Je, aliyefungwa na Mwamba Azam FC na aliyefungwa na Mchovu Ihefu FC nani ni wa Kudharaulika na Kuchekwa?

Je, aliyefungwa na Mwamba Azam FC na aliyefungwa na Mchovu Ihefu FC nani ni wa Kudharaulika na Kuchekwa?

Kuna watu wanamona Genta mtu wa maana! kabla ya mechi alikuja na maelezo meengi ya uongo sasa hivi amebadili gia
 
Mbona Wewe unaonekana ni Mpumbavu mno hapa JamiiForums ila hujishangai?
Silaha yako ni matusi ila hoja huna, unageuka geuka kufuta upepo ! wewe si ulituambia umewapa mbinu Nyasa big bullets kuifunga Simba tuambie mliishia wapi
 
Katika Uzi huu Kazi yangu Kubwa GENTAMYCINE ni kusoma tu Comments zenu huku nikimuandaa Ng'ombe aliyenona apelekwe haraka Mbarali Mkoani Mbeya ili Wachezaji wa Ihefu FC waweze Kumla ila Mshambuliaji Lenny Kisu apewe Maini huku Beki Juma Nyosso apewe Maini pamoja na Figo kwa Kumuweka Mtetemaji Mfukoni kwa dakika zote 90 za Mchezo.

Tuvumiliane tu kwa leo hakuna namna.
Wa kudharauliwa na wa kuchekwa ni yule aliyeshindwa kumfunga Bingwa wako wa NBC PL, FA, NGAO YA HISANI 2021/2022 tangu 2019 ktk ligi kuu ya TZ.

Pia endelea kukaa nafasi ya 3 na magoli yako ya offsides hadi ustukie tayari Yanga ni Bingwa mpya 2022/2023.
 
Udogo kiumri au ushamba tu wa kuja mjini kituo cha bus za mikoani kikiwa ubungo,ila hii si mara ya kwanza kwa Yanga kufungwa na timu inayoburuza mkia,miaka ya nyuma Yanga ikiwa ishatangaza ubingwa na ngada fc ikiwa inaburuza mkia kwenye janga la kushuka daraja,ngada alimfunga Yanga na kunusurika kushuka daraja
Kwahivyo unataka kusema game ilikuwa Simba dhidi ya Yanga? Ndo Yanga akafungwa na Simba SC ili kuinusuru kushuja daraja.

Acha upotoshaji wewe, yaonyesha umesimuliwa tu na ukaingia king, hakuna mwaka ambao Yanga alikubali kufungwa na Simba ili kuinusuru kushuja daraja.

Simba alishinda dhidi ya African sports ndo alama zikambakisha, na Yanga alifungwa dhidi ya Coastal, sasa hapo Yanga ilinusuru vipi Simba..?!
 
Kuna watu walikuwa wanapumulia Mashine kuhusu Yanga lakini historia iko palepale.
 
Mpira ni mchezo wa makosa
Lazima mpinzani wako akosee Kisha utumie nafasi.
 
Udogo kiumri au ushamba tu wa kuja mjini kituo cha bus za mikoani kikiwa ubungo,ila hii si mara ya kwanza kwa Yanga kufungwa na timu inayoburuza mkia,miaka ya nyuma Yanga ikiwa ishatangaza ubingwa na ngada fc ikiwa inaburuza mkia kwenye janga la kushuka daraja,ngada alimfunga Yanga na kunusurika kushuka daraja
Mla ni mla leo, ya kale hayanuki. Ihefu wameushindilia ndani kabisaaa ule mwiko wenu uliokuwa unawapa kibri.
 
Kwahivyo unataka kusema game ilikuwa Simba dhidi ya Yanga? Ndo Yanga akafungwa na Simba SC ili kuinusuru kushuja daraja.

Acha upotoshaji wewe, yaonyesha umesimuliwa tu na ukaingia king, hakuna mwaka ambao Yanga alikubali kufungwa na Simba ili kuinusuru kushuja daraja.

Simba alishinda dhidi ya African sports ndo alama zikambakisha, na Yanga alifungwa dhidi ya Coastal, sasa hapo Yanga ilinusuru vipi Simba..?!
Huyo gongowazi wakati huo yuko mbwinde anafuta kamasi kwa ngumi na amevaa shati la kitambaa cha sanda reeefu hadi magotini bila kaptura. Msamehe bure.
 
Katika Uzi huu Kazi yangu Kubwa GENTAMYCINE ni kusoma tu Comments zenu huku nikimuandaa Ng'ombe aliyenona apelekwe haraka Mbarali Mkoani Mbeya ili Wachezaji wa Ihefu FC waweze Kumla ila Mshambuliaji Lenny Kisu apewe Maini huku Beki Juma Nyosso apewe Maini pamoja na Figo kwa Kumuweka Mtetemaji Mfukoni kwa dakika zote 90 za Mchezo.

Tuvumiliane tu kwa leo hakuna namna.
Katika vitu ambavyo vijana na watanzania wengi kwa ujumla wake wamefumbwa na kufanywa wajinga ni hili la simba na yanga. Utakuta vijana wengi wasomi na wamefundishwa kufikiri na namna ya kupambania nchi yao lakini wamejawa na ubinafsi na usimba na uyanga. Hizi timu mbili za mpira wa miguu ndio chanzo kikubwa cha umasikini wa watanzania. Vinatumika sana kulemaza fikra za watanzania kwa kisingizio cha utani wa jadi. Serikali imekuwa inapenyeza ajenda zake kwa vilabu hivi viwili na kujimilikisha kuwa mali zake. Ndio maana bungeni hotuba zote za waziri mkuu, hatoacha kuzisemea simba na yanga. Mechi kubwa za timu hizi hazitoacha kusimamisha mabango yanayoonyesha mrengo fulani wa kisiasa. Kwa kufanya hivo watu nao bila kujua wanajikuta wameingia kwenye mkumbo huo wa wakubwa na kujikuta muda wote wanajadili simba na yanga na kuacha kujadili mustakabali wa nchi yetu ambayo kwa sasa ni mufilisi.

Kwangu mimi simba na yanga ni adui namba moja wa ustawi wa taifa letu.

Sent from my SM-A715F using JamiiForums mobile app
 
Katika Uzi huu Kazi yangu Kubwa GENTAMYCINE ni kusoma tu Comments zenu huku nikimuandaa Ng'ombe aliyenona apelekwe haraka Mbarali Mkoani Mbeya ili Wachezaji wa Ihefu FC waweze Kumla ila Mshambuliaji Lenny Kisu apewe Maini huku Beki Juma Nyosso apewe Maini pamoja na Figo kwa Kumuweka Mtetemaji Mfukoni kwa dakika zote 90 za Mchezo.

Tuvumiliane tu kwa leo hakuna namna.
Mimi naona anayetakiwa kudharauliwa hapo, ni wewe Popoma tu! Na wala siyo huyo aliyefungwa na Azam, au Ihefu.
 
Back
Top Bottom