Je, AI itatusaidia au itachukua nafasi zetu?

Yataratibiwa na nani ?
 
Mbeleni Sina uhakika ila ukichunguza vizuri utagundua AI ina manufaa chanya Kwa wafanya biashara na kuwaminya zaidi wasaka fursa.
Wasaka fursa si ndio inabidi waione fursa na kwenye AI kaka ? Una mawazo gani kuhusu hili ?
 
brother, AI si unaielewa vizuri lakini ?
 
Kwa sasa mpo level ya chini sana ya AI ni sawa na mtoto aliyetoka kuzaliwa kwanza
 
Wanufahika wakubwa wa AI watakuwa watu wenye ukwasi wengine watalamba chumvi sana.
 
Ushawahi fika hapo kwenye mashamba hayo ya mpunga Uyole au unajaribu kuguess tu? Uyole haulimwi mpunga bali ni sehemu ya kituo cha mauzo ya mpunga unaotoka Kyela na bonde la Usangu mpaka Igurusi.
 
Nchi maji safi tu shida mpaka karne hii mnarukia kwenye AI
 
Nchi maji safi tu shida mpaka karne hii mnarukia kwenye AI
 
Aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…