Je, AI itatusaidia au itachukua nafasi zetu?

Je, AI itatusaidia au itachukua nafasi zetu?

AI na maisha ya Manzese,Buguruni, Tandale,Magomeni,K,koo itakusaidia nini?
Sa huwezi kujifafanulia mambo halisi eti AI atakusaidia.
Yeye nae anakusubiri wewe umpe taarifa azichanganue akusaidieje sasa?
 
AI na maisha ya Manzese,Buguruni, Tandale,Magomeni,K,koo itakusaidia nini?
Sa huwezi kujifafanulia mambo halisi eti AI atakusaidia.
Yeye nae anakusubiri wewe umpe taarifa azichanganue akusaidieje sasa?
Hoja yako ni ipi ? Weka tuijadili pamoja
 
Kivipi ? Naomba ufafanuzi zaidi
AI is very expensive especially unapotumia kufanya complex research, natoa Mfano mimi ndani ya mwaka huu pekee nimetumia zaidi ya Dola 3000 kufanya research na kazi zingine hii ni kwa mtu binafsi.

Kwa kampuni kubwa na nchi kubwa zinainvest Billion of Dollars kwenye AI.
Mfano.
OpenAI, Anthrophic, Microsoft, xAI, Oracle, NVIDIA, Google na Amazon pekee wamewekeza zaidi dola Trilioni 1 mwaka jana pekee kwenye AI hiyo ni zaidi ya uchumi wote wa Afrika. Kwa hiyo any value they are going to make itachukua Afrika miaka mingi kukalibia
 
Nimekuelewa vizuri sana, Lakini nahitaji kuelewa kwa kina

Gape inakua ni kati ya Africa na Matataifa mengine ? Au walio na akili na wasio na Akili ?

Msingi wa swali ni baada ya “Africa” kuwa mentioned
 
Nimekuelewa vizuri sana, Lakini nahitaji kuelewa kwa kina

Gape inakua ni kati ya Africa na Matataifa mengine ? Au walio na akili na wasio na Akili ?

Msingi wa swali ni baada ya “Africa” kuwa mentioned
Mfano chukulia wewe unaweza kutumia AI vizuri kwenye kazi yako sio tu performance yako na ubora wa kazi yako itaongezeka x100 bali amount of information na knowledge utakayokuwa nayo after work itakuwa kubwa sana ukilinganisha na yule asiyetumia au asiye na fursa ya kuwa nayo
 
Ai itabeba nafasi nyingi sana.. huko mbele ya safari madaktari, sijui madereva etc wengi watakosa ajira.. kuna haja ya kujiwekeza uwe na pesa ya kutosha itakusaidia kwenda na dunia inavyotaka..
Leo wewe dereva kwa gari ya mtu mwenyewe akinunua gari inayojiendesha yenyewe wewe huna ajira.
Daktari wa operation, ikifanikiwa teknolojia ya kifaa kinachofanya operation bila usimamizi wa mwqnqdqmu kifuatacho ni huna ajira.
Mgonjwa anaenda kwenye camera anazungumza dalili zake, sampo inachukuliwa hapo hapo, majibu hapo hapo na tiba inaanza.. hapa daktari, mtu wa maabara wote hawana ajira
Unaipa ai wazo inakuchorea ramani nzuri na kamilifu.. wachora ramani hapa wakatafute mchezo wa kufanya.
Ai ina design logo vizuri hapa kifuatacho ni nin?
Unaipa wazo, yenyewe inaadnika mistari na biti inakutengenezea, Producer hapa atafute cha kufanya.
Hapo hujakutana na kesi, kisha unaiambia AI hali ilivyo yenyewe inakupa maelekezo, inakupa muongozo pita humu, pita humu.. wanasheria wajiandae kutafutavkazi nyingine.
Wahasibu nao wajiandae.

Na sekta nyingine kibao
Nimekubari na msululu ni mrefu, mpaka yule aliekalia kiti kikubwa kule juu ajiandae kukaa pembeni AI akifanya yake hana nafasi ya kuongoza tutaongozwa na AI maana itakua inajua kila kitu nini kifanyike vipi na kipi kianze kipi kimalize, waendesha magari ya mifumo kwenye migodi na wachonga barabara madereva wote wanaoendesha mpaka forklift sijui winch nini kule bandarini na sehemu zingine kwenye viwanda hao wajiandae AI anaenda kuchukua ajira zote hizo asubuhi kabisa kabla hapaja pambazuka
 
1770496395840.png

hizi kampuni 6 pekee
 
Mfano chukulia wewe unaweza kutumia AI vizuri kwenye kazi yako sio tu performance yako na ubora wa kazi yako itaongezeka x100 bali amount of information na knowledge utakayokuwa nayo after work itakuwa kubwa sana ukilinganisha na yule asiyetumia au asiye na fursa ya kuwa nayo
Tuchukulie mfano, Mimi ni mfamasia
Haita take over my job ?
 
Ila inajibu maswali na inatatua tatizo si ndio ?
 
Back
Top Bottom