Je, Alichofanyiwa mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam katika maadhimisho ya siku ya wanawake duniani na BAWACHA ni sahihi?

Jana tarehe 08/03/2020 wanawake wote duniani waliadhimisha kumbukizi kwa ajili Yao ikiwa na lengo la kupaza sauti kupatiwa USAWA na kupinga ukandamizaji wa kijinsia!!

Katika maadhimisho hayo wanawake kwa vikundi ama kwa jumuiya zao walijumuika pamoja kujiwekea mikakati mbalimbali kijamii na kisiasa.

Lakini kituko zaidi kilitokea wakati Mkuu wa Mkoa wa DSM Paul Christian Makonda alipoamua kwenda ili kuwasapoti wanawake wa Chama Cha demokrasia na maendeleo ( Chadema) .

Kilichotokea kulingana na clip zinazogaa katika mitandao ya kijamii Ni kuzuiliwa kuingia huku ikisemekana Mwenyekiti wa Bawacha Taifa Halima James Mdee kuamuru Jambo Hilo.

Well, kwa jicho la kawaida inaonekana Ni sawa kwa kitendo hicho cha kufedhesha alichofanyiwa RC Makonda, Lakini Ni Cha kijinga kufanywa na Baraza Hilo la wanawake Tena ambao wengi wao wanajua protocol za kiuongozi ya kwamba RC anaweza kuhudhuria hafla yeyote ya kitaifa inayofanyika mkoani kwake isipokuwa shughuli binafsi.

Baraza la wanawake Chadema linaongozwa kwa sheria za Nchi na Lina usajili, sio Ngo's Ni taasisi halali inayotambulika na Serikali ikiwa chini ya udhamini wa CHADEMA.

Rai yangu kwao Kuna wakati wa kushirikiana na Serikali ili kufikisha maoni Yao kwa urahisi bila kushupaza shingo, Uzuri waalikwa wao walikuwa Ni moja ya watu waelewa na wanaharakati Kama Fatuma Karume wangeweza kufikisha kero za wanawake kwa RC na yeye akafikisha mahali husika.

Halima Mdee namuona Kama kiongozi mshamba Sana na hii Ni Mara ya pili kufanya vitu vya ajabu Ana chuki, fitina..

Kwa kufanya vile moja kwa moja alimjengea picha RC Makonda kwamba ni moja ya watu wanaokandamiza haki za wanawake.

Kitendo cha hovyo kufanywa na watu waungwana ilitakiwa wamruhusu ili kumsikiliza Halima Mdee asijifanye Bibi Titi Mohamed Hana Kariba hiyo na Wala hatokaa amfikie...

Katika post yangu ya juzi nilivyomuaga Halima James Mdee katika nafasi ya ubunge watu walinishambulia na hoja zao mfu haya semeni na hili ni Sahihi?
Na wewe hata hujielewi Kama RC angekuwa na hiyo haki kisheria si amgetumia vyombo vya Dola kuingia kwa nguvu?
Anajua fika kuwa alikuwa anaenda kuwachora ndo maana ilimlazimu kuwa mpole

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi wakati wa uchaguzi mkuu wa CDM the same hall RC alienda?ukinijibu hili nitag nije na swali linalofuatia.
 
Mosi jiepushe na mipasho flani ameizingi!! Pili hamna ushahidi unaojitosheleza ulioweka hapa kuhusu tuhuma zako, tatu usipende sana kushindana na wanawake mf. Mdee (nahisi ww ni man). Mwisho mpende Mungu,binadamu,kazi nk itakusaidia kuepuka chuki zakujiendekeza kujiona ccm saaana
 
Sidhani kama huyu kijana afya yake ya akili iko sawa View attachment 1382425
LOoo, hii komedi ya mwaka.

Kuna nyingine, akiwa kanisani huku kawekewa mikono kichwani na askofu(?)

Hawa watu wenye dini zao nao njaa kweli zimewafikisha pabaya.

Uzuri wa picha kama hizi ni kwamba hata wale waumini wa kweli wa dini hizi wanaanza kuwa na wasiwasi wa dini na viongozi wao wa kidini.
Mtu ukiwa na akili timamu, halafu unaona vichekesho kama hivi bado akili ibaki imelala tu bila kuhoji chochote juu ya dini yako na viongozi wa dini hizo?
 
katika 100 kuna viongozi wa kweli wa dini wawili tu
 
Amevaa hivyo,ni kudharau shughuli husika. Serikali imetoa dress code,yeye hayupo juu ya sheria
 
Alikuwa kwenye ratiba? Kila shughuli inaratibiwa Kama alikuwa kwenye mualiko nikosa kumzuia, Kila ngeni lasmi anaandaliwa labda akose kufika tu! Kama walimualika Kisha wakamzuia nikosa lakini Kama nayeye alikwenda bila mualiko nitatizo, polisi pekee ndio huwezi kuhoji ujio wao kwenye tukio lako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aibu nyingine tunajitakiaga wenyewe tusilaumu watu,mtu unajua watu fulani hawakukubali halafu unajipeleka,bashite sio mzima kichwani,ona hata jinsi aliyovaa siku ile,anaonekana ni mtu wa ovyo
 
Unajua kuna protocal? Nani angeivunja ili iende sawa na ujio wa huyo mtu? Hotuba zilizoandaliwa, hightable, wao waliandaa shughuli ya kichama si kitaifa na Makonda ni CCM damu!

Mbona iko wazi, hukualikwa hupaswi kwenda ya nini kulazimisha ujiko?

Jee walikuwa washaangalia kiintelejisia kuwa mazingira yalikuwa salama kwake?
 
Jana tarehe 08/03/2020 wanawake wote duniani waliadhimisha kumbukizi kwa ajili Yao ikiwa na lengo la kupaza sauti kupatiwa USAWA na kupinga ukandamizaji wa kijinsia!!

Katika maadhimisho hayo wanawake kwa vikundi ama kwa jumuiya zao walijumuika pamoja kujiwekea mikakati mbalimbali kijamii na kisiasa.

Lakini kituko zaidi kilitokea wakati Mkuu wa Mkoa wa DSM Paul Christian Makonda alipoamua kwenda ili kuwasapoti wanawake wa Chama Cha demokrasia na maendeleo ( Chadema) .

Kilichotokea kulingana na clip zinazogaa katika mitandao ya kijamii Ni kuzuiliwa kuingia huku ikisemekana Mwenyekiti wa Bawacha Taifa Halima James Mdee kuamuru Jambo Hilo.

Well, kwa jicho la kawaida inaonekana Ni sawa kwa kitendo hicho cha kufedhesha alichofanyiwa RC Makonda, Lakini Ni Cha kijinga kufanywa na Baraza Hilo la wanawake Tena ambao wengi wao wanajua protocol za kiuongozi ya kwamba RC anaweza kuhudhuria hafla yeyote ya kitaifa inayofanyika mkoani kwake isipokuwa shughuli binafsi.

Baraza la wanawake Chadema linaongozwa kwa sheria za Nchi na Lina usajili, sio Ngo's Ni taasisi halali inayotambulika na Serikali ikiwa chini ya udhamini wa CHADEMA.

Rai yangu kwao Kuna wakati wa kushirikiana na Serikali ili kufikisha maoni Yao kwa urahisi bila kushupaza shingo, Uzuri waalikwa wao walikuwa Ni moja ya watu waelewa na wanaharakati Kama Fatuma Karume wangeweza kufikisha kero za wanawake kwa RC na yeye akafikisha mahali husika.

Halima Mdee namuona Kama kiongozi mshamba Sana na hii Ni Mara ya pili kufanya vitu vya ajabu Ana chuki, fitina..

Kwa kufanya vile moja kwa moja alimjengea picha RC Makonda kwamba ni moja ya watu wanaokandamiza haki za wanawake.

Kitendo cha hovyo kufanywa na watu waungwana ilitakiwa wamruhusu ili kumsikiliza Halima Mdee asijifanye Bibi Titi Mohamed Hana Kariba hiyo na Wala hatokaa amfikie...

Katika post yangu ya juzi nilivyomuaga Halima James Mdee katika nafasi ya ubunge watu walinishambulia na hoja zao mfu haya semeni na hili ni Sahihi?
Acha wivu
 
Aibu nyingine tunajitakiaga wenyewe tusilaumu watu,mtu unajua watu fulani hawakukubali halafu unajipeleka,bashite sio mzima kichwani,ona hata jinsi aliyovaa siku ile,anaonekana ni mtu wa ovyo
Ninachoweza kusema kwa ujumla tu ni kwamba, huyo Kijana RC anasumbuliwa na ushamba kama wa babake, na hata akili yake sio nzuri, tulikuwa na wakuu wa mikoa zamani ambao walikuwa smart, wanajiheshimu, huyu ni muhuni mmoja hivi, amebahatika tu kupewa nafasi hiyo, hata yeye anlijua hilo, mtu timamu unawezaje kwenda kuvamia shughuli ya watu ilhali unajua huna mualiko !, tuna viongozi wa ajabu sana nchi hii, huwa nawashangaa sana hata wale wanojitoaga ufahamau na kuanza kumsifia eti Kingozi makini, kitendo alichokifanya kinaonesha jinsi alivyo zwazwa, sijui hata alliyemteua haoni aibu, pongezi ziwaenee wote waliofanikisha hatua madhubuti za kumzuia, sijui hao askari walisemaje hapo.
 
Kiongozi mkubwa wa ngazi yake lazima kupata barua ya mwaliko. Kama hamna barua huwezi kujiendea tu maana utaumbuka.
 
Jana tarehe 08/03/2020 wanawake wote duniani waliadhimisha kumbukizi kwa ajili Yao ikiwa na lengo la kupaza sauti kupatiwa USAWA na kupinga ukandamizaji wa kijinsia!!

Katika maadhimisho hayo wanawake kwa vikundi ama kwa jumuiya zao walijumuika pamoja kujiwekea mikakati mbalimbali kijamii na kisiasa.

Lakini kituko zaidi kilitokea wakati Mkuu wa Mkoa wa DSM Paul Christian Makonda alipoamua kwenda ili kuwasapoti wanawake wa Chama Cha demokrasia na maendeleo ( Chadema) .

Kilichotokea kulingana na clip zinazogaa katika mitandao ya kijamii Ni kuzuiliwa kuingia huku ikisemekana Mwenyekiti wa Bawacha Taifa Halima James Mdee kuamuru Jambo Hilo.

Well, kwa jicho la kawaida inaonekana Ni sawa kwa kitendo hicho cha kufedhesha alichofanyiwa RC Makonda, Lakini Ni Cha kijinga kufanywa na Baraza Hilo la wanawake Tena ambao wengi wao wanajua protocol za kiuongozi ya kwamba RC anaweza kuhudhuria hafla yeyote ya kitaifa inayofanyika mkoani kwake isipokuwa shughuli binafsi.

Baraza la wanawake Chadema linaongozwa kwa sheria za Nchi na Lina usajili, sio Ngo's Ni taasisi halali inayotambulika na Serikali ikiwa chini ya udhamini wa CHADEMA.

Rai yangu kwao Kuna wakati wa kushirikiana na Serikali ili kufikisha maoni Yao kwa urahisi bila kushupaza shingo, Uzuri waalikwa wao walikuwa Ni moja ya watu waelewa na wanaharakati Kama Fatuma Karume wangeweza kufikisha kero za wanawake kwa RC na yeye akafikisha mahali husika.

Halima Mdee namuona Kama kiongozi mshamba Sana na hii Ni Mara ya pili kufanya vitu vya ajabu Ana chuki, fitina..

Kwa kufanya vile moja kwa moja alimjengea picha RC Makonda kwamba ni moja ya watu wanaokandamiza haki za wanawake.

Kitendo cha hovyo kufanywa na watu waungwana ilitakiwa wamruhusu ili kumsikiliza Halima Mdee asijifanye Bibi Titi Mohamed Hana Kariba hiyo na Wala hatokaa amfikie...

Katika post yangu ya juzi nilivyomuaga Halima James Mdee katika nafasi ya ubunge watu walinishambulia na hoja zao mfu haya semeni na hili ni Sahihi?

Porojo nyiiingi... Hata kama mkuu wa Mkoa je alikuwa na mwaliko? Kuwa Mkuu wa Mkoa ndo kwenda kila mahali bila utaratibu? Unadhani alivyoingia Clouds bila utaratibu na Bawacha aingie vilevile bila utaratbu? wakati mwingine muwe mnafikiri. Jumuiya ya Madaktari ilikuwa na Adhimisho lao walichokifanya ni kumwalika Mh. Rais. Dr. JPM kama mgeni rasmi. Mh. Rais hakwenda kwa kutumia mabavu kama Rais ingawa alikuwa na uwezo huo. Sasa ijekuwa huyu Bashite wako tena anakwenda kwenye Sherehe za watu kama anaenda Disco?
 
Jana tarehe 08/03/2020 wanawake wote duniani waliadhimisha kumbukizi kwa ajili Yao ikiwa na lengo la kupaza sauti kupatiwa USAWA na kupinga ukandamizaji wa kijinsia!!

Katika maadhimisho hayo wanawake kwa vikundi ama kwa jumuiya zao walijumuika pamoja kujiwekea mikakati mbalimbali kijamii na kisiasa.

Lakini kituko zaidi kilitokea wakati Mkuu wa Mkoa wa DSM Paul Christian Makonda alipoamua kwenda ili kuwasapoti wanawake wa Chama Cha demokrasia na maendeleo ( Chadema) .

Kilichotokea kulingana na clip zinazogaa katika mitandao ya kijamii Ni kuzuiliwa kuingia huku ikisemekana Mwenyekiti wa Bawacha Taifa Halima James Mdee kuamuru Jambo Hilo.

Well, kwa jicho la kawaida inaonekana Ni sawa kwa kitendo hicho cha kufedhesha alichofanyiwa RC Makonda, Lakini Ni Cha kijinga kufanywa na Baraza Hilo la wanawake Tena ambao wengi wao wanajua protocol za kiuongozi ya kwamba RC anaweza kuhudhuria hafla yeyote ya kitaifa inayofanyika mkoani kwake isipokuwa shughuli binafsi.

Baraza la wanawake Chadema linaongozwa kwa sheria za Nchi na Lina usajili, sio Ngo's Ni taasisi halali inayotambulika na Serikali ikiwa chini ya udhamini wa CHADEMA.

Rai yangu kwao Kuna wakati wa kushirikiana na Serikali ili kufikisha maoni Yao kwa urahisi bila kushupaza shingo, Uzuri waalikwa wao walikuwa Ni moja ya watu waelewa na wanaharakati Kama Fatuma Karume wangeweza kufikisha kero za wanawake kwa RC na yeye akafikisha mahali husika.

Halima Mdee namuona Kama kiongozi mshamba Sana na hii Ni Mara ya pili kufanya vitu vya ajabu Ana chuki, fitina..

Kwa kufanya vile moja kwa moja alimjengea picha RC Makonda kwamba ni moja ya watu wanaokandamiza haki za wanawake.

Kitendo cha hovyo kufanywa na watu waungwana ilitakiwa wamruhusu ili kumsikiliza Halima Mdee asijifanye Bibi Titi Mohamed Hana Kariba hiyo na Wala hatokaa amfikie...

Katika post yangu ya juzi nilivyomuaga Halima James Mdee katika nafasi ya ubunge watu walinishambulia na hoja zao mfu haya semeni na hili ni Sahihi?
100% sahihi
 
Tena walinzi walimsaidia asiaibishwe lazima angezomewa sababu ya ujinga wake. Huyu takataka kaka akiacha urais sijui atakua mgeni wa nani. Sijawahi kuona jinga kama Pauli Bashite Makonda
 
Back
Top Bottom