babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 16,476
- 21,202
Hoja yako ni ipi ? Weka tuijadili pamojaAI na maisha ya Manzese,Buguruni, Tandale,Magomeni,K,koo itakusaidia nini?
Sa huwezi kujifafanulia mambo halisi eti AI atakusaidia.
Yeye nae anakusubiri wewe umpe taarifa azichanganue akusaidieje sasa?
Kivipi ? Naomba ufafanuzi zaidiAI itaongeza gap kati ya wenye akili na wasio na akili
AI is very expensive especially unapotumia kufanya complex research, natoa Mfano mimi ndani ya mwaka huu pekee nimetumia zaidi ya Dola 3000 kufanya research na kazi zingine hii ni kwa mtu binafsi.Kivipi ? Naomba ufafanuzi zaidi
Nimekuelewa vizuri sana, Lakini nahitaji kuelewa kwa kinaAI is very expensive especially unapotumia kufanya complex research, natoa Mfano mimi ndani ya mwaka huu pekee nimetumia zaidi ya Dola 3000 kufanya research na kazi zingine hii ni kwa mtu binafsi.
Kwa kampuni kubwa na nchi kubwa zinainvest Billion of Dollars kwenye AI.
Mfano.
OpenAI, Anthrophic, Microsoft, xAI, Oracle, NVIDIA, Google na Amazon pekee wamewekeza zaidi dola Trilioni 1 mwaka jana pekee kwenye AI hiyo ni zaidi ya uchumi wote wa Afrika. Kwa hiyo any value they are going to make itachukua Afrika miaka mingi kukalibia
Mfano chukulia wewe unaweza kutumia AI vizuri kwenye kazi yako sio tu performance yako na ubora wa kazi yako itaongezeka x100 bali amount of information na knowledge utakayokuwa nayo after work itakuwa kubwa sana ukilinganisha na yule asiyetumia au asiye na fursa ya kuwa nayoNimekuelewa vizuri sana, Lakini nahitaji kuelewa kwa kina
Gape inakua ni kati ya Africa na Matataifa mengine ? Au walio na akili na wasio na Akili ?
Msingi wa swali ni baada ya “Africa” kuwa mentioned
Nimekubari na msululu ni mrefu, mpaka yule aliekalia kiti kikubwa kule juu ajiandae kukaa pembeni AI akifanya yake hana nafasi ya kuongoza tutaongozwa na AI maana itakua inajua kila kitu nini kifanyike vipi na kipi kianze kipi kimalize, waendesha magari ya mifumo kwenye migodi na wachonga barabara madereva wote wanaoendesha mpaka forklift sijui winch nini kule bandarini na sehemu zingine kwenye viwanda hao wajiandae AI anaenda kuchukua ajira zote hizo asubuhi kabisa kabla hapaja pambazukaAi itabeba nafasi nyingi sana.. huko mbele ya safari madaktari, sijui madereva etc wengi watakosa ajira.. kuna haja ya kujiwekeza uwe na pesa ya kutosha itakusaidia kwenda na dunia inavyotaka..
Leo wewe dereva kwa gari ya mtu mwenyewe akinunua gari inayojiendesha yenyewe wewe huna ajira.
Daktari wa operation, ikifanikiwa teknolojia ya kifaa kinachofanya operation bila usimamizi wa mwqnqdqmu kifuatacho ni huna ajira.
Mgonjwa anaenda kwenye camera anazungumza dalili zake, sampo inachukuliwa hapo hapo, majibu hapo hapo na tiba inaanza.. hapa daktari, mtu wa maabara wote hawana ajira
Unaipa ai wazo inakuchorea ramani nzuri na kamilifu.. wachora ramani hapa wakatafute mchezo wa kufanya.
Ai ina design logo vizuri hapa kifuatacho ni nin?
Unaipa wazo, yenyewe inaadnika mistari na biti inakutengenezea, Producer hapa atafute cha kufanya.
Hapo hujakutana na kesi, kisha unaiambia AI hali ilivyo yenyewe inakupa maelekezo, inakupa muongozo pita humu, pita humu.. wanasheria wajiandae kutafutavkazi nyingine.
Wahasibu nao wajiandae.
Na sekta nyingine kibao
Mkuu km hujui AI mpaka kulima kupanda na kuvuna inaweza kwa usahihi 98% kuliko binadamu!Nafikiri ni wakati sahihi wa kuhamia uyole kulima mpunga.
Unajilimia cha kwako tu na kitambi chako siyo biashara.Mkuu km hujui AI mpaka kulima kupanda na kuvuna inaweza kwa usahihi 98% kuliko binadamu!
Tuchukulie mfano, Mimi ni mfamasiaMfano chukulia wewe unaweza kutumia AI vizuri kwenye kazi yako sio tu performance yako na ubora wa kazi yako itaongezeka x100 bali amount of information na knowledge utakayokuwa nayo after work itakuwa kubwa sana ukilinganisha na yule asiyetumia au asiye na fursa ya kuwa nayo
No it won't, AI haiwezi kufanya maamuzi makubwa binafsi.Tuchukulie mfano, Mimi ni mfamasia
Haita take over my job ?