Chosen Rich
JF-Expert Member
- Jan 7, 2019
- 1,565
- 1,118
- Thread starter
- #21
Kwanini ?
Kwanini ?
Yataratibiwa na nani ?Dunia inavyoenda akili ya binadamu itahitajika ifunguke zaidi!, Dunia inayokuja haitaki lelemama sio dunia yakujikomaza mikono bali ukomavu wa akili utahitajika!, by the way AI itahitaji ilindwe alasivyo muda si muda itaanza kukutana na kila aina ya attacks!.
Hii inanipa picha ni aidha katika kulinda utu wa mtu AI itatungiwa sheria ili baadhi ya vitu fulani fulani isiweze kufanya!, ikishindikana hivyo basi tunaenda kwenye standard yani kila binadamu atakuwa na maisha ambayo yataratibiwa kuwa na standard fulani na hii itatulazimu tuishi chini ya sheria kadhaa ili kuweza ku maintain hiyo standard!.
Hivi wa kujiajiri hatutaweza kufikiwa chief ?IA kiboko ya vijana msiotaka kujiajiri 😂.
Tuelezee kwa kina tupate maarifaAi ni utajiri ni vyenye tu wadau hamuelewi
Wasaka fursa si ndio inabidi waione fursa na kwenye AI kaka ? Una mawazo gani kuhusu hili ?Mbeleni Sina uhakika ila ukichunguza vizuri utagundua AI ina manufaa chanya Kwa wafanya biashara na kuwaminya zaidi wasaka fursa.
brother, AI si unaielewa vizuri lakini ?nafasi gani itawachukulia ai tanzagiza? boda boda au? >80% ya watanzagiza hawana ajira rasmi wanafanya kazi kama kulima kwa ajili tu ya chakula, kuuza mboga mboga, kuendesha boda boda, dala dala, fremu za maduka, uimamu, kuuza baa, etc sasa ni kazi gani ai itakazochukuwa labda ktk kwa watanzagiza? ...
Uyole ipi hiyo wanayolima mpunga?!Nafikiri ni wakati sahihi wa kuhamia uyole kulima mpunga.
Kwa sasa mpo level ya chini sana ya AI ni sawa na mtoto aliyetoka kuzaliwa kwanzanafasi gani itawachukulia ai tanzagiza? boda boda au? >80% ya watanzagiza hawana ajira rasmi wanafanya kazi kama kulima kwa ajili tu ya chakula, kuuza mboga mboga, kuendesha boda boda, dala dala, fremu za maduka, uimamu, kuuza baa, etc sasa ni kazi gani ai itakazochukuwa labda ktk kwa watanzagiza? ...
na wewe.Yataratibiwa na nani ?
hapo kwenye chumvi...😂Wanufahika wakubwa wa AI watakuwa watu wenye ukwasi wengine watalamba chumvi sana.
MbeyaUyole ipi hiyo wanayolima mpunga?!
Ushawahi fika hapo kwenye mashamba hayo ya mpunga Uyole au unajaribu kuguess tu? Uyole haulimwi mpunga bali ni sehemu ya kituo cha mauzo ya mpunga unaotoka Kyela na bonde la Usangu mpaka Igurusi.Mbeya
brother, AI si unaielewa vizuri lakini ?
Sawa sawana wewe.
Tunafanyaje kutatua hii shida ili turukie kwenye AI sasa ?Nchi maji safi tu shida mpaka karne hii mnarukia kwenye AI
Ukiitumia positively haitakuathiri negatively.Hivi wa kujiajiri hatutaweza kufikiwa chief ?
AiseeAi itabeba nafasi nyingi sana.. huko mbele ya safari madaktari, sijui madereva etc wengi watakosa ajira.. kuna haja ya kujiwekeza uwe na pesa ya kutosha itakusaidia kwenda na dunia inavyotaka..
Leo wewe dereva kwa gari ya mtu mwenyewe akinunua gari inayojiendesha yenyewe wewe huna ajira.
Daktari wa operation, ikifanikiwa teknolojia ya kifaa kinachofanya operation bila usimamizi wa mwqnqdqmu kifuatacho ni huna ajira.
Mgonjwa anaenda kwenye camera anazungumza dalili zake, sampo inachukuliwa hapo hapo, majibu hapo hapo na tiba inaanza.. hapa daktari, mtu wa maabara wote hawana ajira
Unaipa ai wazo inakuchorea ramani nzuri na kamilifu.. wachora ramani hapa wakatafute mchezo wa kufanya.
Ai ina design logo vizuri hapa kifuatacho ni nin?
Unaipa wazo, yenyewe inaadnika mistari na biti inakutengenezea, Producer hapa atafute cha kufanya.
Hapo hujakutana na kesi, kisha unaiambia AI hali ilivyo yenyewe inakupa maelekezo, inakupa muongozo pita humu, pita humu.. wanasheria wajiandae kutafutavkazi nyingine.
Wahasibu nao wajiandae.
Na sekta nyingine kibao