Je, ajiunge na SACCOSS apate mkopo au achukue mkopo BANK?

Je, ajiunge na SACCOSS apate mkopo au achukue mkopo BANK?

Hatar tena nilisahau yule anarudisha zaid zaid ya 12m
Maana iko hiv.
Slary slip yake inaonyesha makato ya mwezi ni 271,000/=
Kwa mwaka mmoja 271000x12= 3,252,000/=
Kwa miaka mitano 3,252,000x5= 16,260,000/=
Hapo hiyo 7m alochukua bado hak9upewa yote kuna kitu sijui wanaita nn wakamkata asilimia kadhaa..
Nikamuonea huruma sanaa.
I saw the slip myaelf
Huwezi kukopa 7m then kwa mwezi ukatwe 270K na makato yawe miaka mitano. Hapo umedanganya ingawa kweli mikopo ya benki inaumiza!
 
Huwezi kukopa 7m then kwa mwezi ukatwe 270K na makato yawe miaka mitano. Hapo umedanganya ingawa kweli mikopo ya benki inaumiza!
Kaka niamin mm.dat person anaatwa hiyo amount
 
Nilishakatakiwa kulipa mil. 22 kwa mkopo wa mil. 15 miaka mitano, ila nimejifunza kuweka akiba, sikopi tena mkopo wa zaidi ya mwaka 1 lah, bank watakuja wanufanye nife madikini. Epuka kukopa mkopo wa miaka mingi, labda ukuwezeshe kumaliza nyumba na ukadirie yale marejesho yalingane ama yawe zaidi ya 75% ya kodi unayolipa kwa mwezi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona kidogo Sana.
Letsay kakopa hiyo million 7 akaamua fungua mabanda mawili ya chips na kila Banda akawa anapata faida ya 15000 kwa siku.
15000 *2=30000
Kwa mwezi
30000 *30= 900000
Mwaka
900000*12= 10800000
Miaka tano
10.8mil*5=54mil
54mil-10mil=44mil faida

Ni balaa..imagine someone close to me kakopa nmb m7 ila jumla ya marejesho ni 12m ..yan karibia interest ni karibia 100% in five years.
Hatar
 
Mbona kidogo Sana.
Letsay kakopa hiyo million 7 akaamua fungua mabanda mawili ya chips na kila Banda akawa anapata faida ya 15000 kwa siku.
15000 *2=30000
Kwa mwezi
30000 *30= 900000
Mwaka
900000*12= 10800000
Miaka tano
10.8mil*5=54mil
54mil-10mil=44mil faida
Hesabu za kwenye makaratas hiz mjomba sio poa kabisaaa
 
Amua mwenyewe.

SACCOS

- Siyo sehemu ya kupata mkopo haraka, maana utahitaji kuwa mwanachama na kujiwekea akiba.

- Sometimes, riba yao yaweza kuwa kubwa kidogo maana kuna SACCOS kibao zinakopa bank.

- Unaweza Kupata Mkopo Bila Dhamana. Akiba yako ndio dhamana yako ( Unaruhusiwa kukopa mara 3 ya akiba yako )

BANK

  • Riba Nafuu
  • Kukopa Ni Faster Kidogo Kama Umekidhi Vigezo Vyao Hususani Dhamana
Ok
 
Back
Top Bottom