Inatakiwa acheze na vibe lililopo. Mfano wakati huu anasema Yanga nao waone ugumu wa kuvuka robo. Yanga Amecheza na mamelod mbovu na mashabiki na wamiliki wanaswing na beat hilohiloKikowapi Sasa [emoji23]
Shem kakutimua 😂😂😂🤣Now nipo likizoni tukuyu ..nalisha ng'ombe
Interview yote kaizungumzia Yanga utazani wao walienda kutikisa matako Misri. Yaani walivyo wajinga wamejificha kwenye matokeo ya Yanga wamesahau mizigo waliyokuwa nayo kwenye timu.Wakuu Kwa hizi porojo za meneja hapa kwetu ukoloni Kila siku ni porojo tuendelee kumkubali na kumuamini??
Hizi ni baadhi ya porojo zake "Simba ni timu ya maajabu tutakwenda kumkanda Al ahly kule kule kwao ....sisi kwenda nusu fainali ni lazima""
Leo Baada ya kichapo kurudi bongo "Kufuzu nusu fainali ni lazima uwe na watu kweli kweli wakukupeleka nusu fainali" - @ahmedally_ .......Je alivyokuwa anatuahidi hakujua kuwa ana kikosi Cha mtumba?
Nb: baadaye akija kuwaaminisha kuwa Simba atamfunga & ata draw na Yanga .....mzomeeni coz atakuwa snawatania View attachment 2956619
Anapumua kwa msaada wa mashine.Huyo ni mdomo tuu ila maumivu hayawezi hahahahahah
Kwa kuwa Utopolo wametolewa kwenye mashindano, mi napendekeza ahmed ally aongezewe zaidi muda wa kuwa Afisa Habari pale MsimbaziJe! Ahmed Ally aendelee kuaminiwa pale msimbazi?
Amekimbia account yake kule IGsasahivi tunamuamini [emoji116]huyu,,[emoji23][emoji28][emoji1787]
View attachment 2956685
kiumbe jasiri kuwaikutokea Duniani
Ndio vizuri mkuu..... according to Ali kamweInterview yote kaizungumzia Yanga utazani wao walienda kutikisa matako Misri. Yaani walivyo wajinga wamejificha kwenye matokeo ya Yanga wamesahau mizigo waliyokuwa nayo kwenye timu.
Wrong question, right question je uongozi wa simba uaminiwe?Wakuu Kwa hizi porojo za meneja hapa kwetu ukoloni Kila siku ni porojo tuendelee kumkubali na kumuamini??
Hizi ni baadhi ya porojo zake "Simba ni timu ya maajabu tutakwenda kumkanda Al ahly kule kule kwao ....sisi kwenda nusu fainali ni lazima""
Leo Baada ya kichapo kurudi bongo "Kufuzu nusu fainali ni lazima uwe na watu kweli kweli wakukupeleka nusu fainali" - @ahmedally_ .......Je alivyokuwa anatuahidi hakujua kuwa ana kikosi Cha mtumba?
Nb: baadaye akija kuwaaminisha kuwa Simba atamfunga & ata draw na Yanga .....mzomeeni coz atakuwa snawatania View attachment 2956619
kafungua nyingine ila wachawi hamewezi ijua,tunaijua sisi tu wateule wake,,🤣😅Amekimbia account yake kule IG
Na anajikuta inabidi atumie silaha yoyote kubaki kwenye kiti.Sema jamaa ana nuks pale ukoloni
Aaah we acha tu! Ila sidhani kama amemzidi Manara wakati akiwa Simba kuongea mambo makubwa juu ya Simba Likuuubwa alilotuaminishaKwanini aongee vitu vikubwa zaidi yake