Je, Alichofanyiwa mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam katika maadhimisho ya siku ya wanawake duniani na BAWACHA ni sahihi?

Lakini ule ni mkutano wa wamama....mwanaume alienda kutafuta nini?
 
Kumkomboa mwanamke wa Tanzania kifikra si kazi ndogo , hili ni jambo kubwa kuliko maelezo , kabla ya BAWACHA kuletwa wanawake wa Tanzania walionekana kama watumwa tu
Duh...Yaani wanawake Tanzania walikua wanaishi kama watumwa, BAWACHA ndo imekuja kuwakomboa. Hebu tupe mifano miwili mitatu mkuu. Ili tuijue vizuri hii taasisi bora kabisa afrika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni aibu sana kwa RC mwenye tuhuma za kuua watu kujipendekeza kwenye jambo ambalo halimhusu, huku chama chake kilichochoka kikiwa na UWT ambayo inaongozwa na viongozi wazee waliokongoroka mawazo na kupitwa na wakati.

Nampongeza sana Mh Mdee kwa kumzuia muuaji kuingia kwenye kongamano la BAWACHA ambayo ni Taasisi bora kabisa ya wanawake barani Africa
Acha kashifa na matusi,wote tutakongoroka mkuu...kwaja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mada nyingine ni za kipuuzi kweli hata hazistahiri kuzipotezea mda.
Hii ni moja wapo. Nasikitika nimepoteza mda bila kujua.
 
Kaazi za Kazi
IMG_20200307_160922.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jana tarehe 08/03/2020 wanawake wote duniani waliadhimisha kumbukizi kwa ajili Yao ikiwa na lengo la kupaza sauti kupatiwa USAWA na kupinga ukandamizaji wa kijinsia!!

Katika maadhimisho hayo wanawake kwa vikundi ama kwa jumuiya zao walijumuika pamoja kujiwekea mikakati mbalimbali kijamii na kisiasa.

Lakini kituko zaidi kilitokea wakati Mkuu wa Mkoa wa DSM Paul Christian Makonda alipoamua kwenda ili kuwasapoti wanawake wa Chama Cha demokrasia na maendeleo ( Chadema) .

Kilichotokea kulingana na clip zinazogaa katika mitandao ya kijamii Ni kuzuiliwa kuingia huku ikisemekana Mwenyekiti wa Bawacha Taifa Halima James Mdee kuamuru Jambo Hilo.

Well, kwa jicho la kawaida inaonekana Ni sawa kwa kitendo hicho cha kufedhesha alichofanyiwa RC Makonda, Lakini Ni Cha kijinga kufanywa na Baraza Hilo la wanawake Tena ambao wengi wao wanajua protocol za kiuongozi ya kwamba RC anaweza kuhudhuria hafla yeyote ya kitaifa inayofanyika mkoani kwake isipokuwa shughuli binafsi.

Baraza la wanawake Chadema linaongozwa kwa sheria za Nchi na Lina usajili, sio Ngo's Ni taasisi halali inayotambulika na Serikali ikiwa chini ya udhamini wa CHADEMA.

Rai yangu kwao Kuna wakati wa kushirikiana na Serikali ili kufikisha maoni Yao kwa urahisi bila kushupaza shingo, Uzuri waalikwa wao walikuwa Ni moja ya watu waelewa na wanaharakati Kama Fatuma Karume wangeweza kufikisha kero za wanawake kwa RC na yeye akafikisha mahali husika.

Halima Mdee namuona Kama kiongozi mshamba Sana na hii Ni Mara ya pili kufanya vitu vya ajabu Ana chuki, fitina..

Kwa kufanya vile moja kwa moja alimjengea picha RC Makonda kwamba ni moja ya watu wanaokandamiza haki za wanawake.

Kitendo cha hovyo kufanywa na watu waungwana ilitakiwa wamruhusu ili kumsikiliza Halima Mdee asijifanye Bibi Titi Mohamed Hana Kariba hiyo na Wala hatokaa amfikie...

Katika post yangu ya juzi nilivyomuaga Halima James Mdee katika nafasi ya ubunge watu walinishambulia na hoja zao mfu haya semeni na hili ni Sahihi?

Mimi nadhani mwanzo kabisa ungejiuliza, mkutano ni wa wanawake, je huyo aliyezuiwa ni mwanamke?
 
Nchi kubwa kama marekani imemuweka kama kwenye kundi la watu hatari wenye kuminya uhuru wa watu kuishi leo cdm wampokee hongera bawacha kwa maono mazuri.
 
Ni aibu sana kwa RC mwenye tuhuma za kuua watu kujipendekeza kwenye jambo ambalo halimhusu, huku chama chake kilichochoka kikiwa na UWT ambayo inaongozwa na viongozi wazee waliokongoroka mawazo na kupitwa na wakati.
Bahati ya BAVICHA ni kwamba haya yametokea baada ya Pompeo kusema jambo.
Ingekuwa kabla, wakati huu sio ajabu akina Mdee na wengine wangekuwa ndani, au mabaya zaidi ya hayo yangewapata..

Hata hivyo, inashangaza sana kwa hawa viongozi kujiona wao ni wa aina yao. Huo uthubutu tu wa kujipeleka hapo ni kielelezo tosha kuonyesha akili zao zilivyo chafu.
 
Sidhani kama huyu kijana afya yake ya akili iko sawa
Instagram media - B8BQWAFHAJI ( 367 X 640 ).jpg
 
Jana tarehe 08/03/2020 wanawake wote duniani waliadhimisha kumbukizi kwa ajili Yao ikiwa na lengo la kupaza sauti kupatiwa USAWA na kupinga ukandamizaji wa kijinsia!!

Katika maadhimisho hayo wanawake kwa vikundi ama kwa jumuiya zao walijumuika pamoja kujiwekea mikakati mbalimbali kijamii na kisiasa.

Lakini kituko zaidi kilitokea wakati Mkuu wa Mkoa wa DSM Paul Christian Makonda alipoamua kwenda ili kuwasapoti wanawake wa Chama Cha demokrasia na maendeleo ( Chadema) .

Kilichotokea kulingana na clip zinazogaa katika mitandao ya kijamii Ni kuzuiliwa kuingia huku ikisemekana Mwenyekiti wa Bawacha Taifa Halima James Mdee kuamuru Jambo Hilo.

Well, kwa jicho la kawaida inaonekana Ni sawa kwa kitendo hicho cha kufedhesha alichofanyiwa RC Makonda, Lakini Ni Cha kijinga kufanywa na Baraza Hilo la wanawake Tena ambao wengi wao wanajua protocol za kiuongozi ya kwamba RC anaweza kuhudhuria hafla yeyote ya kitaifa inayofanyika mkoani kwake isipokuwa shughuli binafsi.

Baraza la wanawake Chadema linaongozwa kwa sheria za Nchi na Lina usajili, sio Ngo's Ni taasisi halali inayotambulika na Serikali ikiwa chini ya udhamini wa CHADEMA.

Rai yangu kwao Kuna wakati wa kushirikiana na Serikali ili kufikisha maoni Yao kwa urahisi bila kushupaza shingo, Uzuri waalikwa wao walikuwa Ni moja ya watu waelewa na wanaharakati Kama Fatuma Karume wangeweza kufikisha kero za wanawake kwa RC na yeye akafikisha mahali husika.

Halima Mdee namuona Kama kiongozi mshamba Sana na hii Ni Mara ya pili kufanya vitu vya ajabu Ana chuki, fitina..

Kwa kufanya vile moja kwa moja alimjengea picha RC Makonda kwamba ni moja ya watu wanaokandamiza haki za wanawake.

Kitendo cha hovyo kufanywa na watu waungwana ilitakiwa wamruhusu ili kumsikiliza Halima Mdee asijifanye Bibi Titi Mohamed Hana Kariba hiyo na Wala hatokaa amfikie...

Katika post yangu ya juzi nilivyomuaga Halima James Mdee katika nafasi ya ubunge watu walinishambulia na hoja zao mfu haya semeni na hili ni Sahihi?
Angeenda kwa Pampeo kwanza ndo tujue ye ni kidume

Acha na wao waonje adha ya ubaguzi maana bila Bawacha kufanya hivyo huyo rais wa dasalamu hawezi kujua dhambi ya ubaguzi ikoje lakini pia sio lazima audhulie maana sio sheria yeye kuwepo kwenye huo mkutano. Wao Ndio wameanzisha hayo mambo ya ubaguzi na iwapo wangekuwa wana play fair na wao wangepewa fair
 
Back
Top Bottom