Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatunyota ngapi mkuu
Nasikia alitaka wakutane Kenya , Halima fly to NairobiMbowe mhuni sana.
Ndo amwambie wakutane Nairobi?Mbowe kwa Mdee, Zitto Mnyika ni kama baba yao, hawa aliwanyenyua toka wakiwa chuo, wakaingia Bavicha huku akiwapa pocket money na kuwajenga kiuchumi, kifikra na kwajengea kujiamini - ilikuwa ni project - building capacity.
Leo hii wote hawa waliopitia mikononi mwa Mbowe wako vizuri ni jambo la kumsifu mh. Mbowe
Mbowe alikuwa anajaribu kumwokoa Halima na ajira ya damu ya Jiwe, akaona ampatie kazi maana huenda maisha bila ubunge yangekuwa ni magumu kwake.
Sasa kumtafutia kazi Mdee ni sawa na wewe mtoa hoja kumtafutia kazi mwanao - unaita rushwa ?
Ukute alikataa mashart magumu ya makamanda si unajua akina yaliyowakuta akina MukyaHanje Nusrat... ile mashine ni kisu hatari. CHADEMA msivyo na huruma hata mtoto mzuri kama yule mkamfutilia mbali... [emoji24][emoji24] CHADEMA hamtaenda mbinguni.
Mbowe kwa Mdee, Zitto Mnyika ni kama baba yao, hawa aliwanyenyua toka wakiwa chuo, wakaingia Bavicha huku akiwapa pocket money na kuwajenga kiuchumi, kifikra na kwajengea kujiamini - ilikuwa ni project - building capacity.
Leo hii wote hawa waliopitia mikononi mwa Mbowe wako vizuri ni jambo la kumsifu mh. Mbowe
Mbowe alikuwa anajaribu kumwokoa Halima na ajira ya damu ya Jiwe, akaona ampatie kazi maana huenda maisha bila ubunge yangekuwa ni magumu kwake.
Sasa kumtafutia kazi Mdee ni sawa na wewe mtoa hoja kumtafutia kazi mwanao - unaita rushwa ?
Halima mdee ni mdogo sana kuliko chadema. Kama mwita mwikwabe. Mbowe ana akili kubwaWakuu nimetuliza sana akili na kufikiria kauli ya Mbowe kwamba alimwomba aachie ubunge kwa madai kwamba tayari alishamtafutia ajira ya kulipwa USD 15000 kwa mwezi. Kuna maswali kadhaa nimejiuliza nikaona nilete thread hapa huenda tukapata majibu yaliyojaa facts toka kwa wafuasi wa Chama Cha Mbowe na wasio wafuasi;
1. Kwanza kwanini iwe ajira kwa Mdee peke yake? Wengine hawakuwa na umuhimu? Ina maana mwenyekiti ana watu muhimu na wasio na umuhimu kwenye chama?
2. Kwanini amtafutie ajira kwa nia ya kumwachisha ubunge ambapo baadae ingembidi mwenyekiti amweke mtu mwingine? Si angemsamehe bila masharti ya kuachia ubunge kama alishaona shida ya Mdee ni njaa?
3. Kwanini awe na huruma kiasi kwamba amtafutie ajira ya 34m ili kuacha ubunge wake ambao mshahara haufiki hata 20m?
4. Mbowe haoni kama kimaadili inaleta ukakasi na kufanya watu waone nae anafanya kitu kilekile kinachoitwa kununua watu?
5. Je, kwa kauli ya Mbowe kutaka kuhusisha hadi fedha anawapa uhalali wanaosema chuki dhidi ya kina mama 19 imetokana na Mbowe kushindwa kupachika majina yake kwenye viti maalum?
Maswali ni mengi ila hayo yanatosha. Kimsingi hadi sasa hivi kwa upande wangu Mbowe hana tofauti na watu wanaofanya siasa zenye rafu nyingi.