Huwezi kukopa 7m then kwa mwezi ukatwe 270K na makato yawe miaka mitano. Hapo umedanganya ingawa kweli mikopo ya benki inaumiza!Hatar tena nilisahau yule anarudisha zaid zaid ya 12m
Maana iko hiv.
Slary slip yake inaonyesha makato ya mwezi ni 271,000/=
Kwa mwaka mmoja 271000x12= 3,252,000/=
Kwa miaka mitano 3,252,000x5= 16,260,000/=
Hapo hiyo 7m alochukua bado hak9upewa yote kuna kitu sijui wanaita nn wakamkata asilimia kadhaa..
Nikamuonea huruma sanaa.
I saw the slip myaelf
Ni hatar mkuu.Usinikumbushe nlikopa nmb mil 7 afu nirudishe mil13....sema ndo hivo nlikua nna shida ya kufa mtu....ila naomba sana nsipate shida nikarud tuna kwenye mabenk niishie hukuhuku saccos
Sent using Jamii Forums mobile app
Kaka niamin mm.dat person anaatwa hiyo amountHuwezi kukopa 7m then kwa mwezi ukatwe 270K na makato yawe miaka mitano. Hapo umedanganya ingawa kweli mikopo ya benki inaumiza!
Ni balaa..imagine someone close to me kakopa nmb m7 ila jumla ya marejesho ni 12m ..yan karibia interest ni karibia 100% in five years.
Hatar
Hesabu za kwenye makaratas hiz mjomba sio poa kabisaaaMbona kidogo Sana.
Letsay kakopa hiyo million 7 akaamua fungua mabanda mawili ya chips na kila Banda akawa anapata faida ya 15000 kwa siku.
15000 *2=30000
Kwa mwezi
30000 *30= 900000
Mwaka
900000*12= 10800000
Miaka tano
10.8mil*5=54mil
54mil-10mil=44mil faida
Sana sana sana sanaaaa mkuu271,000/= kwa makato mbona kama ni nyingi sana.....
OkAmua mwenyewe.
SACCOS
- Siyo sehemu ya kupata mkopo haraka, maana utahitaji kuwa mwanachama na kujiwekea akiba.
- Sometimes, riba yao yaweza kuwa kubwa kidogo maana kuna SACCOS kibao zinakopa bank.
- Unaweza Kupata Mkopo Bila Dhamana. Akiba yako ndio dhamana yako ( Unaruhusiwa kukopa mara 3 ya akiba yako )
BANK
- Riba Nafuu
- Kukopa Ni Faster Kidogo Kama Umekidhi Vigezo Vyao Hususani Dhamana