G Sam
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 11,795
- 36,704
Huwezi kukopa 7m then kwa mwezi ukatwe 270K na makato yawe miaka mitano. Hapo umedanganya ingawa kweli mikopo ya benki inaumiza!Hatar tena nilisahau yule anarudisha zaid zaid ya 12m
Maana iko hiv.
Slary slip yake inaonyesha makato ya mwezi ni 271,000/=
Kwa mwaka mmoja 271000x12= 3,252,000/=
Kwa miaka mitano 3,252,000x5= 16,260,000/=
Hapo hiyo 7m alochukua bado hak9upewa yote kuna kitu sijui wanaita nn wakamkata asilimia kadhaa..
Nikamuonea huruma sanaa.
I saw the slip myaelf