Je, Alichofanyiwa mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam katika maadhimisho ya siku ya wanawake duniani na BAWACHA ni sahihi?

Mleta mada unaweza ingia chumba cha mama ako bila kuitwa(kualikwa!!!)...awe anaumwa au haumwi...kwakua wewe nimtoto akiamua kwamba ingia ndani utaingia tu.....ni wapi makonda amewahi alikwa kama mkuu wamkoa...lini wanawake wa ccm waliwahi kumwalika halima mdee au mbowe au huyo unayemtaja....msifosi vitu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nawashukuru Sana mnaoendelea kutoa hoja kuntu kuhusu hili suala,wale wapumbavu wachache wanaotukana nawapuuza kwa sababu lengo Ni kujenga sio kubomea Kati ya wanaotukana nadhani Mdee yumo.
Wewe mbona umem target Halima Mdee tu kila kwenye mabandiki yako au mnagombea mwanaume?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jana tarehe 08/03/2020 wanawake wote duniani waliadhimisha kumbukizi kwa ajili Yao ikiwa na lengo la kupaza sauti kupatiwa USAWA na kupinga ukandamizaji wa kijinsia!!

Katika maadhimisho hayo wanawake kwa vikundi ama kwa jumuiya zao walijumuika pamoja kujiwekea mikakati mbalimbali kijamii na kisiasa.

Lakini kituko zaidi kilitokea wakati Mkuu wa Mkoa wa DSM Paul Christian Makonda alipoamua kwenda ili kuwasapoti wanawake wa Chama Cha demokrasia na maendeleo ( Chadema) .

Kilichotokea kulingana na clip zinazogaa katika mitandao ya kijamii Ni kuzuiliwa kuingia huku ikisemekana Mwenyekiti wa Bawacha Taifa Halima James Mdee kuamuru Jambo Hilo.

Well, kwa jicho la kawaida inaonekana Ni sawa kwa kitendo hicho cha kufedhesha alichofanyiwa RC Makonda, Lakini Ni Cha kijinga kufanywa na Baraza Hilo la wanawake Tena ambao wengi wao wanajua protocol za kiuongozi ya kwamba RC anaweza kuhudhuria hafla yeyote ya kitaifa inayofanyika mkoani kwake isipokuwa shughuli binafsi.

Baraza la wanawake Chadema linaongozwa kwa sheria za Nchi na Lina usajili, sio Ngo's Ni taasisi halali inayotambulika na Serikali ikiwa chini ya udhamini wa CHADEMA.

Rai yangu kwao Kuna wakati wa kushirikiana na Serikali ili kufikisha maoni Yao kwa urahisi bila kushupaza shingo, Uzuri waalikwa wao walikuwa Ni moja ya watu waelewa na wanaharakati Kama Fatuma Karume wangeweza kufikisha kero za wanawake kwa RC na yeye akafikisha mahali husika.

Halima Mdee namuona Kama kiongozi mshamba Sana na hii Ni Mara ya pili kufanya vitu vya ajabu Ana chuki, fitina..

Kwa kufanya vile moja kwa moja alimjengea picha RC Makonda kwamba ni moja ya watu wanaokandamiza haki za wanawake.

Kitendo cha hovyo kufanywa na watu waungwana ilitakiwa wamruhusu ili kumsikiliza Halima Mdee asijifanye Bibi Titi Mohamed Hana Kariba hiyo na Wala hatokaa amfikie...

Katika post yangu ya juzi nilivyomuaga Halima James Mdee katika nafasi ya ubunge watu walinishambulia na hoja zao mfu haya semeni na hili ni Sahihi?
Hivi hizo protocol za kiungozi zina utaratibu wake ama mtu anaweza kujiamulia tu kwa kuwa ni kiongozi? Unamlaumu Mdee kuwa ana chuki na fitna wakati mada yako inaonyesha wazi hata wewe una chuki na mdee. Kwani kiongozi aliye zuiliwa ni wa jinsia gani?
 
Jana tarehe 08/03/2020 wanawake wote duniani waliadhimisha kumbukizi kwa ajili Yao ikiwa na lengo la kupaza sauti kupatiwa USAWA na kupinga ukandamizaji wa kijinsia!!

Katika maadhimisho hayo wanawake kwa vikundi ama kwa jumuiya zao walijumuika pamoja kujiwekea mikakati mbalimbali kijamii na kisiasa.

Lakini kituko zaidi kilitokea wakati Mkuu wa Mkoa wa DSM Paul Christian Makonda alipoamua kwenda ili kuwasapoti wanawake wa Chama Cha demokrasia na maendeleo ( Chadema) .

Kilichotokea kulingana na clip zinazogaa katika mitandao ya kijamii Ni kuzuiliwa kuingia huku ikisemekana Mwenyekiti wa Bawacha Taifa Halima James Mdee kuamuru Jambo Hilo.

Well, kwa jicho la kawaida inaonekana Ni sawa kwa kitendo hicho cha kufedhesha alichofanyiwa RC Makonda, Lakini Ni Cha kijinga kufanywa na Baraza Hilo la wanawake Tena ambao wengi wao wanajua protocol za kiuongozi ya kwamba RC anaweza kuhudhuria hafla yeyote ya kitaifa inayofanyika mkoani kwake isipokuwa shughuli binafsi.

Baraza la wanawake Chadema linaongozwa kwa sheria za Nchi na Lina usajili, sio Ngo's Ni taasisi halali inayotambulika na Serikali ikiwa chini ya udhamini wa CHADEMA.

Rai yangu kwao Kuna wakati wa kushirikiana na Serikali ili kufikisha maoni Yao kwa urahisi bila kushupaza shingo, Uzuri waalikwa wao walikuwa Ni moja ya watu waelewa na wanaharakati Kama Fatuma Karume wangeweza kufikisha kero za wanawake kwa RC na yeye akafikisha mahali husika.

Halima Mdee namuona Kama kiongozi mshamba Sana na hii Ni Mara ya pili kufanya vitu vya ajabu Ana chuki, fitina..

Kwa kufanya vile moja kwa moja alimjengea picha RC Makonda kwamba ni moja ya watu wanaokandamiza haki za wanawake.

Kitendo cha hovyo kufanywa na watu waungwana ilitakiwa wamruhusu ili kumsikiliza Halima Mdee asijifanye Bibi Titi Mohamed Hana Kariba hiyo na Wala hatokaa amfikie...

Katika post yangu ya juzi nilivyomuaga Halima James Mdee katika nafasi ya ubunge watu walinishambulia na hoja zao mfu haya semeni na hili ni Sahihi?
Anza na Marekani iliyomkataza kukatiza anga zake kuliko kushupaza shingo hapa Jamii forum

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Halima Mdee namuona Kama kiongozi mshamba Sana na hii Ni Mara ya pili kufanya vitu vya ajabu Ana chuki, fitina..

Wewe mleta mada ndo mshamba,mjinga wa akili katika kizazi chenu choteeee.Hakuna asiyejua kuwa huyo mpuuzi ndo mastermind wa kuua,kuteka na kufanya kila hujuma kinyume na sheria,haki na taratibu za nchi kwa wapinzani. Tena amekuwa akijinadi hivo kila wakati.Hata kumzuia naona ni kitu kidogo sana,huyo na wengine wa aina yake wanatakiwa kufanyiwa vile vile wafanyiwavyo wale wanaowafanyia.Kama ni bunduki naye anatakiwa awekwe bunduki.

Maisha ni jino kwa jino.Si vyema kupenda amani wakati wa vita.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mleta mada unaweza ingia chumba cha mama ako bila kuitwa(kualikwa!!!)...awe anaumwa au haumwi...kwakua wewe nimtoto akiamua kwamba ingia ndani utaingia tu.....ni wapi makonda amewahi alikwa kama mkuu wamkoa...lini wanawake wa ccm waliwahi kumwalika halima mdee au mbowe au huyo unayemtaja....msifosi vitu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Jifunze kutofautisha vitu ndugu,suala lile la Bavicha lilikuwa si la kisiasa pekee Bali kijamii pia.
 
Mp
Halima Mdee namuona Kama kiongozi mshamba Sana na hii Ni Mara ya pili kufanya vitu vya ajabu Ana chuki, fitina..

Wewe mleta mada ndo mshamba,mjinga wa akili katika kizazi chenu choteeee.Hakuna asiyejua kuwa huyo mpuuzi ndo mastermind wa kuua,kuteka na kufanya kila hujuma kinyume na sheria,haki na taratibu za nchi kwa wapinzani. Tena amekuwa akijinadi hivo kila wakati.Hata kumzuia naona ni kitu kidogo sana,huyo na wengine wa aina yake wanatakiwa kufanyiwa vile vile wafanyiwavyo wale wanaowafanyia.Kama ni bunduki naye anatakiwa awekwe bunduki.

Maisha ni jino kwa jino.Si vyema kupenda amani wakati wa vita.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mpelekeni Mahakamani Kama RC Makonda ndio mnahisi Ni masterminds wa mauaji Nchini.
 
Ni aibu sana kwa RC mwenye tuhuma za kuua watu kujipendekeza kwenye jambo ambalo halimhusu, huku chama chake kilichochoka kikiwa na UWT ambayo inaongozwa na viongozi wazee waliokongoroka mawazo na kupitwa na wakati.

Nampongeza sana Mh Mdee kwa kumzuia muuaji kuingia kwenye kongamano la BAWACHA ambayo ni Taasisi bora kabisa ya wanawake barani Africa
Viongozi wa Bawacha hawajakongoroka? Ks mdee ni kabibi kale vile kanamwili wa kipare ndio unakaona ni ka baby , ni kaajuza kale.😂😂😄
 
Sio hicho kikao tuu, hata nyumbani kwangu akija kavaa kama changu haingii. URC wake apeleke Ilala huko, na angejifanya mbabe kama Kyle Clouds ilikuwa mabaunsa wa kike wamuweke kati wamcharaze

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jana tarehe 08/03/2020 wanawake wote duniani waliadhimisha kumbukizi kwa ajili Yao ikiwa na lengo la kupaza sauti kupatiwa USAWA na kupinga ukandamizaji wa kijinsia!!

Katika maadhimisho hayo wanawake kwa vikundi ama kwa jumuiya zao walijumuika pamoja kujiwekea mikakati mbalimbali kijamii na kisiasa.

Lakini kituko zaidi kilitokea wakati Mkuu wa Mkoa wa DSM Paul Christian Makonda alipoamua kwenda ili kuwasapoti wanawake wa Chama Cha demokrasia na maendeleo ( Chadema) .

Kilichotokea kulingana na clip zinazogaa katika mitandao ya kijamii Ni kuzuiliwa kuingia huku ikisemekana Mwenyekiti wa Bawacha Taifa Halima James Mdee kuamuru Jambo Hilo.

Well, kwa jicho la kawaida inaonekana Ni sawa kwa kitendo hicho cha kufedhesha alichofanyiwa RC Makonda, Lakini Ni Cha kijinga kufanywa na Baraza Hilo la wanawake Tena ambao wengi wao wanajua protocol za kiuongozi ya kwamba RC anaweza kuhudhuria hafla yeyote ya kitaifa inayofanyika mkoani kwake isipokuwa shughuli binafsi.

Baraza la wanawake Chadema linaongozwa kwa sheria za Nchi na Lina usajili, sio Ngo's Ni taasisi halali inayotambulika na Serikali ikiwa chini ya udhamini wa CHADEMA.

Rai yangu kwao Kuna wakati wa kushirikiana na Serikali ili kufikisha maoni Yao kwa urahisi bila kushupaza shingo, Uzuri waalikwa wao walikuwa Ni moja ya watu waelewa na wanaharakati Kama Fatuma Karume wangeweza kufikisha kero za wanawake kwa RC na yeye akafikisha mahali husika.

Halima Mdee namuona Kama kiongozi mshamba Sana na hii Ni Mara ya pili kufanya vitu vya ajabu Ana chuki, fitina..

Kwa kufanya vile moja kwa moja alimjengea picha RC Makonda kwamba ni moja ya watu wanaokandamiza haki za wanawake.

Kitendo cha hovyo kufanywa na watu waungwana ilitakiwa wamruhusu ili kumsikiliza Halima Mdee asijifanye Bibi Titi Mohamed Hana Kariba hiyo na Wala hatokaa amfikie...

Katika post yangu ya juzi nilivyomuaga Halima James Mdee katika nafasi ya ubunge watu walinishambulia na hoja zao mfu haya semeni na hili ni Sahihi?
Viongozi wa Chadema ni watu hatari sana kwa nchi hii. Ni watu wenye hasira Kali, chuki na roho mbaya sana. Wasipothibitiwa mapema wanaweza kuwa kama Interahamwe au Al Shabab!
 
Wapi amejifanya, hivi we kwa akili yako waweza vamia kikao bila mwaliko kisa una cheo flani?
Kwa nafasi yake ile fedheha kaitaka mwenyewe! Na wewe ni hovyo ajabu
 
Mkutano wa wanawake, yeye hakualikwa au yeye ni mwanamke?, angekuwa mama Samia ndiyo kakataliwa labda ndiyo angalao ungekuwa na pointi
Naye alipaswa atoe taarifa kikao chochote kina mipango yake na taratibu zake
 
Ni sahihi kabisa yaani unashauri wangempa kero zao shetani mdogo akaziwasilishe kwa shetani mkuu? Nani asiyemjua makonda na baba yake kuwafanyia hila CHADEMA? Umekula maharagwe ya wapi weye.
Yaani kuna watu uwezo wa kufikiri hawana kabisa. Makonda aende mkutanoni kwa nia njema kabisa?
Na anemtetea hana akili!
 
Jana tarehe 08/03/2020 wanawake wote duniani waliadhimisha kumbukizi kwa ajili Yao ikiwa na lengo la kupaza sauti kupatiwa USAWA na kupinga ukandamizaji wa kijinsia!!

Katika maadhimisho hayo wanawake kwa vikundi ama kwa jumuiya zao walijumuika pamoja kujiwekea mikakati mbalimbali kijamii na kisiasa.

Lakini kituko zaidi kilitokea wakati Mkuu wa Mkoa wa DSM Paul Christian Makonda alipoamua kwenda ili kuwasapoti wanawake wa Chama Cha demokrasia na maendeleo ( Chadema) .

Kilichotokea kulingana na clip zinazogaa katika mitandao ya kijamii Ni kuzuiliwa kuingia huku ikisemekana Mwenyekiti wa Bawacha Taifa Halima James Mdee kuamuru Jambo Hilo.

Well, kwa jicho la kawaida inaonekana Ni sawa kwa kitendo hicho cha kufedhesha alichofanyiwa RC Makonda, Lakini Ni Cha kijinga kufanywa na Baraza Hilo la wanawake Tena ambao wengi wao wanajua protocol za kiuongozi ya kwamba RC anaweza kuhudhuria hafla yeyote ya kitaifa inayofanyika mkoani kwake isipokuwa shughuli binafsi.

Baraza la wanawake Chadema linaongozwa kwa sheria za Nchi na Lina usajili, sio Ngo's Ni taasisi halali inayotambulika na Serikali ikiwa chini ya udhamini wa CHADEMA.

Rai yangu kwao Kuna wakati wa kushirikiana na Serikali ili kufikisha maoni Yao kwa urahisi bila kushupaza shingo, Uzuri waalikwa wao walikuwa Ni moja ya watu waelewa na wanaharakati Kama Fatuma Karume wangeweza kufikisha kero za wanawake kwa RC na yeye akafikisha mahali husika.

Halima Mdee namuona Kama kiongozi mshamba Sana na hii Ni Mara ya pili kufanya vitu vya ajabu Ana chuki, fitina..

Kwa kufanya vile moja kwa moja alimjengea picha RC Makonda kwamba ni moja ya watu wanaokandamiza haki za wanawake.

Kitendo cha hovyo kufanywa na watu waungwana ilitakiwa wamruhusu ili kumsikiliza Halima Mdee asijifanye Bibi Titi Mohamed Hana Kariba hiyo na Wala hatokaa amfikie...

Katika post yangu ya juzi nilivyomuaga Halima James Mdee katika nafasi ya ubunge watu walinishambulia na hoja zao mfu haya semeni na hili ni Sahihi?
Lowassa alivyozuiwa kushiriki mazishi ya UPARENI ULIONYA AU KUKOSOA? Acha kutafuta kiki kuelekea 2020!
 
Back
Top Bottom