Je, anajua kupika? Kwanini jibu gumu siku hizi?

Je, anajua kupika? Kwanini jibu gumu siku hizi?

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
7,823
Reaction score
10,857
Kwa wale wanaotafuta wachumba wa kike swala la kujua kupika au kutokujua kupika limekuwa gumu sana siku hizi.

Yaani imekuwa kama swali la kibinafsi ambalo ni vibaya kuuliza!

Watasema amesoma, mtu wa dini….. kwenye kupika jibu ni gumu sana
 
Back
Top Bottom