mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 96,490
- 138,365
Nilidhani unazo akili kumbe nawe hamnazo!!Jana tarehe 08/03/2020 wanawake wote duniani waliadhimisha kumbukizi kwa ajili Yao ikiwa na lengo la kupaza sauti kupatiwa USAWA na kupinga ukandamizaji wa kijinsia!!
Katika maadhimisho hayo wanawake kwa vikundi ama kwa jumuiya zao walijumuika pamoja kujiwekea mikakati mbalimbali kijamii na kisiasa.
Lakini kituko zaidi kilitokea wakati Mkuu wa Mkoa wa DSM Paul Christian Makonda alipoamua kwenda ili kuwasapoti wanawake wa Chama Cha demokrasia na maendeleo ( Chadema) .
Kilichotokea kulingana na clip zinazogaa katika mitandao ya kijamii Ni kuzuiliwa kuingia huku ikisemekana Mwenyekiti wa Bawacha Taifa Halima James Mdee kuamuru Jambo Hilo.
Well, kwa jicho la kawaida inaonekana Ni sawa kwa kitendo hicho cha kufedhesha alichofanyiwa RC Makonda, Lakini Ni Cha kijinga kufanywa na Baraza Hilo la wanawake Tena ambao wengi wao wanajua protocol za kiuongozi ya kwamba RC anaweza kuhudhuria hafla yeyote ya kitaifa inayofanyika mkoani kwake isipokuwa shughuli binafsi.
Baraza la wanawake Chadema linaongozwa kwa sheria za Nchi na Lina usajili, sio Ngo's Ni taasisi halali inayotambulika na Serikali ikiwa chini ya udhamini wa CHADEMA.
Rai yangu kwao Kuna wakati wa kushirikiana na Serikali ili kufikisha maoni Yao kwa urahisi bila kushupaza shingo, Uzuri waalikwa wao walikuwa Ni moja ya watu waelewa na wanaharakati Kama Fatuma Karume wangeweza kufikisha kero za wanawake kwa RC na yeye akafikisha mahali husika.
Halima Mdee namuona Kama kiongozi mshamba Sana na hii Ni Mara ya pili kufanya vitu vya ajabu Ana chuki, fitina..
Kwa kufanya vile moja kwa moja alimjengea picha RC Makonda kwamba ni moja ya watu wanaokandamiza haki za wanawake.
Kitendo cha hovyo kufanywa na watu waungwana ilitakiwa wamruhusu ili kumsikiliza Halima Mdee asijifanye Bibi Titi Mohamed Hana Kariba hiyo na Wala hatokaa amfikie...
Katika post yangu ya juzi nilivyomuaga Halima James Mdee katika nafasi ya ubunge watu walinishambulia na hoja zao mfu haya semeni na hili ni Sahihi?
Jana tarehe 08/03/2020 wanawake wote duniani waliadhimisha kumbukizi kwa ajili Yao ikiwa na lengo la kupaza sauti kupatiwa USAWA na kupinga ukandamizaji wa kijinsia!!

Jipeleke wewe ikulu bila mwaliko rasmi na ushahidi wa barua uone kama hawatakunyofoa pumbuUmeuliza swali kabla hujajibiwa umeanza lawama ,Mbowe hakualikwa Ikulu je angeenda wasingempokea unadhani ingekuwa ni sahihi au la?
Sent using Jamii Forums mobile app
Jipeleke wewe ikulu uone kama hawatakunyofoa pumbuUmeuliza swali kabla hujajibiwa umeanza lawama ,Mbowe hakualikwa Ikulu je angeenda wasingempokea unadhani ingekuwa ni sahihi au la?
Sent using Jamii Forums mobile app
Bashite alistahili kwa 100 % kuzuiliwa. Kama alikuwa na nia njema asingewavizia .... Kwa kuwa yeye ni Mku wa Usalama wa Mkoa ina maana alijua siku kadhaa kabla kuwa kuna tukio kama hilo. Sasa yeye kujitokeza pale tena kavaa mavazi ya mtaani ilikuwa ni kuwashushia heshima wenye kongamano lao. Yaani akina mama wamevalia vizuri hivyo yeye eti anakuja na Jeans tena ya kuchanwachanwa .... Give me a Break!!Jana tarehe 08/03/2020 wanawake wote duniani waliadhimisha kumbukizi kwa ajili Yao ikiwa na lengo la kupaza sauti kupatiwa USAWA na kupinga ukandamizaji wa kijinsia!!
Katika maadhimisho hayo wanawake kwa vikundi ama kwa jumuiya zao walijumuika pamoja kujiwekea mikakati mbalimbali kijamii na kisiasa.
Lakini kituko zaidi kilitokea wakati Mkuu wa Mkoa wa DSM Paul Christian Makonda alipoamua kwenda ili kuwasapoti wanawake wa Chama Cha demokrasia na maendeleo ( Chadema) .
Kilichotokea kulingana na clip zinazogaa katika mitandao ya kijamii Ni kuzuiliwa kuingia huku ikisemekana Mwenyekiti wa Bawacha Taifa Halima James Mdee kuamuru Jambo Hilo.
Well, kwa jicho la kawaida inaonekana Ni sawa kwa kitendo hicho cha kufedhesha alichofanyiwa RC Makonda, Lakini Ni Cha kijinga kufanywa na Baraza Hilo la wanawake Tena ambao wengi wao wanajua protocol za kiuongozi ya kwamba RC anaweza kuhudhuria hafla yeyote ya kitaifa inayofanyika mkoani kwake isipokuwa shughuli binafsi.
Baraza la wanawake Chadema linaongozwa kwa sheria za Nchi na Lina usajili, sio Ngo's Ni taasisi halali inayotambulika na Serikali ikiwa chini ya udhamini wa CHADEMA.
Rai yangu kwao Kuna wakati wa kushirikiana na Serikali ili kufikisha maoni Yao kwa urahisi bila kushupaza shingo, Uzuri waalikwa wao walikuwa Ni moja ya watu waelewa na wanaharakati Kama Fatuma Karume wangeweza kufikisha kero za wanawake kwa RC na yeye akafikisha mahali husika.
Halima Mdee namuona Kama kiongozi mshamba Sana na hii Ni Mara ya pili kufanya vitu vya ajabu Ana chuki, fitina..
Kwa kufanya vile moja kwa moja alimjengea picha RC Makonda kwamba ni moja ya watu wanaokandamiza haki za wanawake.
Kitendo cha hovyo kufanywa na watu waungwana ilitakiwa wamruhusu ili kumsikiliza Halima Mdee asijifanye Bibi Titi Mohamed Hana Kariba hiyo na Wala hatokaa amfikie...
Katika post yangu ya juzi nilivyomuaga Halima James Mdee katika nafasi ya ubunge watu walinishambulia na hoja zao mfu haya semeni na hili ni Sahihi?
Kumbe wewe unafikiri kwa kutumia masaburi eeh.Umeuliza swali kabla hujajibiwa umeanza lawama ,Mbowe hakualikwa Ikulu je angeenda wasingempokea unadhani ingekuwa ni sahihi au la?
Sent using Jamii Forums mobile app
Bora umejibu mkuu the man who denial a right to life ni ajabu sana eti bado ni RC, shameNi aibu sana kwa RC mwenye tuhuma za kuua watu kujipendekeza kwenye jambo ambalo halimhusu, huku chama chake kilichochoka kikiwa na UWT ambayo inaongozwa na viongozi wazee waliokongoroka mawazo na kupitwa na wakati.
Nampongeza sana Mh Mdee kwa kumzuia muuaji kuingia kwenye kongamano la BAWACHA ambayo ni Taasisi bora kabisa ya wanawake barani Africa
We kiumbe una matatizo kwa kichwa yako unajibu mwenyewe kuwa alihitajika kufuata utaratibu, swali ni je alifuata utaratibu?Kumbe wewe unafikiri kwa kutumia masaburi eeh.
Mkuu wa Mkoa kwa mujibu wa Sheria anaweza kuhudhuria hafla yoyote isipokua binafsi katika mkoa wake.
Sio Mbowe tu yeyote yule anaweza kwenda pale na kufuata utaratibu wa kuonana na Mkuu.
Yaani mindondocha ya Dj Aikael ni shida...
Sent using Jamii Forums mobile app
Jana tarehe 08/03/2020 wanawake wote duniani waliadhimisha kumbukizi kwa ajili Yao ikiwa na lengo la kupaza sauti kupatiwa USAWA na kupinga ukandamizaji wa kijinsia!!
Katika maadhimisho hayo wanawake kwa vikundi ama kwa jumuiya zao walijumuika pamoja kujiwekea mikakati mbalimbali kijamii na kisiasa.
Lakini kituko zaidi kilitokea wakati Mkuu wa Mkoa wa DSM Paul Christian Makonda alipoamua kwenda ili kuwasapoti wanawake wa Chama Cha demokrasia na maendeleo ( Chadema) .
Kilichotokea kulingana na clip zinazogaa katika mitandao ya kijamii Ni kuzuiliwa kuingia huku ikisemekana Mwenyekiti wa Bawacha Taifa Halima James Mdee kuamuru Jambo Hilo.
Well, kwa jicho la kawaida inaonekana Ni sawa kwa kitendo hicho cha kufedhesha alichofanyiwa RC Makonda, Lakini Ni Cha kijinga kufanywa na Baraza Hilo la wanawake Tena ambao wengi wao wanajua protocol za kiuongozi ya kwamba RC anaweza kuhudhuria hafla yeyote ya kitaifa inayofanyika mkoani kwake isipokuwa shughuli binafsi.
Baraza la wanawake Chadema linaongozwa kwa sheria za Nchi na Lina usajili, sio Ngo's Ni taasisi halali inayotambulika na Serikali ikiwa chini ya udhamini wa CHADEMA.
Rai yangu kwao Kuna wakati wa kushirikiana na Serikali ili kufikisha maoni Yao kwa urahisi bila kushupaza shingo, Uzuri waalikwa wao walikuwa Ni moja ya watu waelewa na wanaharakati Kama Fatuma Karume wangeweza kufikisha kero za wanawake kwa RC na yeye akafikisha mahali husika.
Halima Mdee namuona Kama kiongozi mshamba Sana na hii Ni Mara ya pili kufanya vitu vya ajabu Ana chuki, fitina..
Kwa kufanya vile moja kwa moja alimjengea picha RC Makonda kwamba ni moja ya watu wanaokandamiza haki za wanawake.
Kitendo cha hovyo kufanywa na watu waungwana ilitakiwa wamruhusu ili kumsikiliza Halima Mdee asijifanye Bibi Titi Mohamed Hana Kariba hiyo na Wala hatokaa amfikie...
Katika post yangu ya juzi nilivyomuaga Halima James Mdee katika nafasi ya ubunge watu walinishambulia na hoja zao mfu haya semeni na hili ni Sahihi?
Walichofanya Bawacha ni sahihi saaana, hawakukosea kitu, Unaota ndoto za mchana kusema eti Wamtume Makonda awapelekee kero zao, Wapi na kwa Nani ?, wewe ndie mwenye akili ya Ovyo ovyo ovyo ovyo, nguchiro mkubwa wewe, kamuulize makonda yeye anajisikiaje sasa hivi ?,Jana tarehe 08/03/2020 wanawake wote duniani waliadhimisha kumbukizi kwa ajili Yao ikiwa na lengo la kupaza sauti kupatiwa USAWA na kupinga ukandamizaji wa kijinsia!!
Katika maadhimisho hayo wanawake kwa vikundi ama kwa jumuiya zao walijumuika pamoja kujiwekea mikakati mbalimbali kijamii na kisiasa.
Lakini kituko zaidi kilitokea wakati Mkuu wa Mkoa wa DSM Paul Christian Makonda alipoamua kwenda ili kuwasapoti wanawake wa Chama Cha demokrasia na maendeleo ( Chadema) .
Kilichotokea kulingana na clip zinazogaa katika mitandao ya kijamii Ni kuzuiliwa kuingia huku ikisemekana Mwenyekiti wa Bawacha Taifa Halima James Mdee kuamuru Jambo Hilo.
Well, kwa jicho la kawaida inaonekana Ni sawa kwa kitendo hicho cha kufedhesha alichofanyiwa RC Makonda, Lakini Ni Cha kijinga kufanywa na Baraza Hilo la wanawake Tena ambao wengi wao wanajua protocol za kiuongozi ya kwamba RC anaweza kuhudhuria hafla yeyote ya kitaifa inayofanyika mkoani kwake isipokuwa shughuli binafsi.
Baraza la wanawake Chadema linaongozwa kwa sheria za Nchi na Lina usajili, sio Ngo's Ni taasisi halali inayotambulika na Serikali ikiwa chini ya udhamini wa CHADEMA.
Rai yangu kwao Kuna wakati wa kushirikiana na Serikali ili kufikisha maoni Yao kwa urahisi bila kushupaza shingo, Uzuri waalikwa wao walikuwa Ni moja ya watu waelewa na wanaharakati Kama Fatuma Karume wangeweza kufikisha kero za wanawake kwa RC na yeye akafikisha mahali husika.
Halima Mdee namuona Kama kiongozi mshamba Sana na hii Ni Mara ya pili kufanya vitu vya ajabu Ana chuki, fitina..
Kwa kufanya vile moja kwa moja alimjengea picha RC Makonda kwamba ni moja ya watu wanaokandamiza haki za wanawake.
Kitendo cha hovyo kufanywa na watu waungwana ilitakiwa wamruhusu ili kumsikiliza Halima Mdee asijifanye Bibi Titi Mohamed Hana Kariba hiyo na Wala hatokaa amfikie...
Katika post yangu ya juzi nilivyomuaga Halima James Mdee katika nafasi ya ubunge watu walinishambulia na hoja zao mfu haya semeni na hili ni Sahihi?
Hata kama alikosa mahali pa kwenda huyo rc si angepeleka makalio yake casino..Wewe akili zako hazikutoshi kabisa, sasa ulishamuaga huku bado unataka amkaribishe sijui nani vile, ili iweje? Si angeenda uwanjani kuangalia mpira alikokuweko jiwe!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ni stupid number one, uliposema unamuaga Mdee kwenye Ubunge kabla hata ya Uchaguzi kufanyika, ulikuwa unatumia kiungo gani cha mwili kufikiri ?. hopeless.Nawashukuru Sana mnaoendelea kutoa hoja kuntu kuhusu hili suala,wale wapumbavu wachache wanaotukana nawapuuza kwa sababu lengo Ni kujenga sio kubomea Kati ya wanaotukana nadhani Mdee yumo.
Huyo alijipeleka kuvuruga mkutano na kuwadhalilisha wanawake.Pale makonda atakaporuhusiwa kwenda US bas ataruhusiwa kuhudhuria vikao vya bawacha
mwenyewe alidhani BAWACHA ni klauzi akakuta duuu...wale wamama ni habari nyingine na viwango vingine tofauti kabisa.Jana tarehe 08/03/2020 wanawake wote duniani waliadhimisha kumbukizi kwa ajili Yao ikiwa na lengo la kupaza sauti kupatiwa USAWA na kupinga ukandamizaji wa kijinsia!!
Katika maadhimisho hayo wanawake kwa vikundi ama kwa jumuiya zao walijumuika pamoja kujiwekea mikakati mbalimbali kijamii na kisiasa.
Lakini kituko zaidi kilitokea wakati Mkuu wa Mkoa wa DSM Paul Christian Makonda alipoamua kwenda ili kuwasapoti wanawake wa Chama Cha demokrasia na maendeleo ( Chadema) .
Kilichotokea kulingana na clip zinazogaa katika mitandao ya kijamii Ni kuzuiliwa kuingia huku ikisemekana Mwenyekiti wa Bawacha Taifa Halima James Mdee kuamuru Jambo Hilo.
Well, kwa jicho la kawaida inaonekana Ni sawa kwa kitendo hicho cha kufedhesha alichofanyiwa RC Makonda, Lakini Ni Cha kijinga kufanywa na Baraza Hilo la wanawake Tena ambao wengi wao wanajua protocol za kiuongozi ya kwamba RC anaweza kuhudhuria hafla yeyote ya kitaifa inayofanyika mkoani kwake isipokuwa shughuli binafsi.
Baraza la wanawake Chadema linaongozwa kwa sheria za Nchi na Lina usajili, sio Ngo's Ni taasisi halali inayotambulika na Serikali ikiwa chini ya udhamini wa CHADEMA.
Rai yangu kwao Kuna wakati wa kushirikiana na Serikali ili kufikisha maoni Yao kwa urahisi bila kushupaza shingo, Uzuri waalikwa wao walikuwa Ni moja ya watu waelewa na wanaharakati Kama Fatuma Karume wangeweza kufikisha kero za wanawake kwa RC na yeye akafikisha mahali husika.
Halima Mdee namuona Kama kiongozi mshamba Sana na hii Ni Mara ya pili kufanya vitu vya ajabu Ana chuki, fitina..
Kwa kufanya vile moja kwa moja alimjengea picha RC Makonda kwamba ni moja ya watu wanaokandamiza haki za wanawake.
Kitendo cha hovyo kufanywa na watu waungwana ilitakiwa wamruhusu ili kumsikiliza Halima Mdee asijifanye Bibi Titi Mohamed Hana Kariba hiyo na Wala hatokaa amfikie...
Katika post yangu ya juzi nilivyomuaga Halima James Mdee katika nafasi ya ubunge watu walinishambulia na hoja zao mfu haya semeni na hili ni Sahihi?
Post yako umeishoofisha kwa kukazana kumchamba HalimaJana tarehe 08/03/2020 wanawake wote duniani waliadhimisha kumbukizi kwa ajili Yao ikiwa na lengo la kupaza sauti kupatiwa USAWA na kupinga ukandamizaji wa kijinsia!!
Katika maadhimisho hayo wanawake kwa vikundi ama kwa jumuiya zao walijumuika pamoja kujiwekea mikakati mbalimbali kijamii na kisiasa.
Lakini kituko zaidi kilitokea wakati Mkuu wa Mkoa wa DSM Paul Christian Makonda alipoamua kwenda ili kuwasapoti wanawake wa Chama Cha demokrasia na maendeleo ( Chadema) .
Kilichotokea kulingana na clip zinazogaa katika mitandao ya kijamii Ni kuzuiliwa kuingia huku ikisemekana Mwenyekiti wa Bawacha Taifa Halima James Mdee kuamuru Jambo Hilo.
Well, kwa jicho la kawaida inaonekana Ni sawa kwa kitendo hicho cha kufedhesha alichofanyiwa RC Makonda, Lakini Ni Cha kijinga kufanywa na Baraza Hilo la wanawake Tena ambao wengi wao wanajua protocol za kiuongozi ya kwamba RC anaweza kuhudhuria hafla yeyote ya kitaifa inayofanyika mkoani kwake isipokuwa shughuli binafsi.
Baraza la wanawake Chadema linaongozwa kwa sheria za Nchi na Lina usajili, sio Ngo's Ni taasisi halali inayotambulika na Serikali ikiwa chini ya udhamini wa CHADEMA.
Rai yangu kwao Kuna wakati wa kushirikiana na Serikali ili kufikisha maoni Yao kwa urahisi bila kushupaza shingo, Uzuri waalikwa wao walikuwa Ni moja ya watu waelewa na wanaharakati Kama Fatuma Karume wangeweza kufikisha kero za wanawake kwa RC na yeye akafikisha mahali husika.
Halima Mdee namuona Kama kiongozi mshamba Sana na hii Ni Mara ya pili kufanya vitu vya ajabu Ana chuki, fitina..
Kwa kufanya vile moja kwa moja alimjengea picha RC Makonda kwamba ni moja ya watu wanaokandamiza haki za wanawake.
Kitendo cha hovyo kufanywa na watu waungwana ilitakiwa wamruhusu ili kumsikiliza Halima Mdee asijifanye Bibi Titi Mohamed Hana Kariba hiyo na Wala hatokaa amfikie...
Katika post yangu ya juzi nilivyomuaga Halima James Mdee katika nafasi ya ubunge watu walinishambulia na hoja zao mfu haya semeni na hili ni Sahihi?
Sasa Kiongozi umeuliza swali,alafu unaanza kujibu/ kufafanua sisi tujibu nini sasa.?Jana tarehe 08/03/2020 wanawake wote duniani waliadhimisha kumbukizi kwa ajili Yao ikiwa na lengo la kupaza sauti kupatiwa USAWA na kupinga ukandamizaji wa kijinsia!!