Je, Alichofanyiwa mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam katika maadhimisho ya siku ya wanawake duniani na BAWACHA ni sahihi?

USIPOTOSHE HUNA HAKI HIYO. Utakumbuka kuna mwaka hata rais JK hakualikwa kuhudhuria mei mosi na alitii.

RC ni Raia kama ilivyo kwa wengine wote, huna ruksa kwenda sehemu yoyote ambapo kwa kufanya hivyo unahatarisha amani na kuingilia uhuru wa watu kukusanyika. SO hayuko juu ya hilo.

Sherehe hujipachiki, UNAALIKWA. BILA MWALIKO huendi na kwenda kwako tafasiri yake ni kuvunja amani kwa kuleta fujo

Nawasilisha


 
nimeona picha ya huyu jamaa, hivi kwenda kwake Gym haisaidi kupunguza makalio na mapaja? Jamaa kama demu vile.
 
Ni sahihi 💯
Kwani wewe ulikuwa unatakaje?
Alipashwa kutupwa nje kule Sam Nujoma Rd
Well done Chadema
 
Wewe Mkurya wa Masinki bana!!!!
 
Nadhani walimzuia kwa sababu alivaa suruali iliyochanika!
 
Kwahiyo kiongozi wa upinzani abaweza kwenda kwenye kikao cha ccm bila kualikwa?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alietoa uzi huo hajafikiri kwa kina wale ni bawacha wa chadema RC ni wa ccm tena mkubwa kama yeye kuvamia shughuli ya wapinzani ambao hawaelewani untarajia nini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe Masinki ndiye mshamba,
Enzi hizi watu wanapaswa kwenda na massa, nyakati, na majira. Mtu kama hakualikwa kwenye shughuli ya wati, anatumiaje kofia yake kuvamia? Kwa vile tu ni rc aruhusiwe kwenda kuharibu mambo ya watu? Aogopewe?
Ni woga wako ambao unakutuma ulaumu BAWACHA. Kunakostahili kwenda ni UWT, jumuiya ya ccm ya wanawake.
 
Labda akualikwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…