kwasabbu ameona fursa ya kuekeza kuhusu wao kwenda ni uchaguzi wa mtu tu wanaenda sehemu ambayo ina hadhi kwao na huko kuna hadhi kwa kipato cha wengne
Unawafungulia hosipitali wasahili uswahilini kwao watibiane wenyewe kwa wenyewe, wewe bado unaona si ubaguzi! Mbona wao hawaendi kwenye hizo hosipitali.
 
Unawafungulia hosipitali wasahili uswahilini kwao watibiane wenyewe kwa wenyewe, wewe bado unaona si ubaguzi! Mbona wao hawaendi kwenye hizo hosipitali.

Biashara inafunguliwa sehemu ambayo kuna soko mfno soko ameona lipo Chanika labda hakuna hospital kama anaishi posta hawez funga safari akatibiwe Chanika lazma atafute ya nearby aende na kama shida ikimpata yupp hospital kwake sidhan kama ataweza kukataa kupata huduma wakat hospital imefunguliwa kwa vigezo vyote sio kama karanga tu ukannue ukaange uuze ina process
 
Wenyewe wanaenda Sali, Saifee na Agha-Khan.

Huko kwengine kwenye ‘medical errors’ na huduma mbovu ndio kwetu.

Ndio maana hawajali who runs that ministry, hila viongozi wetu wana roho mbaya hawa majamaa.
 
Tanzania kuna ubaguzi mku bwa lakaini ni wa kitabaka - baina ya wavuja jasho na walala heri. Kwa wasioelewa nawajulisha kuwa kuna Wahindi uzao wa Aga Khan wengu tu ambao hawaendi huko AK Sea View kwa sababu gharama ni kubwa mno. Wanamudu tu matajiri bila kujali rangi
Wengine mtakumbuka JP magufuli alimwambia Aga Khan mwenyewe kuwa apunguze gharama lakini wakaongeza
 
Lipo tawi lao uswazi natibiwa hapo kwa bima ileile, pia Hindu Mandal huwa hakuna shida nayo ni hospitali kubwa.
Huyu jamA hata simwelewi kwahiyo shida yake ni kutibiwa na daktari mweusi aliyemhoji kiswahili? Yule nesi atakuwa nesi wa vichaa alimjibu kwa akili sana kuwa kule wanatibiwa wabunge na wahindi,

Siku ingine akatibiwe st clara daktari ni muitaliano na nesi ni mswizi
 
Unao uhakika, inakuaje naweza kutibiwa kwenye hospitali za Aga Khan walizofungua uswazi ambazo wao wenyewe hawatii mguu huko, yaani huko wametenga wafanyakazi waswahili tu.
Ukitaka kumbagua mtu unaweza ukatengeneza vikwazo ambavyo vipofu kama wewe hawawezi kuvitambua, mimi binafsi nilikuwa natibiwa hapo Sea View na ubaguzi kati ya wafanyakazi wahindi na waswahili nilikuwa ninauona, pia na kwenye kuhudumiwa.
Hii hoja inaonyesha ulivyo mbumbumbu, lakini unafikiri kwa sababu unaweza kutype hata kama kichwani hamna hoja basi unapost tu. Nenda Aga khan sea view na cash uone kama utakataliwa huduma halafu uone utalipa shilingi ngapi kumuona doctor kisha nenda jhizo unazoita Aga khan uswazi lipa cash uone ni sh ngapi kumuona doctor.

Kwa jinsi usivyoweza kuchakata mambo unadhani bima zote zina viwango sawa vya gharama huwezi linganisha bima ya NHIF na bima kama Strategis. Kuna bima hapa Tanzania mtu anaweza tibiwa mpaka India.

Binafsi nilikuwa natibiwa Aga khan sea view miaka ya nyuma kwa kutumia bima na pia nimewahi kutibiwa kwa cash.

JIifunze kufanya analysis kabla ya kupost.
 
Back
Top Bottom