Ni hatari sanaa na sasa wengi wetu imeshatuathiri sana na tunaitumia kwa level ya chini sana ,ukumbuke sisi sote data zetu zipo centralised na hii technology imeanza kucontrol kila kitu ina maana hata kuaccess vifaa vyetu na kuchukua taarifa za siri kama password,account za bank, na taatifa nyingine nyeti inauwezo huo sasa kwa kitu kama virus,hacking,n.k inauwezo mzuri sana wakuandika hizo program nakuzitumia hapo bado katika maswala ya vita ,afya imeshaanza kuleta shida hata kwenye mapenzi.Kuna jambo ambalo tumeliona mara nyingi katika historia.
Kitu kipya kinapotokea, watu huanza kusema:
“Hiki kitu kitakuwa hatari sana siku zijazo!”
Lakini miaka inapita, watu wanakizoea, sheria zinawekwa, matumizi yake yanadhibitiwa, na mwisho wake kile kilichoonekana cha kutisha kinakuwa sehemu ya kawaida ya maisha.
Leo tunaona jambo hilo likijirudia kwenye Artificial Intelligence (AI).
Wengine wanaonya kwamba AI inaweza siku moja kuwa na uwezo mkubwa kuliko tunavyoweza kuudhibiti. Wengine wanaogopa kupotea kwa ajira, kuenea kwa taarifa za uongo, mashambulizi ya mtandao, matumizi ya kijeshi na hata mifumo kufanya maamuzi ambayo binadamu hakutarajia.
Na haya siyo mada ya watu wa mitandao pekee. Utafiti wa wataalamu 272 kutoka nchi 37 uliochapishwa mwaka 2026 uliweka uwezo hatari wa AI, silaha na mashambulizi ya mtandao, mkusanyiko wa nguvu na taarifa za uongo miongoni mwa hatari kubwa zinazojadiliwa.
Lakini swali langu ni hili:
JE, TUNAINGIA KWENYE HATARI HALISI AU TUNARUDIA HISTORIA?
Huenda AI ikawa hatari sana.
Lakini pia huenda binadamu akaendelea kuiboresha, kuweka sheria, kuweka mipaka na kuzoea matumizi yake mpaka baada ya miaka 20 watu washangae:
“Mbona zamani waliogopa AI hivi?”
Au labda tofauti na teknolojia nyingine, AI itakuwa na uwezo wa kujiboresha na kufanya mambo kwa kiwango ambacho sheria na udhibiti wa binadamu vitashindwa kuendana nacho.
Je, tatizo si kwamba AI ni hatari, bali ni kwamba tunakimbia kuijenga kwa kasi kuliko tunavyoweza kujifunza namna ya kuidhibiti?
Na kama siku moja AI itakuwa na uwezo mkubwa kuliko mwanadamu katika maeneo mengi, nani atakuwa anamuelekeza nani?
Binadamu ataendelea kuwa mtawala wa teknolojia, au teknolojia itaanza kutengeneza mazingira ambayo binadamu atalazimika kuyafuata?
Nataka kusikia mawazo yenu:
1. AI itakuwa hatari sana siku zijazo na dunia inapaswa kuanza kujiandaa sasa.
2. Hii ni hofu iliyopitiliza; kama teknolojia nyingine, binadamu ataizoea na kuidhibiti.
3. Hatari si AI yenyewe, bali ni binadamu atakayeitumia vibaya.
4. Hatuwezi kujua bado—lakini ni hatari kucheza na kitu ambacho hatujui uwezo wake wa mwisho.
Wewe unaamini ipi?
Mkuu hii ni suno?? Je hii sauti ni command tu au spec gani umetumia.. natamani kujua prompt uliyotumia. Je ushawahi kuimba kabla?Hii ni track nimeitengeneza kwa mchanganyiko wa apps kadhaa za AI mchana huu nikiwa nasubiri Lunch.
Kula chuma hicho
View attachment 3653152
MImi nimeshaimba kabla ila sio katika proffesional au business setups..Mkuu hii ni suno?? Je hii sauti ni command tu au spec gani umetumia.. natamani kujua prompt uliyotumia. Je ushawahi kuimba kabla?
Hii sauti si yako kabisa ni prompt tu sio, dah sanaa ya mziki imekwisha sasa rasmi. Miaka kadhaa mbele kutakua hakuna tena human artists labda wa live shows tuMImi nimeshaimba kabla ila sio katika proffesional au business setups..
Hii sauti si yangu kabisaa, hizo ni command promts tu.. And Yes Suno ni moja wapo ya apps nilianza kutumiaz zamani.Hii sauti si yako kabisa ni prompt tu sio, dah sanaa ya mziki imekwisha sasa rasmi. Miaka kadhaa mbele kutakua hakuna tena human artists labda wa live shows tu
Kidizaini umenipa wazo hivi la kupata passive income 😂, asee acha nitapita ku stalk kazi zako.. kwa hiyo hizo package za Suno na app zingine zinaendaje sio bei mkasi sana? Any siggestion kwa friendly apps unazoweza tumia kwa simu au lazima PC?Hii sauti si yangu kabisaa, hizo ni command promts tu.. And Yes Suno ni moja wapo ya apps nilianza kutumiaz zamani.
Kimsingi industry ys music kwasasa itakutana na upinzani mkali sana.
Imagine hizi ngoma zotee hapa chini nimezim compose mimi, na nimefungua youtube channel yangu na kuzi post huko na views zinatembea si haba 😂.
Kula vyuma hivi hapa chini
View attachment 3669290
View attachment 3669292
Nichek Pm tutazungumza zaidincz naona umeonyesha personal interestKidizaini umenipa wazo hivi la kupata passive income 😂, asee acha nitapita ku stalk kazi zako.. kwa hiyo hizo package za Suno na app zingine zinaendaje sio bei mkasi sana? Any siggestion kwa friendly apps unazoweza tumia kwa simu au lazima PC?
Nakubali Mkuu 👊🤝Nichek Pm tutazungumza zaidincz naona umeonyesha personal interest
Kuna movie moja imetoka last week inaitwa Hotspot. Ndo inaweza jinsi Ai itakavyotawala Dunia nyakati za mwisho. ItafuteniKuna jambo ambalo tumeliona mara nyingi katika historia. Kitu kipya kinapotokea, watu huanza kusema:
“Hiki kitu kitakuwa hatari sana siku zijazo!”
Lakini miaka inapita, watu wanakizoea, sheria zinawekwa, matumizi yake yanadhibitiwa, na mwisho wake kile kilichoonekana cha kutisha kinakuwa sehemu ya kawaida ya maisha.
Leo tunaona jambo hilo likijirudia kwenye Artificial Intelligence (AI). Wengine wanaonya kwamba AI inaweza siku moja kuwa na uwezo mkubwa kuliko tunavyoweza kuudhibiti. Wengine wanaogopa kupotea kwa ajira, kuenea kwa taarifa za uongo, mashambulizi ya mtandao, matumizi ya kijeshi na hata mifumo kufanya maamuzi ambayo binadamu hakutarajia.
Na haya siyo mada ya watu wa mitandao pekee. Utafiti wa wataalamu 272 kutoka nchi 37 uliochapishwa mwaka 2026 uliweka uwezo hatari wa AI, silaha na mashambulizi ya mtandao, mkusanyiko wa nguvu na taarifa za uongo miongoni mwa hatari kubwa zinazojadiliwa. Lakini swali langu ni hili:
JE, TUNAINGIA KWENYE HATARI HALISI AU TUNARUDIA HISTORIA?
Huenda AI ikawa hatari sana.
Lakini pia huenda binadamu akaendelea kuiboresha, kuweka sheria, kuweka mipaka na kuzoea matumizi yake mpaka baada ya miaka 20 watu washangae:
“Mbona zamani waliogopa AI hivi?”
Au labda tofauti na teknolojia nyingine, AI itakuwa na uwezo wa kujiboresha na kufanya mambo kwa kiwango ambacho sheria na udhibiti wa binadamu vitashindwa kuendana nacho.
Je, tatizo si kwamba AI ni hatari, bali ni kwamba tunakimbia kuijenga kwa kasi kuliko tunavyoweza kujifunza namna ya kuidhibiti?
Na kama siku moja AI itakuwa na uwezo mkubwa kuliko mwanadamu katika maeneo mengi, nani atakuwa anamuelekeza nani?
Binadamu ataendelea kuwa mtawala wa teknolojia, au teknolojia itaanza kutengeneza mazingira ambayo binadamu atalazimika kuyafuata?
Nataka kusikia mawazo yenu:
1. AI itakuwa hatari sana siku zijazo na dunia inapaswa kuanza kujiandaa sasa.
2. Hii ni hofu iliyopitiliza; kama teknolojia nyingine, binadamu ataizoea na kuidhibiti.
3. Hatari si AI yenyewe, bali ni binadamu atakayeitumia vibaya.
4. Hatuwezi kujua bado—lakini ni hatari kucheza na kitu ambacho hatujui uwezo wake wa mwisho.
Wewe unaamini ipi?
Ndugu hebu tafuta hii movie imetoka siku kadhaa zilizopita, angalia mwenyewe future ya AI itakavyokuwa na hatari yakeKuna jambo ambalo tumeliona mara nyingi katika historia. Kitu kipya kinapotokea, watu huanza kusema:
“Hiki kitu kitakuwa hatari sana siku zijazo!”
Lakini miaka inapita, watu wanakizoea, sheria zinawekwa, matumizi yake yanadhibitiwa, na mwisho wake kile kilichoonekana cha kutisha kinakuwa sehemu ya kawaida ya maisha.
Leo tunaona jambo hilo likijirudia kwenye Artificial Intelligence (AI). Wengine wanaonya kwamba AI inaweza siku moja kuwa na uwezo mkubwa kuliko tunavyoweza kuudhibiti. Wengine wanaogopa kupotea kwa ajira, kuenea kwa taarifa za uongo, mashambulizi ya mtandao, matumizi ya kijeshi na hata mifumo kufanya maamuzi ambayo binadamu hakutarajia.
Na haya siyo mada ya watu wa mitandao pekee. Utafiti wa wataalamu 272 kutoka nchi 37 uliochapishwa mwaka 2026 uliweka uwezo hatari wa AI, silaha na mashambulizi ya mtandao, mkusanyiko wa nguvu na taarifa za uongo miongoni mwa hatari kubwa zinazojadiliwa. Lakini swali langu ni hili:
JE, TUNAINGIA KWENYE HATARI HALISI AU TUNARUDIA HISTORIA?
Huenda AI ikawa hatari sana.
Lakini pia huenda binadamu akaendelea kuiboresha, kuweka sheria, kuweka mipaka na kuzoea matumizi yake mpaka baada ya miaka 20 watu washangae:
“Mbona zamani waliogopa AI hivi?”
Au labda tofauti na teknolojia nyingine, AI itakuwa na uwezo wa kujiboresha na kufanya mambo kwa kiwango ambacho sheria na udhibiti wa binadamu vitashindwa kuendana nacho.
Je, tatizo si kwamba AI ni hatari, bali ni kwamba tunakimbia kuijenga kwa kasi kuliko tunavyoweza kujifunza namna ya kuidhibiti?
Na kama siku moja AI itakuwa na uwezo mkubwa kuliko mwanadamu katika maeneo mengi, nani atakuwa anamuelekeza nani?
Binadamu ataendelea kuwa mtawala wa teknolojia, au teknolojia itaanza kutengeneza mazingira ambayo binadamu atalazimika kuyafuata?
Nataka kusikia mawazo yenu:
1. AI itakuwa hatari sana siku zijazo na dunia inapaswa kuanza kujiandaa sasa.
2. Hii ni hofu iliyopitiliza; kama teknolojia nyingine, binadamu ataizoea na kuidhibiti.
3. Hatari si AI yenyewe, bali ni binadamu atakayeitumia vibaya.
4. Hatuwezi kujua bado—lakini ni hatari kucheza na kitu ambacho hatujui uwezo wake wa mwisho.
Wewe unaamini ipi?
🏃🏾🏃🏾🏃🏾🏃🏾 Piemuni, nakubali mkuuArchnemesis 2-0 kula chuma kingine hicho. Hii nayo ni mwendo wa Apps kadhaa za AI nimetumia kufanya production
View attachment 3671136
View attachment 3671138