Je! Ahmed Ally aendelee kuaminiwa pale msimbazi?

Mi naona yupo sahihi tu maana kazi yake anaifanya Sawasawa na matakwa ya kazi yake anatakiwa kuippnda sana Yanga ili kuiweka sehemu timu yake hasa kwenye kitengo cha usemaji
Kikowapi Sasa [emoji23]
 
sasahivi tunamuamini 👇huyu,,😂😅🤣

downloadfile-2.jpg

kiumbe jasiri kuwaikutokea Duniani
 
Kikowapi Sasa [emoji23]
Inatakiwa acheze na vibe lililopo. Mfano wakati huu anasema Yanga nao waone ugumu wa kuvuka robo. Yanga Amecheza na mamelod mbovu na mashabiki na wamiliki wanaswing na beat hilohilo
 
Wakuu Kwa hizi porojo za meneja hapa kwetu ukoloni Kila siku ni porojo tuendelee kumkubali na kumuamini??

Hizi ni baadhi ya porojo zake "Simba ni timu ya maajabu tutakwenda kumkanda Al ahly kule kule kwao ....sisi kwenda nusu fainali ni lazima""

Leo Baada ya kichapo kurudi bongo "Kufuzu nusu fainali ni lazima uwe na watu kweli kweli wakukupeleka nusu fainali" - @ahmedally_ .......Je alivyokuwa anatuahidi hakujua kuwa ana kikosi Cha mtumba?

Nb: baadaye akija kuwaaminisha kuwa Simba atamfunga & ata draw na Yanga .....mzomeeni coz atakuwa snawatania View attachment 2956619
Interview yote kaizungumzia Yanga utazani wao walienda kutikisa matako Misri. Yaani walivyo wajinga wamejificha kwenye matokeo ya Yanga wamesahau mizigo waliyokuwa nayo kwenye timu.
 
Sema jamaa ana nuks pale ukoloni
 
Interview yote kaizungumzia Yanga utazani wao walienda kutikisa matako Misri. Yaani walivyo wajinga wamejificha kwenye matokeo ya Yanga wamesahau mizigo waliyokuwa nayo kwenye timu.
Ndio vizuri mkuu..... according to Ali kamwe

"Mjinga mpe cheo ........ Nmesahau[emoji23]
 
Wakuu Kwa hizi porojo za meneja hapa kwetu ukoloni Kila siku ni porojo tuendelee kumkubali na kumuamini??

Hizi ni baadhi ya porojo zake "Simba ni timu ya maajabu tutakwenda kumkanda Al ahly kule kule kwao ....sisi kwenda nusu fainali ni lazima""

Leo Baada ya kichapo kurudi bongo "Kufuzu nusu fainali ni lazima uwe na watu kweli kweli wakukupeleka nusu fainali" - @ahmedally_ .......Je alivyokuwa anatuahidi hakujua kuwa ana kikosi Cha mtumba?

Nb: baadaye akija kuwaaminisha kuwa Simba atamfunga & ata draw na Yanga .....mzomeeni coz atakuwa snawatania View attachment 2956619
Wrong question, right question je uongozi wa simba uaminiwe?
 
Tatizo mnapenda porojo na maneno mengi ndio maana bado hata Ahmed Ally hajapatosha. Nikiambiwa nitaje mabadiliko yafanyike Simba ili kuwa timu imara, msemaji hata namba tano hayupo
 
Back
Top Bottom