Niliyetukuka.Kigeu geu [emoji28]View attachment 2431297
Mbona Wewe unaonekana ni Mpumbavu mno hapa JamiiForums ila hujishangai?Kuna watu wanamona Genta mtu wa maana! kabla ya mechi alikuja na maelezo meengi ya uongo sasa hivi amebadili gia
Silaha yako ni matusi ila hoja huna, unageuka geuka kufuta upepo ! wewe si ulituambia umewapa mbinu Nyasa big bullets kuifunga Simba tuambie mliishia wapiMbona Wewe unaonekana ni Mpumbavu mno hapa JamiiForums ila hujishangai?
Imbecile.Silaha yako ni matusi ila hoja huna, unageuka geuka kufuta upepo ! wewe si ulituambia umewapa mbinu Nyasa big bullets kuifunga Simba tuambie mliishia wapi
Dunce, clodImbecile.
Wa kudharauliwa na wa kuchekwa ni yule aliyeshindwa kumfunga Bingwa wako wa NBC PL, FA, NGAO YA HISANI 2021/2022 tangu 2019 ktk ligi kuu ya TZ.Katika Uzi huu Kazi yangu Kubwa GENTAMYCINE ni kusoma tu Comments zenu huku nikimuandaa Ng'ombe aliyenona apelekwe haraka Mbarali Mkoani Mbeya ili Wachezaji wa Ihefu FC waweze Kumla ila Mshambuliaji Lenny Kisu apewe Maini huku Beki Juma Nyosso apewe Maini pamoja na Figo kwa Kumuweka Mtetemaji Mfukoni kwa dakika zote 90 za Mchezo.
Tuvumiliane tu kwa leo hakuna namna.
Your Mum.Dunce, clod
Kwahivyo unataka kusema game ilikuwa Simba dhidi ya Yanga? Ndo Yanga akafungwa na Simba SC ili kuinusuru kushuja daraja.Udogo kiumri au ushamba tu wa kuja mjini kituo cha bus za mikoani kikiwa ubungo,ila hii si mara ya kwanza kwa Yanga kufungwa na timu inayoburuza mkia,miaka ya nyuma Yanga ikiwa ishatangaza ubingwa na ngada fc ikiwa inaburuza mkia kwenye janga la kushuka daraja,ngada alimfunga Yanga na kunusurika kushuka daraja
wewe huna Mama,? kwanini mimi sija mhusisha Mama yako hapa? ujinga ni kipajiYour Mum.
Ipo hivyo, huwezi kuwa bora kwa nyakati zote, ila kuna washamba waliamini kuwa hawawezi kufungwa..!Mpira ni mchezo wa makosa
Lazima mpinzani wako akosee Kisha utumie nafasi.
Huyu jamaa ni boya sanaKigeu geu [emoji28]View attachment 2431297
Mla ni mla leo, ya kale hayanuki. Ihefu wameushindilia ndani kabisaaa ule mwiko wenu uliokuwa unawapa kibri.Udogo kiumri au ushamba tu wa kuja mjini kituo cha bus za mikoani kikiwa ubungo,ila hii si mara ya kwanza kwa Yanga kufungwa na timu inayoburuza mkia,miaka ya nyuma Yanga ikiwa ishatangaza ubingwa na ngada fc ikiwa inaburuza mkia kwenye janga la kushuka daraja,ngada alimfunga Yanga na kunusurika kushuka daraja
Unajua kitu inaitwa kejeli?Kigeu geu [emoji28]View attachment 2431297
Huyo gongowazi wakati huo yuko mbwinde anafuta kamasi kwa ngumi na amevaa shati la kitambaa cha sanda reeefu hadi magotini bila kaptura. Msamehe bure.Kwahivyo unataka kusema game ilikuwa Simba dhidi ya Yanga? Ndo Yanga akafungwa na Simba SC ili kuinusuru kushuja daraja.
Acha upotoshaji wewe, yaonyesha umesimuliwa tu na ukaingia king, hakuna mwaka ambao Yanga alikubali kufungwa na Simba ili kuinusuru kushuja daraja.
Simba alishinda dhidi ya African sports ndo alama zikambakisha, na Yanga alifungwa dhidi ya Coastal, sasa hapo Yanga ilinusuru vipi Simba..?!
Katika vitu ambavyo vijana na watanzania wengi kwa ujumla wake wamefumbwa na kufanywa wajinga ni hili la simba na yanga. Utakuta vijana wengi wasomi na wamefundishwa kufikiri na namna ya kupambania nchi yao lakini wamejawa na ubinafsi na usimba na uyanga. Hizi timu mbili za mpira wa miguu ndio chanzo kikubwa cha umasikini wa watanzania. Vinatumika sana kulemaza fikra za watanzania kwa kisingizio cha utani wa jadi. Serikali imekuwa inapenyeza ajenda zake kwa vilabu hivi viwili na kujimilikisha kuwa mali zake. Ndio maana bungeni hotuba zote za waziri mkuu, hatoacha kuzisemea simba na yanga. Mechi kubwa za timu hizi hazitoacha kusimamisha mabango yanayoonyesha mrengo fulani wa kisiasa. Kwa kufanya hivo watu nao bila kujua wanajikuta wameingia kwenye mkumbo huo wa wakubwa na kujikuta muda wote wanajadili simba na yanga na kuacha kujadili mustakabali wa nchi yetu ambayo kwa sasa ni mufilisi.Katika Uzi huu Kazi yangu Kubwa GENTAMYCINE ni kusoma tu Comments zenu huku nikimuandaa Ng'ombe aliyenona apelekwe haraka Mbarali Mkoani Mbeya ili Wachezaji wa Ihefu FC waweze Kumla ila Mshambuliaji Lenny Kisu apewe Maini huku Beki Juma Nyosso apewe Maini pamoja na Figo kwa Kumuweka Mtetemaji Mfukoni kwa dakika zote 90 za Mchezo.
Tuvumiliane tu kwa leo hakuna namna.
Mimi naona anayetakiwa kudharauliwa hapo, ni wewe Popoma tu! Na wala siyo huyo aliyefungwa na Azam, au Ihefu.Katika Uzi huu Kazi yangu Kubwa GENTAMYCINE ni kusoma tu Comments zenu huku nikimuandaa Ng'ombe aliyenona apelekwe haraka Mbarali Mkoani Mbeya ili Wachezaji wa Ihefu FC waweze Kumla ila Mshambuliaji Lenny Kisu apewe Maini huku Beki Juma Nyosso apewe Maini pamoja na Figo kwa Kumuweka Mtetemaji Mfukoni kwa dakika zote 90 za Mchezo.
Tuvumiliane tu kwa leo hakuna namna.
Your ass hol*Your Mum.