Je, Ajira ya Tsh 34m kwa mwezi ilikuwa sawa na rushwa kwa Halima Mdee? Alikuwa sahihi kuikataa?

Hivi kwanza hao makomandoo anawalipa bei gani ??

Mbona wamekonda sana??

Hiyo ajira labda ni hamira aisee.

Mnatudanganya tu.

Kwanini asimpe Lema anayeishi kama mkimbizi huko??
 
Ndo amwambie wakutane Nairobi?
 
Hanje Nusrat... ile mashine ni kisu hatari. CHADEMA msivyo na huruma hata mtoto mzuri kama yule mkamfutilia mbali... [emoji24][emoji24] CHADEMA hamtaenda mbinguni.
Ukute alikataa mashart magumu ya makamanda si unajua akina yaliyowakuta akina Mukya
 
..huenda Halima alirudi kwa ma-sponsor wake akapewa kitita kikubwa kuliko alichoahidiwa na Mbowe.

..Nadhani Mbowe alikosea kumlenga Halima, alitakiwa alenge kuwachomoa kina mama wengine.

cc Erythrocyte , Tindo
 

Blah blah blah!

 
Halima mdee ni mdogo sana kuliko chadema. Kama mwita mwikwabe. Mbowe ana akili kubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…